Kulitokea nn huko?2014 world cup in brazil tukajifunze kilochotokea kule na hapa ni the same kitatokea history haidanganyi
Muda ni Mwalimu Mzuri
Ah kasome tu huko ndugu yapo mengiiKulitokea nn huko?
Taja tukio moja tu maana matukio yaliyotendeka ni mengi.Ah kasome tu huko ndugu yapo mengii
Wananchi walikua hawataki lifanyike bcz hali ya uchumi wa nchi ni mbaya mpk laana za wananchi ikasababisha brazil kufungwa 7Taja tukio moja tu maana matukio yaliyotendeka ni mengi.
Kwa hio mkuu, ina maana wananchi wa Tanzania hawajakubali mashindano haya kuandaliwa nchini mwao kisa na sababu, wana hali ngumu?Wananchi walikua hawataki lifanyike bcz hali ya uchumi wa nchi ni mbaya mpk laana za wananchi ikasababisha brazil kufungwa 7