Pamba Road mashimo yamezidi, mbunge upo wapi?

Pamba Road mashimo yamezidi, mbunge upo wapi?

Leo nimeamini si kila anayeingia jf ana akili timamu kwa mujibu wa majibu ya post hii.
pia nimeamini ccm na chadema wote hakuna mwenye nafuu

wakwanza wewe !!!! ulisha maliza matibabu?
 
Wenje hafai na 2015 tunampiga chini......zamani alikuwa anavaa kikoti cha kimodo ila siku hizi anavaa jikoti kuubwa kitambi hihaaaa! Alafu mbaya zaidi kahamia Dar...na hiyo barabara ya Pamba Rd huwa wanaweka viraka tu baada ya mwaka mmoja inarejea vilevile!!!

umpige chini wewe na mkeo? teh teh teh teh,unaonekana wewe ni mgeni hapa mjini nn!!!??? ccm ilishakufa mwanza!
 
wasalaam wakuu.
kama kuna mwana jf anaishi mwanza atakubaliana na mimi pamba road imekuwa na mahandaki.
Hii barabara mwaka jana tu ilizibwa viraka mara mbili kwa zege la kujengea nyumba na sasa mashimo yameongezeka mara dufu.
Nitoe wito kwa mbunge wa jimbo hili atueleze huu mradi anafaidi nani?

umevurugwa hujitambui!! hivi mwanza bado kuna vilaza kama wewe???
 
Naomba nikuulize Meya anatoka chama gani? je Idadi ya Madiwani ni chama kipi kina Madiwani wengi? Je Mhandisi wa Ujenzi pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri umeweza kuwauliza au kuwaambia juu ya Kadhia hiyo ya barabara?

Ninachokiona hapa wewe unatuletea maneno yako ya chuki juu ya Mbunge huku ukijua kabisa suala zima la kufanikisha kuondoa tatizo hilo lina mkusanyiko wa mlolongo wa viongozi wengi na isitoshe Serikali ndio yenye jukumu kubwa kutekeleza hilo unalolilia na sio Mbunge kama unavyojiaminisha.mayor
mayor mabula anapiga pesa tu! hicho ndicho walichotaka ccm: WAWATOE CHADEMA KWENYE UONGOZI WA JIJI ILI WAWEZE KUPIGA PESA YA JIJI VIZURI!
 
Ni kweli barabara hii imekuwa mahandaki,kwa magari yalio chini ni tabu tu kupita kipande hiki cha barabara
 
wasalaam wakuu.
kama kuna mwana jf anaishi mwanza atakubaliana na mimi pamba road imekuwa na mahandaki.
Hii barabara mwaka jana tu ilizibwa viraka mara mbili kwa zege la kujengea nyumba na sasa mashimo yameongezeka mara dufu.
Nitoe wito kwa mbunge wa jimbo hili atueleze huu mradi anafaidi nani?

Pole mkuu... Mie nishaschs kupita hiyo barabara, huo ni ulaji wa watu. kila mwaka bajeti inatengwa kwa ajilibya hiko kipande!!!!
 
wasalaam wakuu.
kama kuna mwana jf anaishi mwanza atakubaliana na mimi pamba road imekuwa na mahandaki.
Hii barabara mwaka jana tu ilizibwa viraka mara mbili kwa zege la kujengea nyumba na sasa mashimo yameongezeka mara dufu.
Nitoe wito kwa mbunge wa jimbo hili atueleze huu mradi anafaidi nani?

Hili ni swali la meya si mbunge. Tulimsikia meya jana analalamika kwamba jiji halina hela. Tatizo tangu ccm iingie mwanza cc hali imezidi kuwa mbaya. Mabula ajibu tuhuma si Wenje.
 
hoja ni kwamba mbunge hahusiki na maswala ya kuziba barabara ndio maana mkiombwa madiwwani toa wa kutosha CHADEMA
 
Wenje ansshulikia phamacy dar kwa pesa za mchango mlio Chang's kwa ununuzi was madawati yenu mchango Julio fanyila sahara ana mpsngo was kuchangisha tena
 
Wenje amechukua kodi yako??? waulize CCM sio wenje, wenje na wewe mko kundi moja mnalalamikia hali hiyo

kuna siku nilisikia hapa JF na mbeya wakimsifia SUGU kwamba kawaletea barabara...

wenje kama mbunge alitakiwa alifuatilie hili likishindikana aitishe mkutano wa wananchi na aseme MACCM yamegoma
kutoa hela,, wananchi watalijua hili nawatachukua hatua!!!!!
 
wasalaam wakuu.
kama kuna mwana jf anaishi mwanza atakubaliana na mimi pamba road imekuwa na mahandaki.
Hii barabara mwaka jana tu ilizibwa viraka mara mbili kwa zege la kujengea nyumba na sasa mashimo yameongezeka mara dufu.
Nitoe wito kwa mbunge wa jimbo hili atueleze huu mradi anafaidi nani?
====================
kama mbunge hahusiki ni ni majukumu ya mbunge na kuna haja gani ya kuwa na mbunge
Wewe wacha blah blah toka umekuwa na akili kuna bajeti mbunge anapewa ya ujenzi wa barabara hiyo kazi ya serekali yako.Ili ndio tatizo lakugomea mashine za TRA na kuikosesha mapato serekali na hiyo barabara sahau ni mwendo wa viraka tuu.
 
Naomba nikuulize Meya anatoka chama gani? je Idadi ya Madiwani ni chama kipi kina Madiwani wengi? Je Mhandisi wa Ujenzi pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri umeweza kuwauliza au kuwaambia juu ya Kadhia hiyo ya barabara?

Ninachokiona hapa wewe unatuletea maneno yako ya chuki juu ya Mbunge huku ukijua kabisa suala zima la kufanikisha kuondoa tatizo hilo lina mkusanyiko wa mlolongo wa viongozi wengi na isitoshe Serikali ndio yenye jukumu kubwa kutekeleza hilo unalolilia na sio Mbunge kama unavyojiaminisha.

Tatizo watz wengi wanadanganywa na wanasiasa mkinichagua nitawajenge barabara,nitawajengea zahanati, nitawachimbia visima vya maji kila kata nao wanaamini kujenga barabara na zahanati na kuchimba visima ni jukumu la mbunge. Ndio maana mapovu yanawatoka kudai barabara mbovu mbunge yupo wapi. Kumbe wahusika wanawaacha ktk Manispaa na halmashauri zao.
 
kuna siku nilisikia hapa JF na mbeya wakimsifia SUGU kwamba kawaletea barabara...

wenje kama mbunge alitakiwa alifuatilie hili likishindikana aitishe mkutano wa wananchi na aseme MACCM yamegoma
kutoa hela,, wananchi watalijua hili nawatachukua hatua!!!!!

what a wonderful comment
bavicha wanajua kutukana tu
 
Wenje ansshulikia phamacy dar kwa pesa za mchango mlio Chang's kwa ununuzi was madawati yenu mchango Julio fanyila sahara ana mpsngo was kuchangisha tena

Join Date : 13th January 2014
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Hata kama ni mgeni hapa JF lakini kuandika pia ni tatizo, kweli kuishabikia CCM lazima uwe na akili za Maiti
 
Back
Top Bottom