Pamba Road mashimo yamezidi, mbunge upo wapi?

Pamba Road mashimo yamezidi, mbunge upo wapi?

mayor mabula anapiga pesa tu! hicho ndicho walichotaka ccm: WAWATOE CHADEMA KWENYE UONGOZI WA JIJI ILI WAWEZE KUPIGA PESA YA JIJI VIZURI!

Baelezee mukuru; habajui majukumu ya Mbunge;

CCM wote ni waluwalu tu; wezi wakubwa kuanzia kwa balozi hadi Juu
 
Wenje hafai na 2015 tunampiga chini......zamani alikuwa anavaa kikoti cha kimodo ila siku hizi anavaa jikoti kuubwa kitambi hihaaaa! Alafu mbaya zaidi kahamia Dar...na hiyo barabara ya Pamba Rd huwa wanaweka viraka tu baada ya mwaka mmoja inarejea vilevile!!!

Kimodo na koti kubwa vinahusianaje na barabara?

Wenje ni kiongozi wa watoa hoja za maendeleo ya Wananyamagana - si mtendaji;

Wewe binafsi ungekuwa mbunge ungefanyaje ili barabara zote jimboni kwako ziwe sawa?
 
wasalaam wakuu.
kama kuna mwana jf anaishi mwanza atakubaliana na mimi pamba road imekuwa na mahandaki.
Hii barabara mwaka jana tu ilizibwa viraka mara mbili kwa zege la kujengea nyumba na sasa mashimo yameongezeka mara dufu.
Nitoe wito kwa mbunge wa jimbo hili atueleze huu mradi anafaidi nani?
====================
kama mbunge hahusiki ni ni majukumu ya mbunge na kuna haja gani ya kuwa na mbunge

Wenje yuko bize na operesheni mpya kutoka CHADEMA.
 
Barabara ilifungwa mwaka na nusu, imefunguliwa mwaka jana tu now mahandaki mwanzo mwisho, chezea kebwe sijui kabwe, huyu mkurugenzi alikula hela sana hapa mwanza

kabwe alikuwa analinda maslahi ya wakubwa si unaona amepandishwa kuwa mhandisi wa jiji la dar? na waliokuwa wasaidizi wake pia wamepandishwa vyeo! Mhandisi mkuu wa jiji amepelekwa kuwa mkurugenzi wa manisipa kigoma na aliyekuwa mchumi wa jiji ameenda kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya msalala! usicheze na jk wewe!
 
Invisible jf idumu milele kumbe hoja yangu ipo hadi leo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom