Palm OilI, Mafuta ya mawese

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
475
561
Hello people
Msaada wa ushauri pls nimekuja na palm oil sample kutoka far East Asia na nintaka ku import kwa kiasi kikubwa, ni hatua gani ninapaswa kuzifata ili kupata kibali cha kuingiza kwa kua hii ni bidhaa inayotumiwa kwa matumizi ya kula binadam.
Asanteni
 
Jukwaa la siasa limevamiwa. By the way siai tunatumia Mawese toka Kigoma. Ni mazuri sana. Hayo ya kwako ya Far East hatuyataki
 
Hello people
Msaada wa ushauri pls nimekuja na palm oil sample kutoka far East Asia na nintaka ku import kwa kiasi kikubwa, ni hatua gani ninapaswa kuzifata ili kupata kibali cha kuingiza kwa kua hii ni bidhaa inayotumiwa kwa matumizi ya kula binadam.
Asanteni
Nenda TFDA na TBS mkuu. Watakupa taratibu zote. Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom