Palestine thanks Tanzania for support at UN

i don't think so. They were awake and taking care of zenji to date.

mwanamtwa kama wenyewe wamelala ngoja nikunongoneze. Ccm pia uamsho. Usimwambie mtu. Wameamka kaka. Wote lao moja. Vijana wa kileo wanasema kimenuka.
 
nasikia sasa papa na UN wanataka kuipa jerusalem hadhi ya international city ili wapate kuivua milki yake toka kwa israel na uwe mji wa mataifa yote.ama kweli MUNGU yupo maana nilichosoma kwenye unabii naona kikitimia.
 
mwanamtwa kama wenyewe wamelala ngoja nikunongoneze. Ccm pia uamsho. Usimwambie mtu. Wameamka kaka. Wote lao moja. Vijana wa kileo wanasema kimenuka.

Swadakta Mukulu
 

Sasa wewe ndo msemaji wa Watanzania ama? Jisemee peke yako sababu wapo wengi tu wanaoipenda Palestine,hizo siasa zenu znaeza wafikisha pabaya
 

Unafiki sio tatizo la waislam... Na wala waislam sio wanafiki, Unafiki ni moja ya mapungufu ya Mwanadamu, so apparently hata wakristu pia wanaweza kuwa wanafiki.

Mimi sijawahi na sitaki kuuangalia mzozo huu kwa minajili hiyo ya kwako.

Mimi nuona kama hivi Huu ni mzozo humanitarian ambao wahusika wao unfortunately wanaongozwa kiimani zaidi. Palestine is an islamic state na wanaongozwa na sheria za kiislam. Israel wanaongowa na sheria za kiyahudi.

Sasa hata sisi huku Tanzania tumeupokea kiimani zaidi (nashangaa wakristo nao wamo cjui how do they fit into the equation.) kiasi kwamba hata tunawalaumu Nyerere na Kikwete (only a fool would believe ulikuwa msimamo wa Membe) kusupport Palestine.
 

i am believer and i believe Neno la Mungu, ambaye neno ni Yesu.

Israel ni taifa la Mungu so are we. Wote katika damu ya Kristu tumeunganishwa na Mungu. Tumekuwa watoto wake wapendwa na atatupigania.

Hivi ushwahi kuelewa maana ya Agano la kale na Agano jipya?
 
mie budha.
Na yule ambae alikua haishi kumuegemea kifuani anaitwa nani kweli?yohana ama peter.dah nilishaanza kusahau.

Inaelekea kweli hii DINI ni SHETANI

Nabii Issa Bin Mariam alikuwa na wa*se*nge wanaomuegemea kifuani tena mbele za watu.

Mtume Mohammed SAW pamoja na kuwa na concubine 23, lakini pia alilawiti ka-sichana ka miaka 9.

Lakini bado watu mnatokwa na mapovu kutetea huo ufedhuli, Kweli SHETANI ana wafuasi wengi.
 
ndo hivyo bwana kama huamini is up to you.
Siwezi kukuforce uamini ila ukweli ni THE HAD A RELATIONSHIP.

Na haipo siku ya kuamini unayoyaamini kwa si fungu lililo jema. Mawazo yenu lazima yalalie kwenye ngono kwa kuwa ndio msingi wa imani yenu. Hii ni kutaka kumfananisha Yesu na yule mgoni asiyeridhika hata baada ya kuoa shugamami na katoto.

Weka ushahidi wenye akili tujadili, lkn haya ya kuniambia tu ndio ukweli ndio ukweli hayo kayafanye kwenye mihadhara yenu ile ya matusi. Yawezekana hata baba yako akiongea na dada yako huwa unawaza kuwa anamtongoza kwa kuwa hilo ndio liko mioyoni mwenu na linawatia unajisi kiasi hamwezi kukaa pamoja, lazima mgawanywe kama wanyama, vinginevyo mtapandana
 
nasikia sasa papa na UN wanataka kuipa jerusalem hadhi ya international city ili wapate kuivua milki yake toka kwa israel na uwe mji wa mataifa yote.ama kweli MUNGU yupo maana nilichosoma kwenye unabii naona kikitimia.

.
Hilo umelisikia wapi tena mkuu.
Ama katika matendo ya Mitume 1:6-8 ''Basi walipokutanika wakamuuliza, wakisema, je! Bwana, wakati huu ndipo unapowarudishia Israel ufalme? Akawaambia, sii kazi yenu kujua nyakati wala majira*Baba aliyoyaweka katika mamlaka yake mwenyewe; Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu kutoka Yerusalem, na katika uyahudi wote, na samaria na hata mwisho wa nchi''.
Unajua wakati walipomuuliza swali hili alikuwa ndo katoka kufufuka katika kifo kile cha msalaba na kwa sababu ya kushawishika mno na nguvu na uweza aliokuwa nao wakajua kuwa ni wakati wa masihi kurejesha ufalme wa Mungu kwa taifa la Israel. Lakini Yesu akifahamu jinsi wasivyoujua mpango wa Mungu wa wokovu na majira yaliyokusudiwa katika huo mpango, aliwajibu wao wasubiri ahadi yao ya Roho mtakatifu kwani huyo angeliwafunulia hata yale yaliyofichika wasiyoyajua. Ndio maana hata wa leo Israel kama taifa wanamsubiri masihi ajaye katika nguvu na uweza ila alipokuja kwa mara ya kwanza kwa hali ya kinyonge mno, hali hiyo iliwapofusha wasimuone sawa na Rumi 11. Ikawa sababu ya kuondolewa na kufukuzwa katika mataifa yote ya dunia kama isemavyo pia Lk 21. Hata hivyo ahadi ya kurejea katika nchi ya uwenyeji wao iko pale pale maana Mungu hakuwahi kuahidi asitende. Sasa huku kurejea kwa Israel nyumbani kwa mataifa ni sawa na kule kupofushwa kwa Israel walipomkataa masihi. Watu watakuwa wamekuzwa katika fundisho la error kuihusu Israel na mji wake Yerusalem. Fundisho hilo litafikia kukomaa kiasi kwamba hata wale waliodhaniwa ni wakristo wataungana na mataifa yote ya dunia kuivamia kambi ya mwana kondo. Hivyo tu ndivyo inavyoweza kuiweka haja ya Israel kumhitaji masihi kwa kiu kuu, kwa kuwa atakuwa amegeukwa na dunia yote. Hali hiyo ndiyo itakayomlazimisha Bwana wa vita, mfalme wa utukufu ku-finalize mambo.
Hivyo tusishangae kuona wale wanaosema wamepokea wokovu kutoka kwa Wayahudi wakiwa rafiki za adui wao kufanikisha usaliti.
.
 
Reactions: Ame

Asante sana kutu dadavulia...Israel is a living clock to all believers....Majira na wakati yanaonekana kupitia kwao.....I bless Israel the land of my living God! Huyu Yesu ambaye wengi wanajidai wana mwamini atakanwa na wengi ndipo Israel baada ya kumtambua kuwa ndiye ndilo Taifa pekee litasimama kupigana vita na mpinga kristo huku wengine wote wakifurahia mapochopocho ya mpinga kristo kama technology and so forth...
 
Sasa wewe ndo msemaji wa Watanzania ama? Jisemee peke yako sababu wapo wengi tu wanaoipenda Palestine,hizo siasa zenu znaeza wafikisha pabaya

.
Kama wapo wengi wanao ipenda philistine, pia wapo wengi wanao ipenda Israel. Na kama Membe anawasemea wanao ipenda Philistine ikiwa ni pamoja na wewe, nani basi Tanzania anaewasemea wanao ipenda Israel?
.
 
 

Ur very right Mkuu.
Sisi wote ni watoto wa Mungu kwa sababu tunamkubali Yesu na yeye aliyemtuma. Ila Taifa teule la Mungu kwa mujibu wa maandiko ni Israel kaka. Mungu amefunga maagano mengi sana na Israel na sisi ni sehemu ya maagano hayo. Kwa sababu kupitia kwa Yesu tunaunganishwa kuwa warithi wa ahadi za Mungu na uzao wa Ibrahim. Kwa hili uko sahihi. Ila yapo ambayo yanapply kwa Israel pekee. Usifikiri Ibrahim na Isaka na Yakobo walikuwa watu wepesi kiimani, hawa waliweka maagano na Mungu vizazi hata vizazi. Haijalishi kwamba Israel wametenda dhambi gani ila Siku wakitubu na kumuita Mungu, Mungu atayakumbuka maagano aliyofanya na Ibrahim, Isaka na Yakobo.

LAKINI ukae ukijua kwamba Mungu si Mwanadamu hata aseme uongo. Akisema kwa kinywa chake ujue atatenda kwa sababu mbingu na nchi vitapita lakini neno la Mungu litasimama. Alisema atawapiga Israel na kuwatawanya juu ya uso wa nchi na akafanya hivyo. Akasema atawakusanya Israel toka mataifa yote na kuwarudisha katika nchi aliwapa kuwa yao, na akafanya hivyo mwaka 1948. Usifikiri kwa sababu Israel hawamtambui Yesu kama messiah basi wamekoma kuwa Taifa teule la Mungu.

by the way, ushukuru kwamba Israel walimkataa Yesu kwa sababu hiyo ndiyo iliyopelekea kuzaliwa kwa kanisa la mungu na wokovu wa mataifa including you and me. Kinyume na hapo sisi tulikuwa tukihesabiwa kama (kumradhi ashakum si matusi) Mbwa mbele ya familia ya Mungu. Rejea kauli ya Yesu pale alipoombwa na mwanamke wa kabila la Canaan amponye mwanae "Si vyema kuwapa mbwa chakula cha wanangu"...So Jesus was sent only for Jews ili kutimiza yote maandiko ila walipomkataa basi neema wakapewa mataifa waaminio (kanisa).

Una maana gani kuuliza tofauti ya agano la kale na agano jipya? Au mkuu unadhani kwamba agano la kale limebatilishwa na agano jipya?. Kilichobadilika pekee ni kwamba badala ya kutegemea matendo ya sheria, sasa tunaishi kwa imani na Neema...Yesu mwenyewe anasema sikuja kuitangua torati ila kuitimiza...putting an end to the works of the law but not nullifying the prophecies of God regarding Israel.
 

halafu kuna huyu Lazaro,hebu soma hapo luka toka anafufuliwa hadi siku ya sita alipokwenda kuspend all nightlong na yesu kwamba alikua akifundishwa eti mystery za kingdom of god....mhh.KWELI?.
Halafu siku wanakuja kumkamata yesu wale warumi Lazaro alitoka mbio AKIWA KAMA ALIVYOZALIWA.
Isome yote afu uje na jibu what was happening between the two of them.JESUS NA LAZARO.
Huna haja ya kupanikipaniki na kutukana.JUST ANSWER .hayo ni maandiko siyo maneno yangu .
 

oooh...sorry kama imekutouch au nimehit point lakini Maandiko yamesema yuko mwanafunzi alikua haishi kuegama kifuani kwa bwana.
Simkumbuki vizuri kama alikua ni yohana ama petero.sasa sioni sababu ya wewe kuovereact.I JUST WANTED TO KNOW.
 
Mkuu Elungata,
Nakusoma na miwani ya 3D unatisha...endelea kutoa darsa.
 
Last edited by a moderator:
.. and how do muslim fit to that imaginary equation of yours? Do you see when you said hili jambo si lakidini ulikuwa unadanganya?

Huu mzozo unahusu occupation. Ni mgogoro wa ardhi. Mmoja (israel) ilikuwa ardhi yake karne na karne, wakasambaratishwa na kutawanywa. Watu wapya wakaamia (Arabs who had no real identity but mostly from Palestine) kwenye hiyo ardhi ilioachwa na wenyeji. Wakakaa for over 100years.

Baadae baada ya miaka mingi the real natives started comibg back and they wanted to form their nation on that land.

Hawakuridhika, they also wanted waliowakuta ambao currently ndo owners watoke eneo hilo warudi walipotoka.

Wenyeji wa sasa (Arabs) nao wakagoma claiming that was their land too, lived there for 100 years and so. Wamezaliana and burried their grandfathers fathers. Thier generation have known only one place as home and that was their home.

Natives ambao ndo wageni sasa nao wakasema hakieleweki this is our land and we dont even need to show evidence the whole world knows (its even written in the Bible and your Koran) and with a strong backing from powerfull allies who are either jews or have jews liniage they used all means kurudisha ardhi yao. And one of the means was ubabe, force.

Sasa kumbuka majority ya hawa wa arab ni waislam and these are more than a million muslims. And we all know what muslims are made of when it comes to kumuonea mtu ambaye ni muislam, to them unaonea uislam. Watu,dini wakaununua ugomvi.

Sasa tell me how is it a religous conflict?
 
oooh...sorry kama imekutouch au nimehit point lakini Maandiko yamesema yuko mwanafunzi alikua haishi kuegama kifuani kwa bwana.
Simkumbuki vizuri kama alikua ni yohana ama petero.sasa sioni sababu ya wewe kuovereact.I JUST WANTED TO KNOW.

Please don't put a FROG into my mouth. Nyinyi wanyewe tena kwa quote maandishi hayo "matakatifu" mmesema kwamba
  1. Nabii Issa Bin Mariamu alikuwa HOMOSEXUAL
  2. Mtume Mohammed SAW alikuwa PEDOPHILE

Mimi nikasema hawa watakuwa sio MITUME wa MUNGU watakuwa MITUME SHETANI na hiyo DINI Itakuwa ni ya SHETANI. Sasa hapa nime over react nini?
 
The difference between Hitler and [British Foreign Minister] Balfour was simple: the former [Hitler] did not have colonies to send the Jews to, so he destroyed them, whereas Balfour ...[turned] Palestine into his colony and sent the Jews. Balfour is Hitler with colonies, while Hitler is Balfour without colonies. They both wanted to get rid of the Jews...Zionism was crucial to the defense of the West, [by] ridding Europe of the burden of the Jews."
[Al-Hayat Al-Jadida, Dec. 6, 1998]​
 
The State of Israel was created in a peaceful and legal process by the United Nations. It was not created out of Palestinian lands, but rather out of the Ottoman Empire, which had been ruled for 400 years by the Turks who lost it when they, fighting alongside Germany, were defeated in World War I. There were no "Palestinian" lands at the time because there were no people claiming to be Palestinians, but rather simply Arabs who lived in the region of Palestine.

It was only after World War I that the present states of Jordan, Syria, Lebanon and Iraq were also created – also out of the Turkish Empire by the British and French victors. Jordan was created on about 80 percent of the Palestine Mandate, which was originally designated by the League of Nations as part of the Jewish homeland. Since then, Jews have been prohibited from owning property there.

In 1947, a UN partition plan mandated the creation of two states on the remaining 20 percent of the Palestine Mandate: the State of Israel for the Jews, and another state for the stateless Arabs. But the rulers of eight Arab states did not want a non-Arab state anywhere in the Middle East. Thus they rejected the UN arrangement and simultaneously launched a three-front war of annihilation against the newly created state of Israel -- on the very day of its creation in 1948. Israel begged for peace and offered friendship and cooperation to its neighbors. The Arab dictators rejected this offer and answered it with a war, which they ultimately lost.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…