Palestine thanks Tanzania for support at UN

Palestine thanks Tanzania for support at UN

he Israelites may refuse to accept it but recent genetic studies show that Palestinians are also descendants of the ancient Hebrews. In fact the studies show that the Palestinians are even more closely relatied (genenically) to the ancient Hebrews that the modern Israeli Jews. So technically, the Palestinians are also semites.

Where is the study? Stop saying words for the sake of "copy and paste" and paste said bogus post here at JF. It is pathetic when people are using other people's quotes as theirs. Go and tell the Palestinians that they are Semites, then wait and see their reactions towards you. You will be speaking to Allah in less than a minute.

When the Jewish people were dispersed in the 1st century, there were those who remained in the Holy Land. Many became Christians and later, many also converted to Islam. These are the Palestinians.
What a bunch of malarkey. So, when a Jew converted to Islam he becomes a Palestinian. So, to you a Palestinian means an islam convert!!!! What a pathetic way of thinking .

FYI, Islam came to exist on the 7th Century and not the 1st Century and/or few years thereafter.

While the Palestinians may have been mixed with Arabian, Turkish, Persian, Greek blood....the modern Israeli Jew is also mixed with European blood like Russian, German, Polish, Spanish, etc. and others like Turkish, etc. And the genetic studies show that Palestinians are genetically closer to ancient Hebrews that the modern Israeli Jews.
Can you give us that study.
 
.
You're very right sir. I also salute your contribution on this tread, BIG UP!!
.

thanks kiby.peace to all who not only proclaim to be right,but also are willing to strengthen their faith by finding its very meaning through subjecting it into test.
 
Where is the study? Stop saying words for the sake of "copy and paste" and paste said bogus post here at JF. It is pathetic when people are using other people's quotes as theirs. Go and tell the Palestinians that they are Semites, then wait and see their reactions towards you. You will be speaking to Allah in less than a minute.

What a bunch of malarkey. So, when a Jew converted to Islam he becomes a Palestinian. So, to you a Palestinian means an islam convert!!!! What a pathetic way of thinking .

FYI, Islam came to exist on the 7th Century and not the 1st Century and/or few years thereafter.

Can you give us that study.

ha..ha..haa!Mkwawa you have just blow my lungs!i think that's what cost sheikh Yassin his life.he called Ariel Sharon 'my nephew'and the chopper was there to blew his head off at the mosque's doorsteps!
 
Huu mzozo unahusu occupation. Ni mgogoro wa ardhi. Mmoja (israel) ilikuwa ardhi yake karne na karne, wakasambaratishwa na kutawanywa. Watu wapya wakaamia (Arabs who had no real identity but mostly from Palestine) kwenye hiyo ardhi ilioachwa na wenyeji. Wakakaa for over 100years.
Kwahiyo, hiyo ardhi ni ya Israel. Then wakasarambatishwa na kuibiwa ardhi yao na Arabs, then Israel wakarudi kwao kuwatoa wezi wa ardhi yao. Sasa, kwanini mnawatetea wezi na majambazi walio iba ardhi ya Israel?

Baadae baada ya miaka mingi the real natives started comibg back and they wanted to form their nation on that land.
Na hawa ndio akina nani? THE REAL NATIVES?

Hawakuridhika, they also wanted waliowakuta ambao currently ndo owners watoke eneo hilo warudi walipotoka.
How can you say you are the owner kwa kitu ulicho iba? Wewe mwizi akikuibia kitu na kukaa nacho kwa miaka kadhaa, je, kuna any justification ya kukumfanya mwizi kuwa owner wa kitu alicho kiiba?

Wenyeji wa sasa (Arabs) nao wakagoma claiming that was their land too, lived there for 100 years and so. Wamezaliana and burried their grandfathers fathers. Thier generation have known only one place as home and that was their home.
Bado hakuwafanyi pale kwao kwasababu umekiri kuwa waliiba pale mahali kutoka kwa Israel. Mwizi hata kama akikaa na kitu alicho iba kwa miaka elfu moja, bado hakumfanyi yeye kuwa ndio owner wa kitu alicho iba. Anabakia kuwa Mwizi.

Natives ambao ndo wageni sasa nao wakasema hakieleweki this is our land and we dont even need to show evidence the whole world knows (its even written in the Bible and your Koran) and with a strong backing from powerfull allies who are either jews or have jews liniage they used all means kurudisha ardhi yao. And one of the means was ubabe, force.
Ni kweli, Native ardhi ni yao na wezi lazima waondoke na kuheshi sheria.

Sasa kumbuka majority ya hawa wa arab ni waislam and these are more than a million muslims. And we all know what muslims are made of when it comes to kumuonea mtu ambaye ni muislam, to them unaonea uislam. Watu,dini wakaununua ugomvi.
Lakini bado haisaidii kitu. Huyo anaye dai kuonea kumbe kaiba. Mwizi huwa haoniwi bali anapewa haki yake anapo kamatwa.

Sasa tell me how is it a religous conflict?
It is religious since huyo Muislam kesha sema anaonewa na umemwita Muislam, hukusema Mwarabu au Mpalestina ua Mpashia. Je, unaweza kuzungumzia Muislam na kumwita hivyo bila ya kuwa dini?
 
Kwahiyo, hiyo ardhi ni ya Israel. Then wakasarambatishwa na kuibiwa ardhi yao na Arabs, then Israel wakarudi kwao kuwatoa wezi wa ardhi yao. Sasa, kwanini mnawatetea wezi na majambazi walio iba ardhi ya Israel?

Na hawa ndio akina nani? THE REAL NATIVES?

How can you say you are the owner kwa kitu ulicho iba? Wewe mwizi akikuibia kitu na kukaa nacho kwa miaka kadhaa, je, kuna any justification ya kukumfanya mwizi kuwa owner wa kitu alicho kiiba?

Bado hakuwafanyi pale kwao kwasababu umekiri kuwa waliiba pale mahali kutoka kwa Israel. Mwizi hata kama akikaa na kitu alicho iba kwa miaka elfu moja, bado hakumfanyi yeye kuwa ndio owner wa kitu alicho iba. Anabakia kuwa Mwizi.

Ni kweli, Native ardhi ni yao na wezi lazima waondoke na kuheshi sheria.

Lakini bado haisaidii kitu. Huyo anaye dai kuonea kumbe kaiba. Mwizi huwa haoniwi bali anapewa haki yake anapo kamatwa.

It is religious since huyo Muislam kesha sema anaonewa na umemwita Muislam, hukusema Mwarabu au Mpalestina ua Mpashia. Je, unaweza kuzungumzia Muislam na kumwita hivyo bila ya kuwa dini?

.
Mkuu umempiga mtu nje ya ulingo bila hata kuchafua shati lako jeupe. Labda atajipanga vizuri zaidi next time au ajisalimishe katika kweli. Pamoja mkuu and thanks!!
.
 
Sisi tunajua mataifa yote yataigeuka Israel, hata hao wamarekani wataigeuka! Hapo waarabu watafurahia wakifikiri wamefanikiwa na kupata ushindi! Lkn hiyo ni kama vile shetani na wapinzani wa Yehoshua walivyofurahia kifo chake bila kujua kuwa kwa mateso na kifo chake ndo kazi ya ukombozi ilikuwa imeshika kasi kwa kishindo. Mnaoilaani Israel endeleeni kwa bidii maana mnaharakisha kutimia kwa unabii. Ninaibariki Israel kwa jina kuu la Yehoshua Masihi, Amen.
 
Now baada ya karne na karne Yesu anakuja na Mungu anaweka agano jipya na wanadamu through damu ya Yesu pale msalabani.

Kwani Yesu hakutambua uspecial wa watu wa Israel(He was one of them) but katika mahubiri yake alikazania kuwa sisi wote ni watoto wa Mungu na hakuna tena mambo ya hawa wa israel na hawa ni watu wa Mataifa....

Wana israel hawajakoma kuwa Taifa teule la Mungu, but they are nolonger the centre stage of imani,

Alaf kukujibu Hatukuupata Ukombozi kwasababu Waisrael waliukataa, huu ukombozi ulipangwa kabla hata waisrael hawajaingia agano. There is nothing to thank Jews for.

We are nolonger second class people, we are of Jesus Christ and He lives in us and we live in Him. Through him we are made one with the Father.

Yesu hakuja kuitengua Torati bali kuitimiza. Maana yake kwamba Mafundisho ya Mussa bado yalikuwa yanamapungufu au only the half part.

So ujue kuwa the whole Old tastement na Maisha ya wayahudi was to prepare watu kwa ajili ya ujio wa Yesu na vilikuwa kwa ajili ya Yesu. So Yesu alivyokuja we began a new Chapter. There was nolonger Jews and kuobserve sheria there was only Kumuamini Yesu na Yeye ndo kweli ya Dunia

Safi sana mkuu, napata faraja kuchambua neno la Kristo namna hii. Its for spiritual edification you know n thats great.
Kumbe kuumega mkate wa neno sio mpaka mtu uende fellowship.

Kumbe hapa mimi na wewe hatuna cha kubishana mkuu, ila kuna maeneo nataka twende sawa:

Kwanza wote tunakubaliana kwamba Israel haijakoma kuwa taifa teule la Mungu...na hivyo yote niliiyoorodhesha kuhusu taifa la Israel katika maandiko hayajabadilika. Sasa hapa napenda tena kujua msimamo wako katika mataifa mawili, Israel na Palestina wewe unaona unaegemea upande gani?...na Je, uko tayari kupokea laana kutoka kwa Mungu kwa ww kusimamia humanitarian issues rather than the words and warnings of God kwa kulaani Israel dhidi ya Palestina?

Ni kweli kwamba Mungu aliahidi kuleta ukombozi wa wanadamu wote kwa njia ya Kristo ila mlango wa kupitia ulikuwa Taifa la Israel (Kama hutoona uvivu basi napenda tuzame ndani zaidi).

1. Umewahi kusoma injili ya Yohana? "...alikuja kwa walio wake (Jews) ila hawakumpokea; Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika kuwa wana wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake (John 1:11-12). Nini kinajiumba akilini kwako unaposoma maandiko haya?

2. Umewahi kufikiri Jews wangempokea ni nini kingetokea? Je, kungekuwa na haja ya ujumbe huu kupelekwa kwa mataifa? (Angalia Yesu anapofananisha Ufalme wa Mungu na mtu aliyeandaa karamu kubwa).

Yesu anaposema si vema kumtupia mbwa chakula cha wanae...hapa tafsiri yako ikoje? Umewahi kusoma popote katika agano la kale unabii juu ya kanisa?...Kwa nini Mungu hakuwafunulia manabii juu ya kundi hili muhimu?

Umewahi kufikiri ni kwa nini Mungu kwa makusudi aliamua kuwafanya Israel kichwa ngumu? (Isaya 6: 9-13).

Ukiweza kupata ufumbuzi wa maswali haya utajua nini maana yangu ninaposema Israel ni Taifa la Mungu na sisi kama kanisa ni waalikwa baada ya wenye kadi halisi za sherehe (Jews) kutoa udhuru wa kutohudhuria karamu.

Na ndio maana ukiangalia majuma saba ya Unabii hutaona unabii juu ya kanisa. Kwa sababu Kipindi hiki kinaitwa " Time of refreshing and restoration of all things'' including wale mataifa waliopo katika maono ya Peter katika nukuu yako (and the voice came to him again...."What god has made clean, do not call common''.). Kwa maana nyingine Mungu ameweka mkato (,) kati ya juma la sita la unabii na juma la saba halafu kanisa likaingia hapo katikati. Usidhani Yesu alikuwa hajui kwamba Israel watamkataa, ila kwa nini alikuja kwao?..Kwa nini asiende Rumi kwanza?...jibu ni moja "Ili kutimiza unabii.

Sasa wewe na mimi tunajua kwamba Yesu alitabiriwa kama Messiah kwa Taifa la Israel. Unajua kwa nini Israel. Mara baada ya kukataliwa Neema ukapelekwa kwa mataifa. Halafu una maan gani unaposema Israel is no longer a center stage of Imani?...hujasoma maelekezo ya Yesu kwamba kwa mtini jifunzeni?

Wewe unafikiri ni kwa nini Yesu atashuka physically kupambana na majeshi ya anti-christ na kujilipiza kisasi kwa watu wake Israel kama Mungu is no longer the God of Israelites?...Unaposema no longer, una maanisha no more sio? Kwanini usitumie neno temporarily...kwa sbb wote tunajua ipo siku iliyotajwa ambayo Israel watamkubali na kuliitia jina la bwana.

Rejea paragraph yangu ya mwisho hapo uliponikoti....kwamba unakubaliana na mimi kuwa Yesu alikuja kuitimiza torati na kuweka ukomo katika matendo ya sheria za Mussa kwa kutufia msalabani.

Labda niwe clear zaidi: Mimi naelewa kwamba sisi ni kanisa la kristo, ni mwili wa kristo. Damu ya Yesu umetununua kuwa wafalme na makuhani (hapa tunarithi agano kati ya Mungu na nyumba ya haruna kuhani: agano la chumvi), tumefanyika kuwa wana wa Mungu kwa njia ya Kristo Yesu. Tumepewa mualiko kuhudhuria karamu ya mwana kondoo, tena si kwa ahadi tu ila kwa Neema. LAKINI kupewa kwetu mualiko hakuondoi uteule wa Israel.

Tuko pamoja kwamba Mungu ni wetu sote sio wa Israel pekee, na sote tuko sawa mbele za Mungu, ila tu usawa unakuja pale tunapomkubali na kumpokea Kristo...usiniambie nje ya damu ya Yesu (wokovu) kuna usawa kati yako na myahudi.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwahiyo, hiyo ardhi ni ya Israel. Then wakasarambatishwa na kuibiwa ardhi yao na Arabs, then Israel wakarudi kwao kuwatoa wezi wa ardhi yao. Sasa, kwanini mnawatetea wezi na majambazi walio iba ardhi ya Israel?

Na hawa ndio akina nani? THE REAL NATIVES?

How can you say you are the owner kwa kitu ulicho iba? Wewe mwizi akikuibia kitu na kukaa nacho kwa miaka kadhaa, je, kuna any justification ya kukumfanya mwizi kuwa owner wa kitu alicho kiiba?

Bado hakuwafanyi pale kwao kwasababu umekiri kuwa waliiba pale mahali kutoka kwa Israel. Mwizi hata kama akikaa na kitu alicho iba kwa miaka elfu moja, bado hakumfanyi yeye kuwa ndio owner wa kitu alicho iba. Anabakia kuwa Mwizi.

Ni kweli, Native ardhi ni yao na wezi lazima waondoke na kuheshi sheria.

Lakini bado haisaidii kitu. Huyo anaye dai kuonea kumbe kaiba. Mwizi huwa haoniwi bali anapewa haki yake anapo kamatwa.

It is religious since huyo Muislam kesha sema anaonewa na umemwita Muislam, hukusema Mwarabu au Mpalestina ua Mpashia. Je, unaweza kuzungumzia Muislam na kumwita hivyo bila ya kuwa dini?

Nashukuru kwanza kama now tupo kwenye ulingo nao utaka mimi wa kueleweshana bila ya kuingiza imani za kidini kwenye mgogoro huu. Ndo mana nimekupa scenarion in a very simple language uelewe kilichotokea mpka mgogoro.

Wewe umeruka to conclusion na kuwaita wa Palestina wezi. I have never called them wezi? Wao sio wezi.

They have been there tangu waisrael wapo na ukiangalia katika maandishi yangu most of the time i have refered them as Arabs kwasababu kulikuwa hakuna taifa la wapalestina but there were Arabs katika region of Palestine.

Wa israel walikuwapo hapo israel but the real nguvu ilikuwa diaspora. Jews from west ndo wakaanza kukusanyana warudi huko kwao ndo kukawa na vuguvugu la zionist state.

Nakubali bila kupinga kwamba waisrael Hebrews to be exact, ndo palikuea kwao. Romans walivyokuja wakafungua njia za trading from Alexandria all thr way to Jerusalem na maeneo ya pembeni poeple traded waarabu moved in and out of Israel na baada ya Romans. The caliphas Walivyo uchukua mji wa Jerusalem waislam waki Arab kwa wingi sana walikuja kukaa hapo. Hata Ottaman empire iliwaacha refugees wengi hapo mchanganyiko wa hawa wote ambao were displaced from watu wao wakakaa hapo israel wakazaliana na kuoana. All that time Jews were minorities.

Jews waliokuwepo hapo with the backing from diaspora wakaanza movement na mpango chini kwa chini kabla hata British mandate hawajaondoka. Tena british mandate ilikuwa kama ndo inawa support because Auxilliary soldiers were Jews.
 
It is religious since huyo Muislam kesha sema anaonewa na umemwita Muislam, hukusema Mwarabu au Mpalestina ua Mpashia. Je, unaweza kuzungumzia Muislam na kumwita hivyo bila ya kuwa dini?

Haiwezi kuwa mgogoro wa kidini kwasababu they are not fighting over holy land au over a place of worship. Wanagombania ardhi na kutaka kuestablish permanent residence and ownership of the place.

Soma vizuri maandishi yangu nimesema Large population of Palestines ni Muslims and Arabs. Sasa watu wapembeni Iran,jordan,syria et al wanauingila moja ya sababu kuu because wanaona waarabu na waislam wenzao wanaonewa. Na tayari wanajenga chuki na Jews na kuwabrand Muslims persecutors.

Kutokana kuwa one of the high profile conflit na wa mda mrefu in our time. Kila mtu anauona kwa njia yake na mostly wakiuona kama conflict kati ya Muslims and Jews over the Holy Land. But the core and root ya this conflict sio dini wala udini.
 
Israel anachopigania sii dini bali mipaka ya nchi yake. Mbona ndani ya ardhi ya israel kuna watu wa kila dini na wana uhuru wa ibada kwa mungu? Ushahidi ni nyumba za ibaada zilizopo mle miongoni mwazo ni masinagogy, makanisa na misikiti.
Hivyo kwa wengi wanaoitetea Israel, wanaitetea kama taifa na wala sii kama dini yao. Kinachojitokeza kama chuki miongoni mwa wanaopingana na ambacho hakiwezi kukomeshwa hadi ukamilifu wa dahari ni uadui kati ya allah dhidi ya Yehova(YAHU).
.
 
Kwanza wote tunakubaliana kwamba Israel haijakoma kuwa taifa teule la Mungu...
Sasa hapa napenda tena kujua msimamo wako katika mataifa mawili, Israel na Palestina wewe unaona unaegemea upande gani?...na Je, uko tayari kupokea laana kutoka kwa Mungu kwa ww kusimamia humanitarian issues rather than the words and warnings of God kwa kulaani Israel dhidi ya Palestina?
.Msimamo wangu kwenye this conflict:
I do not take side kati ya Israel wala Palestine, Silaani Israel wala nchi yoyote kwa lolote.
Nachopinga mimi ni uonevu wa waisrael kwa wapalestina. Mimi napendelea wote waishi pamoja either territorial wise au one country. Wote wa accept kuishi pamoja within that region without Mmoja kujiona ana more rights kuliko mwengine.
Kwanini nawapinga Israel kuwaonea Palestina. Waisrael ni superior kwa wapalestina in many ways, from Technological mpka political support. Kama sasa hivi wamesema they want to build more settlement Gaza wakati kuna cease fire juzi tu. Na wanajua hata wakitaka kujenga hakuna atakaye wafanya kitu, plus the number of civilian causalities katika hizi inchi mbili wanapo pigana kwa palestina ni nyingi sana.
But saying that it doesn’t mean na wasupport Hamas na makundi mengine wanavyo jilipua kuua innocent civilians in Israel. Nachukia tactics zao wanzozitumia I the name of resistance na kupinga uonevu.
Sasa basi by stating msimamo wangu niko tayari Mungu akiona sawa anihukumu na nitumikie Laaana yake in any way.

Ni kweli kwamba Mungu aliahidi kuleta ukombozi wa wanadamu wote kwa njia ya Kristo ila mlango wa kupitia ulikuwa Taifa la Israel (Kama hutoona uvivu basi napenda tuzame ndani zaidi).

Mlango wakupitia ndiyo ulikuwa Israel kwasababu hawa ndo walio mpendeza Mungu na katika kutimiza ahadi yake kwa David kuwa Masiha atatoka kwenye nyumba yako.

1. Umewahi kusoma injili ya Yohana? "...alikuja kwa walio wake (Jews) ila hawakumpokea; Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika kuwa wana wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake (John 1:11-12). Nini kinajiumba akilini kwako unaposoma maandiko haya?
Ukisoma vizuri hata kwa kiingereza wamesema He came to his own people, hapa kuna ‘to’ not ‘for’ unaposema He came to His own people means He didn’t come specifically for His own people but he came to them katika njia yake ya ukombozi.
But if They were to write He came for His people and they did not receive him. Means kwenye safari yake tangu mwanzo His people were first choice and if wakimkataa ndo anende kwa plan B. But ukombozi wa wanadamu wasn’t a Plan B was the whole purpose ya Yesu kuja Dunia. Kwahiyo toa akilini mwako kwamba hata kama Jews wangemkubali sisi bado tungekombolewa .
God promised and made an oath to Adam and Eve that he will sent a savior. And this savior was because to deliver us from sin and re establish relation with God. Through Abraham all nations shall be blessed (Genesis 12: 2-3).

Umewahi kufikiri Jews wangempokea ni nini kingetokea? Je, kungekuwa na haja ya ujumbe huu kupelekwa kwa mataifa? (Angalia Yesu anapofananisha Ufalme wa Mungu na mtu aliyeandaa karamu kubwa).

Sasa wewe na mimi tunajua kwamba Yesu alitabiriwa kama Messiah kwa Taifa la Israel. Unajua kwa nini Israel. Mara baada ya kukataliwa Neema ukapelekwa kwa mataifa. Halafu una maan gani unaposema Israel is no longer a center stage of Imani?...hujasoma maelekezo ya Yesu kwamba kwa mtini jifunzeni?
Ukiweza kupata ufumbuzi wa maswali haya utajua nini maana yangu ninaposema Israel ni Taifa la Mungu na sisi kama kanisa ni waalikwa baada ya wenye kadi halisi za sherehe (Jews) kutoa udhuru wa kutohudhuria karamu.
Jews wangempokea Yesu Mugu angefurahi zaidi kwasababu ile ahadi aliyo mpa Babu yao Abraham kuwa ata ubaliki uzao wake na Atabariki Mataifa yote Through him ingetimia kikamilifu. (Genesis 12: 2-3) so wao hata wangempokea sisi ukombozi wetu upo pale pale kwasababu Jesus wasn’t brought for Jews but for the whole World through Jews watu wake. Soma Yh 1: 10-13 who were born not of of blood, nor of the will of the fresh, nor of the will of man but of God. Binadamu wote we are born of God, sio Jews peke yao. Acts 13:46-48 Romans 3:29, Roman 10:12, Roman 3:30

Umewahi kufikiri ni kwa nini Mungu kwa makusudi aliamua kuwafanya Israel kichwa ngumu? (Isaya 6: 9-13).
Corinthians 1 :19-28
Soma maneno hayo ya Paul utaelewa kwanini mungu aliwafumbia maneno hayo wayahudi na the wise.

Wewe unafikiri ni kwa nini Yesu atashuka physically kupambana na majeshi ya anti-christ na kujilipiza kisasi kwa watu wake Israel kama Mungu is no longer the God of Israelites?...Unaposema no longer, una maanisha no more sio? Kwanini usitumie neno temporarily...kwa sbb wote tunajua ipo siku iliyotajwa ambayo Israel watamkubali na kuliitia jina la bwana.
Jesus will never shuka dunia kuja kuwapigania sio Jews wala Christians physically, that is one thing am very certain. Yesu doesn’t need to fight anyone physically, Haiwezekani hata kidogo. Jesus preaches Msamaha 70 mara 70 mara 70 why would he fight people wanao mkosea. Salvation ya Yesu sio physcall salvation ni uakombozi wa roho. His battle ni za kiroho. Jesus doesn’t need o reclaim no land for Ufalme wake sio wa duina hii, hilo ndo kilicho wafanya waisrael wasimuelewe Yesu they thought messiah atakuja kuwakomboa from oppression ya dunia, but Jesus is not interested na utawala wa dunia hii.
Israel ni taifa teule la Mungu but Mungu kampa madarak yote ya dunia hii Kwa Yesu. And Yesu ndo atakuwa the final decision kwa Yesu, yoyote atakaye muhesabu kama wake then will be saved. Sasa Jesus anatoa nafasi kwa watu wote so the day Israel wakimkiri Mbinguni kutakuwa na Sherehe
 
1/2man1/2amazin, naona kama vile maelezo yako yanamweka Mungu katika nafasi ya kujiongezea maarifa. Kwamba kile kinachoendelea katika uumbaji wake hakukijua toka mwanzo na hivyo pindi jambo linapotokea ndipo na yeye hulipokea kwa mshangao kama tufanyavyo sisi wanadamu. Bwana Yesu hakuja duniani kuteseka ili watu watakavyoona mateso yake wamkubali kwa kumhurumia. La hasha; yeye alikuja kuwakomboa wale walio wake na aliwaona kabla ya misingi ya ulimwengu na idadi yao anayo hata yule wa mwisho atakaye ingia. Hivyo suala la wokovu kwa binadamu lipo katika Program yake na plan ya hilo kusudi lake ipo hata kabla ya sisi kutungwa mimba. Israel toka kale amewatumia kama taifa likitoa somo kwa mataifa mengini na ndio maana ujumbe wa malaika Gabriel alimpelekea Daniel ujumbe wa wao kama wayahudi kumhubiri Mungu kwa majuma 70 ambapo kimsingi kila juma ni miaka saba. Ujumbe ule ulikuwa mahsusi kwa Daniel na watu wake wayahudi na mji wao Yerusalemu. Na kama unabii ule ulivyosema ni kwamba miaka ile ingelianza kuhesabiwa mara tu ya amri kutolewa wayahudi kurudi kwao kulijenga upya hekalu la Suleiman. Daniel 9. Kulikuwa na majuma saba ya mwanzo hadi hekalu kukamilika na ililenga shabaha kabisa. Na majuma 62 hata zamani za masihi aliye mkuu yaani Yesu na ikawa hivyo kabisa. Kipindi kingine ni lile juma la sabini ambapo maandiko yanasema katikati ya juma lile yaani miaka 3 na nusu ataikomesha sadaka na dhabihu yaani kuuawa kwa Yesu.zingatia hili kwamba huduma ya Yesu ilikuwa ni ya miaka mitatu na nusu. Hivyo nusu ya hili juma la mwisho imebaki kwa kuwa wokovu ulipelekwa mataifan walipomkataa masihi hata ukamilifu wa mataifa utakapo wadiaI. Israel watakamilisha hii nusu juma ya lile juma la mwisho la majuma sabini ya daniel kwa huduma ya ile mizeituni miwili ya ufunuo 11. Kipindi hiki kitakuwa ni dhiki kuu kwa mataifa. Huwezi kulifanya neno la Mungu litoke katika plan yake. Sisi mataifa hatukupewa mda ila tuliambiwa tujifunze kwa Israel kwamba kizazi kile kitakachoshuhudia wakirudi kutoka kote huko walikofukuziwa kurudi ktk nchi ya wenyeji wao, hakitapita hata yale yote yaliyotabiriwa na manabii yametimizwa.
Kwa habari za Mungu kutenda katika Roho ni sawa lakini madhihirisho ya kile kinachofanyika katika roho hudhihirishwa katika ulimwengu wa mwili. Jaribu kutafakari ahadi ya kufufuliwa; kwanini kufufuliwa ikiwa ya kwamba tulipaswa kuishi kama roho?
.
 
Jesus will never shuka dunia kuja kuwapigania sio Jews wala Christians physically, that is one thing am very certain. Yesu doesn't need to fight anyone physically, Haiwezekani hata kidogo. Jesus preaches Msamaha 70 mara 70 mara 70 why would he fight people wanao mkosea. Salvation ya Yesu sio physcall salvation ni uakombozi wa roho. His battle ni za kiroho. Jesus doesn't need o reclaim no land for Ufalme wake sio wa duina hii, hilo ndo kilicho wafanya waisrael wasimuelewe Yesu they thought messiah atakuja kuwakomboa from oppression ya dunia, but Jesus is not interested na utawala wa dunia hii.
Israel ni taifa teule la Mungu but Mungu kampa madarak yote ya dunia hii Kwa Yesu. And Yesu ndo atakuwa the final decision kwa Yesu, yoyote atakaye muhesabu kama wake then will be saved. Sasa Jesus anatoa nafasi kwa watu wote so the day Israel wakimkiri Mbinguni kutakuwa na Sherehe

Isome tena biblia yako.....Jesus fights even physically only the design of his fight is superior to our old ways....While Jesus fight using spirit to defeat body (Physical) most fight using brains and some using their bodies (Physical)....Marekani ana nguvu kwasababu ya technology yake ambaye ni manifestation ya kiasi cha ungunduzi na siyo kuwa kasababu inawatu wengi ama silaha nyingi....Quality (Result of brain)....Jesus uses a superior weapon spirit to fight and this strengths zina manifest in physical world..Ndiyo kusema mfano Pharaho alikuwa na better technology na army..chariots and arms lakini waisrael walikuwa wanaongozwa na holy spirit...Lakini holy spirit akiwa na sophysticated technology ambayo binadamu mpaka leo hawajaigundua akapasua bahari ya Sham and Israelites went as if it were a dry ground na Egyptians walipotaka kuvuka they where all drawned into the sea....So siyo kwamba Mungu haku fight physically he did ila technology yake ilikuwa by far superior to that of the human brain; na ndivyo itakavyokuwa kwa ile vita ya mwisho..Israel wataipiga dunia kwa technology ambayo ni beyond human imagination. Na kila mtu ataona with a physical eye defeat kwa wale wote walio against Israel...
 
What a blessed sweet fact. 'U said it all mkuu.
.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
I am not in support of Israel simply because they once claimed or stated Tanzania to be Irrelevant to them the comapre of tripolitania and Mauritania!
 
Isome tena biblia yako.....Jesus fights even physically only the design of his fight is superior to our old ways....While Jesus fight using spirit to defeat body (Physical) most fight using brains and some using their bodies (Physical)....Marekani ana nguvu kwasababu ya technology yake ambaye ni manifestation ya kiasi cha ungunduzi na siyo kuwa kasababu inawatu wengi ama silaha nyingi....Quality (Result of brain)....Jesus uses a superior weapon spirit to fight and this strengths zina manifest in physical world..Ndiyo kusema mfano Pharaho alikuwa na better technology na army..chariots and arms lakini waisrael walikuwa wanaongozwa na holy spirit...Lakini holy spirit akiwa na sophysticated technology ambayo binadamu mpaka leo hawajaigundua akapasua bahari ya Sham and Israelites went as if it were a dry ground na Egyptians walipotaka kuvuka they where all drawned into the sea....So siyo kwamba Mungu haku fight physically he did ila technology yake ilikuwa by far superior to that of the human brain; na ndivyo itakavyokuwa kwa ile vita ya mwisho..Israel wataipiga dunia kwa technology ambayo ni beyond human imagination. Na kila mtu ataona with a physical eye defeat kwa wale wote walio against Israel...

John 2:15 says, “Do not
love the world nor the things in the world. If anyone
loves the world, the love of the Father is not in
him.”

If you were of the world, the world would love its own; but because you are not of the world, but I chose you out of the world, because of this the
world hates you.” John 15:19

"I have given them Your word; and the world has hated them, because they are not of the world,
even as I am not of the world.” John 17:14

"For God did not send the Son into the world to judge the world, but that the world might be saved through him. He who believes in him is not judged; he who does not believe has been judged already, because he has not believed in the name of the only begotten Son of God. This is the judgment, that the Light has come into the world, and men loved the darkness rather than
the Light, for their deeds were evil.” (John 3:17-19)

And He says
"My Kingdom is not an earthly kingdom. If it were, my followers would fight to keep me from being handed over to the Jewish leaders. But my Kingdom is not of this world."

Mifano yote inakuonesha kuwa Jesus has never been interested in physical and Perishable stuff (ardhi,vitu vya dunia hii, uongozi wa dunia hii or utukufu wa dunia hii) He doesnt need to come to fight physically anyone in this world kwaajili ya kurestore the Glory ya Israel hata christians.
Nasema tena i am so so certain.

Nakuomba tuendelee kumuomba Yesu atujaze Roho wake Mtakatifu atufunilie na kutu enlighten kuweza kuyaelewa vizuri mafindisho yake na hizo habari za siku ya Mwisho
 
Kwa habari za Mungu kutenda katika Roho ni sawa lakini madhihirisho ya kile kinachofanyika katika roho hudhihirishwa katika ulimwengu wa mwili. Jaribu kutafakari ahadi ya kufufuliwa; kwanini kufufuliwa ikiwa ya kwamba tulipaswa kuishi kama roho?
.

Kwani wewe unaelewa vipi kuhusu kufufuka?

Kwani Yesu alivyokufa msalabani baada ya pale what happened to his body and spirit exactly?
 
Where is the study? Stop saying words for the sake of "copy and paste" and paste said bogus post here at JF. It is pathetic when people are using other people's quotes as theirs. Go and tell the Palestinians that they are Semites, then wait and see their reactions towards you. You will be speaking to Allah in less than a minute.

What a bunch of malarkey. So, when a Jew converted to Islam he becomes a Palestinian. So, to you a Palestinian means an islam convert!!!! What a pathetic way of thinking .

FYI, Islam came to exist on the 7th Century and not the 1st Century and/or few years thereafter.

Can you give us that study.

Noah had three sons...-SHEM,HAM and JAPHET.
The eldest son of Noah is the ancestor of SEMITE(genesis 10)-include,HEBREW,ARMENIA AND ARAB.
-HAM is the ancestor of HAMITES...it include Cushite,CANAANITE and EGYPTIAN.(genesis 8:9).
JAPHET ,THE descendets of japhet inhabited EUROPE AND ASIA.
HAM had a son called CAANAN WHICH In turn had a son called sidon(genesis 10:15) these lived on the coast of the eastern mediterania (genesis 10:18.
The cananite who lived in now days lebanon where later known as phoenician.
 
For real i support israel and not palestine,and jerusalem belongs to israel

I am not among them who support Palestines. Please take note on that. My stand till death is support towards holy land Israel, and Jerusalem holy city. Let the history record my stand.
 
Back
Top Bottom