Pale wababa tunapoachwa nyumbani!

Pale wababa tunapoachwa nyumbani!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,510
Reaction score
88,977
348s.jpg
burnt-parcel-naan-cheated.jpg

Wamama ati huku ndo kuteleza kwa mkono..?
 
Mambo yote anaweza akaweza ila kwenye kukadiria Moto!!,ukiweka Moto mdogo unaona unachelewa hapa ndo hutoka vitu visivyo vya sayari hii!!
Hahahaaa. Na hapo unakuta chapati zenyewe hata tano hazifiki.

Hata kusukuma bado kwake ni changamoto. Unaona hiyo duara ya chapati ilivyo na konakona. 😀😀😀
 
Hahahaaa. Na hapo unakuta chapati zenyewe hata tano hazifiki.

Hata kusukuma bado kwake ni changamoto. Unaona hiyo duara ya chapati ilivyo na konakona. 😀😀😀
Halafu mara jirani huyo hodii mpaka ndani!! Ndo umetenga kitu Cha namna hiyo! Unaweza ukasali kisulisuli Cha chapati kije kifanye mabadiliko..
 
Back
Top Bottom