Ushuru haramu kwa machinga wanaopanga bidhaa barabarani Posta

Ushuru haramu kwa machinga wanaopanga bidhaa barabarani Posta

Ntibegelana

Member
Joined
Oct 10, 2020
Posts
5
Reaction score
4
Posta Nimekuta na Kisa kimoja, Utumishi House kuna wamama na Wababa wanapanga Bidhaa chini.

Hapa kuna Mgambo wanachukua ushuru wa tsh 1000 kwa kila Machinga mmoja anapanga biashara jioni kuanzia saa 11 jioni.

So inasikitisha watu kama hawa wanashindwa kufanya kazi yao wanakuwa wezi na wanyonyaji kwa Watanzania Wenzao.

Nashauri mamlaka ziwachukulie hatu watu kama hawa.
 
Hilo eneo lakini si hawaruhusiwi kufanya biashara?
 
Mgambo bwana ,wanakula huku na huku,leo wanapokea buku buku,kesho analipwa posho ya mkurugenzi ya kuwaondoa.
 
Mgambo bwana ,wanakula huku na huku,leo wanapokea buku buku,kesho analipwa posho ya mkurugenzi ya kuwaondoa.
Kodi ya nani inatumika kusafisha barabara! Hatujawahi kuwaona shangazi zenu wakisafisha barabara, lipeni kodi ili barabara mnazozichafua zisafishwe.
 
Back
Top Bottom