Pale wababa tunapoachwa nyumbani!

Hilo ni kundi la wababa wa dar lililozaliwa kutoka kwenye wanaume wa dar sisi wa kaskazini hatuoikagi huo uchafu
REF: YouTube machali wa chuga na chaparara zao sio huo uchafu wa wanaume wa dar uliouweka hapo
 
Kupika bhana yataka moyo, huwa napika wali lkn kila siku unakuga bokoboko, na unaungulia mpaka nawaza cjui ninunue jiko la mkaa ndo nitafaulu
 
Kuna siku nilijitia ujuaji wa kutaka kupika chapati za kumimina...wife hakuwepo home na nilikua nimeshampiga chabo jinsi ya kumix na kutoa k2 cha ukweli.nilibugi ki2 kimoja 2 ule unga uliokua umebaki ulikua wa sembe mm niliuchek kimapepe nikajua ni ngano..

Nilijitahidi kufata process zote lkn k2 kilichotokea hapo ilinibidi nilale njaa mpk leo sitamani tena kuingia jikoni..btw niliyaonea uchungu sn mayai yng mpk leo nikikumbuk roho inauma
 
Back
Top Bottom