Pale wababa tunapoachwa nyumbani!

Pale wababa tunapoachwa nyumbani!

Dah... Upishi, udobi na usafi ni fani kama urubani, udaktari, uhandisi, uvuvi ...nk na siyo kazi za wanawake kama wengi tunavyodhani.....wamama wanatakiwa wawe mahiri kwenye kazi moja TU
Kujimwambafai chumbani UNO
 
We jamaa ukiachwa home toka na watoto mkale bata au u nampigia mpishi anakupikia chakula cha five star restaurant mama akirudi anakoma mwenyewe
Huo utakuwa msala mwengine mkuu! Heri kwenda kula sehemu nyengine kuliko kuleta mpishi navyojijua hawezi kuja mpishi jinsia yangu!! Lazima aje wakike hapa napo tuombeane uzima😂😂
 
Shadeeya, nimeshinda kufanya quotation

Hapana! Kabisa ninapika vizuri kwa sufuria au frying pan kwa kutumia iwe gesi, umeme na hata mkaa.

Ninauwezo wa kupika Wali, Ugali, Tambi, Chapati, Kumenya ndizi na kupika kwa uchache....

Na hivi karibuni nimegundua pishi langu mwenyewe nililolipa jina (Sérgio X One) pishi linahitaji:-

Wali uliotiwa saumu, cinnamon, iliki, mdarasini, Irish potatoes. (Haitakiwi kuwekwa viungo vinahusiana na pilau)

Irish Potatoes zinakuwa roasted na rojo mkausho wa aina ya huku ndani yake ikiwemo hoho, carrot, kitunguu, binzari, nyanya, nyama na hulipika na maji ml. 300 tu.

Mayai mawili utakaan'ga kwa kutia Irish potatoes kiduchu huku ukihakisha umetia mchanganyo wa kitunguu na broccoli salad!

Chai ya Maziwa yenye viungo tashtiti, au Juice ya matunda mepesi (Oranges, Lemon, Tikiti yenye saumu kidogo)

Hapa nitamuandalia mhusika na kuonja radha ya mikono yangu. 🌚
 
Mkuu huu mchanganyiko mtu akila akitoa kitu Cha puuu.. si itakuwa shambulio la kigaidi hili..?
Hapana! Andaa Wali kidogo, mchanganyiko wa viazi hivyo kidogo na yai husika. Sahani isifikie 3 Quarter....

Nakuhakikishia lazima niTrademark hili pishi.
 
Hapana! Andaa Wali kidogo, mchanganyiko wa viazi hivyo kidogo na yai husika. Sahani isifikie 3 Quarter....

Nakuhakikishia lazima niTrademark hili pishi.
Ha ha mpaka hapo ushanichanganya!! We fanya uwezavyo sisi ndo tutakuwa wateja..
 
Mimi nilipikaga chapati za kusukuma hizo, sijui nilikosea wapi hadi leo maana ile chapati sahani ya bati ni nyepesi kwa jinsi ilivyokuwa ngumu, jikoni badala ya kuiva inataka kuungua kama kuni kwenye frypan.

Yaani ikirushwa ikampitia mtu shingoni, inapita na shingo mazima.

Hadi leo sijawah kujaribu tena.
 
nimeangalia picha nikawaza hizi chapati au butter naan. ila jaribu tena na tena mkuu utaweza tu
 
Hizo chapati zinafanania kidogo na ile mikate ya Yesu ya kwenye filamu.
 
Back
Top Bottom