Pale unapomaanisha its over

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
667
Heshima yenu wakuu
Basi bwana nimekaa zangu hapa
Kausingizi kapo kwa mbali
Ghafla naingia humu alafu nakumbuka kipindi cha nyuma ambapo nilikuwa nikimuwaza kijana mmoja

Ambaye alishanitesa sana,ambaye nilikiri siwezi kuishi bila yeye,kijana wa Magufuli hahahah najicheka
Ukweli ni kuwa namkumbuka labda baada ya siku 4 au wiki ndo ananijia kichwan nimegundua hakuna kitu hakiwezekan what matter its all about time!

Nakutia moyo ambaye unakutana na hali kma hiyo unapoamua moyoni na ukasema now its over I need to mov on unapata nguvu mpya sema will take a time tu kumtoa huyo mtu moyoni.

Muda muda muda
[HASHTAG]#slp[/HASHTAG] well
 
Nimeuliza swali hapo juu hujajibu,..uko single?
 
Kwa namna nilivyopitia nyuzi zako, utakuwa umeliwa sana mdada..! Jamvi la wageni utakuwa..
 
muwe mnaamanisha sasa, mambo ya its over mtu anakubembeleeeeeeeza unamkataa then after 4 or 8 months unarud baada ya kwenda kwa mwingine ukakuta sio unaona bora kule kwa zamani. maisha sio black and white, muwe wavumilivu na mdate kama matured people. sio kama vijana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom