donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Ila huyo wanaume atakuwa wa sehemu gani maana yuko soft au wa jiji letu pendwa
Trh teh la dar?Ila huyo wanaume atakuwa wa sehemu gani maana yuko soft au wa jiji letu pendwa
HahahHuyo sio mdada wa Kinyakyusa
Madada zetu wana ngozi nzuri na laini sababu ya chakula bora!
Huyu dada ni watu wa Pwani itakua
Haswaaa naona mkono wa kuchimba viaz kabisa huo huyo dada ndio wale wauza viaz pale mwanjelwa
Hiyo picha ni ya bibi wa miaka 60 aliyefunga ndoa na mtoto wa miaka 10 nchini South Africa au Zimbabwe kama sikosei, ilisambaa sana kwenye mitandaoIla huyo wanaume atakuwa wa sehemu gani maana yuko soft au wa jiji letu pendwa
Ndio
Sawa mkuu ila mdau ameona achangamshe tu jukwaaHiyo picha ni ya bibi wa miaka 60 aliyefunga ndoa na mtoto wa miaka 10 nchini South Africa au Zimbabwe kama sikosei, ilisambaa sana kwenye mitandao
Vidole vya mwanamme vinaashiria hata kipimo cha ujazo wa kule itakuwa mfano wa mboga ya haraka "bamia"Ila huyo wanaume atakuwa wa sehemu gani maana yuko soft au wa jiji letu pendwa
Vidole vya mwanamme vinaashiria hata kipimo cha ujazo wa kule itakuwa mfano wa mboga ya haraka "bamia"

Ndaga malafyaleHuyo sio mdada wa Kinyakyusa
Madada zetu wana ngozi nzuri na laini sababu ya chakula bora!
Huyu dada ni watu wa Pwani itakua