Habari zenu wana jf?Leo kupitia clouds fm radio kipindi cha kuperuzi magazeti nimesikia habari ya walimu pamoja na familia zao kujikuta wamelala nje wengine kunyolewa nywele kichwani wengine sehemu za siri,hayo matukio yametokea huko sengerema,mwanza kwa tukio hilo kwa nini? tusiamini kwamba uchawi upo