Pale tunapoambiwa kwamba uchawi upo huu ndio uthibitisho

wil ia m

Member
Sep 30, 2017
91
57
Habari zenu wana jf?Leo kupitia clouds fm radio kipindi cha kuperuzi magazeti nimesikia habari ya walimu pamoja na familia zao kujikuta wamelala nje wengine kunyolewa nywele kichwani wengine sehemu za siri,hayo matukio yametokea huko sengerema,mwanza kwa tukio hilo kwa nini? tusiamini kwamba uchawi upo
 
Na mimi ninao na ninawaloga haswa.
Bado kumloga Ebitoke tu, anasumbua sana instagram kisa anataka kulogwa
 
Habari zenu wana jf?Leo kupitia clouds fm radio kipindi cha kuperuzi magazeti nimesikia habari ya walimu pamoja na familia zao kujikuta wamelala nje wengine kunyolewa nywele kichwani wengine sehemu za siri,hayo matukio yametokea huko sengerema,mwanza kwa tukio hilo kwa nini? tusiamini kwamba uchawi upo

Haha utafugaje nywele za siri bwana,

Walikua wanakumbushwa tu kujifanyia usafi

[HASHTAG]#NATANIA[/HASHTAG]
 
Habari zenu wana jf?Leo kupitia clouds fm radio kipindi cha kuperuzi magazeti nimesikia habari ya walimu pamoja na familia zao kujikuta wamelala nje wengine kunyolewa nywele kichwani wengine sehemu za siri,hayo matukio yametokea huko sengerema,mwanza kwa tukio hilo kwa nini? tusiamini kwamba uchawi upo
Wasenge rema bhana!
 
Uchawi upo sana tu mkuu
 
anae kwambia hakuna uchawi muangalie kwa jicho la pekee, lazima atakuwa mwanga.

pia usikubali mtu akupeleke kwa mganga hawakawii kuwa chama la wanga wakakufanyia ulozi
 
Sio kitu cha kawaida unalala ndani halafu kesho yake asubuhi unajikuta umelala nje. Daaaaa! Inatisha sana
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaosema hakuna uchawi, ajabu zaidi wengi wao walokole, huwa najiuliza sasa kwanini wanakesha makanisani.

*Ila dawa yake dawa tu
 
a7d646012359517234b16fc4109c5ec0.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom