Pale bwana harusi anapoonesha uweZo...!!!!

Sasa mbona bibi harusi katulia tuu haonekani hapo anaacha mume wake anakumbatiwa na watu kibao.... tena kumbato la kumng'ang'ania kwelikweli huku miguuni ikiinuliwa juu looh ndo mwanzo wa kuibiwa mume hukoo wee anakinadisha hivyo hata mie nimeshawishika na mauno khaaa.
 
acha bas kasie sure umedata kumbe mnapenda mauno
 
Kwa Wacongolese kucheza muziki namna hyo sishangai kwa kuwa muziki kwao ni sehem ya maisha na hats wa2 wengi wanaojihusisha na muziki Mara nyingi hutegemea vipaji halisi badala ya ujanja ujanja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom