Sirro: Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kuhusu tukio lake la kupigwa risasi... Jalada la Uchunguzi kuhusu kupotea kwa Azory limefunguliwa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,279
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Tanzania(IGP) Simon Sirro amesema uchunguzi juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari za Uchunguzi Azory Gwanda wa gazeti la mwananchi unaendelea kwani wameshafungua jalada la uchunguzi, huku akiwataka watu kama wana taarifa kuhusu tukio hilo kuzifikisha polisi na si kuishia mitandaoni kwani haziwezi kusaidia.

Akizungumza katika kipindi maalum cha Konani kinachorushwa na ITV kupitia Mitandao yake ya Youtube na Facebook, IGP Sirro amesema suala la watu kupotea halijaanza leo huku akitolea mfano wa wazee wa kizanaki wengi walikuwa wanasemekna wamepotea lakini baadae wanaonekana.

Katika hatua nyingine IGP Sirro amezungumzia suala la aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kupigwa risasi ambapo amesema mpaka sasa bado hawajambaini mtu aliyefanya tukio hilo, huku akieleza kwamba Tundu Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo jambo ambalo linachukua muda.

"Sisi tunamsubiri Mhe.Tundu Lissu aje afungue kesi, kitu gani kimemtokea, mazingira gani na yule dereva wake, dereva tumemtafuta imekuwa shida, yeye mwenyewe alipopata matatizo yupo nje hatujamuona, tunamuona tu kwenye mitandao"IGP Sirro.

IGP Sirro ameweka bayana kwamba kesi ya jinai mara nyingi haifi hata ikichukua miaka kumi bado ni kesi ya jinai, "Kimsingi ni kwamba kesi ipo tunamsubiri Bwana Lissu aje atupe taarifa ilikuwaje na yule shahidi yake nafikiri tutapata sehemu ya kuanzia.

Sirro sina namna yoyote ya kukufanya maana una mamlaka. Ninachoweza kufanya in kupiga magoti na kukuombea laana ili upatwe na magonjwa sugu yakutese mpk utambue kuwa kuna Mungu.

Vipi endapo Tundu Lisu angekufa? Nani angetoa ushirikiano? Nasubiri siku rais aliyekuteua ashambuliwe mchana kweupe kisha akimbizwe nje ya nchi kama Lisu, halafu usifanye uchunguzi kwakuwa. Rais hayupo nchini
 
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Tanzania(IGP) Simon Sirro amesema uchunguzi juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari za Uchunguzi Azory Gwanda wa gazeti la mwananchi unaendelea kwani wameshafungua jalada la uchunguzi, huku akiwataka watu kama wana taarifa kuhusu tukio hilo kuzifikisha polisi na si kuishia mitandaoni kwani haziwezi kusaidia.

Akizungumza katika kipindi maalum cha Konani kinachorushwa na ITV kupitia Mitandao yake ya Youtube na Facebook, IGP Sirro amesema suala la watu kupotea halijaanza leo huku akitolea mfano wa wazee wa kizanaki wengi walikuwa wanasemekna wamepotea lakini baadae wanaonekana.

Katika hatua nyingine IGP Sirro amezungumzia suala la aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kupigwa risasi ambapo amesema mpaka sasa bado hawajambaini mtu aliyefanya tukio hilo, huku akieleza kwamba Tundu Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo jambo ambalo linachukua muda.

IGP Sirro ameweka bayana kwamba kesi ya jinai mara nyingi haifi hata ikichukua miaka kumi bado ni kesi ya jinai, "Kimsingi ni kwamba kesi ipo tunamsubiri Bwana Lissu aje atupe taarifa ilikuwaje na yule shahidi yake nafikiri tutapata sehemu ya kuanzia.

Kama wao na Jiwe hawajui, nani ajue sasa? Na jukumu lao hawalijui?
Ben Karibia anakufa ndiyo roho zo Wapemba zimemsakama, anaanza kulia lia tu. Kila mmoja atalipwa kwa matendo yake.
 
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Tanzania(IGP) Simon Sirro amesema uchunguzi juu ya kupotea kwa mwandishi wa habari za Uchunguzi Azory Gwanda wa gazeti la mwananchi unaendelea kwani wameshafungua jalada la uchunguzi, huku akiwataka watu kama wana taarifa kuhusu tukio hilo kuzifikisha polisi na si kuishia mitandaoni kwani haziwezi kusaidia.

Akizungumza katika kipindi maalum cha Konani kinachorushwa na ITV kupitia Mitandao yake ya Youtube na Facebook, IGP Sirro amesema suala la watu kupotea halijaanza leo huku akitolea mfano wa wazee wa kizanaki wengi walikuwa wanasemekna wamepotea lakini baadae wanaonekana.

Katika hatua nyingine IGP Sirro amezungumzia suala la aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kupigwa risasi ambapo amesema mpaka sasa bado hawajambaini mtu aliyefanya tukio hilo, huku akieleza kwamba Tundu Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo jambo ambalo linachukua muda.

IGP Sirro ameweka bayana kwamba kesi ya jinai mara nyingi haifi hata ikichukua miaka kumi bado ni kesi ya jinai, "Kimsingi ni kwamba kesi ipo tunamsubiri Bwana Lissu aje atupe taarifa ilikuwaje na yule shahidi yake nafikiri tutapata sehemu ya kuanzia.

Acheni kujitoa akili mnmjua kabisa aliyemshambulia Tundu Lissu na kwenye kikao cha kupanga mashambulizi na wewe Simon Sirro ulihudhuria. Aliyepiga risasi ni Bwire na Herry Kisanduku ambao walfanya hivyo kwa maelekezo ya Paulo Makonda.

Kilichobaki kwa Simon Sirro ili uepuke kupata dhahma kama ya IGP mwezio wa Uganda Kale Kayihura ambaye yuko under arrest kwa amri ya ICC ni wewe kuanza kuwaua mashahidi muhimu kabla hujatoka ofsini kama IGP. Hao waliopiga bunduki watakutaja tu na hautakwepa tutakapo kupeleka ICC.
 
Sasa kama mtu Hayupo akatoa ushirikiano hamuwezi kuendelea na uchunguzi...!!! Ko Azory Gwanda ambaye Hayupo Nani atawapa taarfa....?? Na Kama ni wananchi je kwann taarfa zilizopo za namna ya kupata taarfa za Tundu Lissu msitumie hzo japo tu kupata hata wa kuhoji....!!! Mf. Nani alikuwa mlinzi wa nyumba zilokuwa Karib na alipopigiwa Risasi...!!? Ni nyumba gani ilikuwa na CCTV nje Kabla ya tukio na kwann alitoa baada ya tukio na kwann..!!? Nani aliesema Ulinzi wa eneo lile utolewe...?? Nan alipaswa Kuwa mlinzi wa eneo lile na kwann Alitoka..!!!?
Hata hilo nmeshndwa ET Mpk aje Lissu kufanya nin na wala sio mbuge kesi ya nini tena..!!? Hapo mnataka mfungue kesi ziszo kuwepo MBAMBIKIZIE WATU KESI ILI MJIOSHE MAANA UCHAGUZI UNAKALIBIA...!!! Watanzania jiandaeni kesi ziszo kweli....!! Pole Sana TANZANIA YANGU achaneni na kesi hizo familia ya AZORY GWANDA washasahau machungu na hawafatilii mnataka kugundua nini...!!? Utashangaa mnawalazimisha waanzishe kesi mjifanye kujiosha Kisa uchaguz Achen bwembwe
 
Back
Top Bottom