Palamagamba Kabudi: Wasanii wamepatiwa mikopo zaidi ya TSh. 5 Bilioni na Rais Samia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika uongozi wake amefufua mfuko wa Utamaduni na Sanaa uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 10 na kipindi kifupi jumla ya miradi 359 ya Utamaduni na Sanaa imepatiwa mikopo yenye jumla ya thamani ya TSh. Bilioni 5.250.

View attachment 3326710
Waliorudisha wamesharudisha kiasi gani?!
 
Hongera zake mbunge wa Mamboya mzaliwa wa Madudu kwa kuabudu na kusifu
 
Hapo hujaweka gharama za kuwapeleka Korea na pia kuwapeleka dodoma
 
Mbona wakiumwa mafua tu wanaomba donee
 
5b kukata viuno
Ndio maana laana na kuuwana haukuishi Africa
Halafu Professor anashangilia
 
Kumbe ndo maana,wasanii wote wanalazimika kuhudhuria vikao vya ccm.Nilikuwa najiuliza,kulikoni.
Kasoro vichwa vigumu.Trueboy na wachache wanaojielewa.
Hiyo mikopo,CAG aliikagua?.
 
Back
Top Bottom