Palamagamba Kabudi, are you really a Diplomat?

Huyo mzungu wa EU alipotuongelea ndani ya bunge la ulaya alikuwa ni mwanadiplomasia?.

Ukipigwa ngumi ya mdomo na wewe unarudisha kwa nguvu ile ile ngumi ya jicho.
 
Nimekuelewa sana,

Mpuuzi mjibu kipuuzi sema kuna watu uchwara uvyama umewajaa na uoga wa kulamba miguu ya mabwana zao.
Mkuu hujaelewa mada kama wachangiaji wengine hapa.
Kujibu mtu kidiplomasia nako kunahitaji akili, sasa wengine zoezi hilo mnashindwa kulielewa.

Suala hapa hapa sio la kujibu au kutojibu hoja, la hasha.
Suala hapa ni namna ya kujibu kidiplomasia hoja zilizo mezani, sasa kama hao bado huelewi hakuna namna ya kukusaidia kufikiri.
 
Huyo mzungu wa EU alipotuongelea ndani ya bunge la ulaya alikuwa ni mwanadiplomasia?.

Ukipigwa ngumi ya mdomo na wewe unarudisha kwa nguvu ile ile ngumi ya jicho.
Mkuu uelewa wako ni mfinyu sana.
Kwanza simuungi mkono huyo mnawita "mzungu wa EU" maana kama anaongeea suala ndani ya Bunge la EU, basi hapo ni kutumia akili kwa upande wako kwamba katumwa na nani, na ana muwakilisha nani kusema hivyo.
Pili kama ni mwana diplomasia au la , swala hilo kuuliza kwa upande wako unaibua hisia kuwa unafikiri unayemuongelea(mzungu wa EU), naye ni kibaka wa mtaani huko Ulaya.
Jiweke sawa kifikra kwanza.
 
Huyo ni hewa Hana hata chembe ya udiplomatic....anachoweza ni kuyatoa macho Kama anakunya
Huyu Pro-fedha fake huwa ana bore sana anapoongea kwa kutoa mimacho yake kama music kaffir kabanwa na mlango!!!!
Huyu Ka-bundi na Jiwe wanafikiri mtu akiwa Profedha wa Laws basi anaweza kuwa balozi wa Foreign Affairs....!!!Wamepotea.
Ngoja waendelee kubwatuka,kutukana na dharau za kipumbaf kwa Wahisani kisa tu wanahojiwa ile hela ya watu ya Covid-19 waliichukuaje wakti wameitangazia dunia hakuna Corona????
 
Naomba nitote mchango.......

Diplomatic Language Examples.

Diplomacy refers to interacting with others in a way that fosters good relationships.
It involves tact and skill in handling interpersonal communication so that good relationships are maintained and there are no (or few) bad feelings. Being diplomatic involves using phrases to soften our statements when we deliver bad news or negative judgments. The use of these softening phrases conveys an awareness that our judgments are not necessarily right. Here are four tips to soften your language:

1. Avoid using negative adjectives.
Instead, use not + very + a positive adjective:
The sales associate was unhelpful. ---The sales associate was not very helpful.
The building is ugly. ---The building is not very attractive.
His English is poor.--- His English is not very good.

2. Use qualifiers which are words or phrases that minimize the certainty of a statement:
I’m going to be late. I’m going to be a little late.
She’s bossy. ---She’s kind of bossy.
W
e had a disagreement.--- We had a bit of a disagreement.

3. Use hedges which are word or phrases that lessen the impact of a statement, or express uncertainty:
There’s a problem with our bill. ---There seems to be a problem with our bill.
We’re out of stock.--- I’m afraid we’re out of stock.
We shouldn’t do that. ---I’m not sure we should do that.
That won’t work.--- That might not work.
We should delay the project.--- I wonder if maybe we should delay the project.

4. Invite agreement by asking a question that is negatively-phrased:
That restaurant is too expensive. ---Isn’t that restaurant kind of expensive?
We should wait for John. ---Shouldn’t we wait for John?

Kwa vile Professor Palamagamba Kabudi ni Mwalimu, hili somo litamfaa sana.
kalamaganda kabugi is nothing than "Sh** hole"
 
Your right per se!
But in some rare circumstances diplomacy is sometimes finds its way at the back seat, when the prevailing heat have reached beyond a tolerance level!
 
Your right per se!
But in some rare circumstances diplomacy is sometimes finds its way at the back seat, when the prevailing heat have reached beyond a tolerance level!
Unanikumbusha a very diplomatic statement aliyotoa Mwalimu in 1978, tulipovamiwa na Nduli Idi Amin.

Mwalimu alisema " Amin amevuka mpaka kwa maana zote mbili"..
akiwa anamaanisha
1. Ameinga nchini kwa kuvuka mpka wa Kagera
2. Amevuka mpaka wa uvumilivu, over the top of tolerance.

That was a brilliant choice of words , wakati ule wa kero na hasira zilipomjaa Mwalimu.
That was a Diplomatic choice of words.
 
Mkuu uelewa wako ni mfinyu sana.
Kwanza simuungi mkono huyo mnawita "mzungu wa EU" maana kama anaongeea suala ndani ya Bunge la EU, basi hapo ni kutumia akili kwa upande wako kwamba katumwa na nani, na ana muwakilisha nani kusema hivyo.
Pili kama ni mwana diplomasia au la , swala hilo kuuliza kwa upande wako unaibua hisia kuwa unafikiri unayemuongelea(mzungu wa EU), naye ni kibaka wa mtaani huko Ulaya.
Jiweke sawa kifikra kwanza.
Ni wewe ni wale wale watumwa wa kimawazo, nyie ndio mnaotofautisha nzi wa kizungu na nzi wa kiafrika.

Huyo ni mtu tu kama wewe kuwemo kwake ndani ya lile bunge kusikufanye ukamweka katika kundi la malaika.

Hao wazungu ni wajukuu wa wale wale walioua babu zetu, ni watoto wa wale wale wa waliomuua Lumumba kwa kumuingiza kwenye pipa la acid.

Ni wajukuu wa wale wale waliouwa mamilioni ya raia wasio na kosa wa Madagascar, DRC na Namibia, usizuzuliwe na yeye kutumwa na nani, anaweza kuwa hana taarifa za uhakika za nchi hii kulinganisha na wewe na mimi, acha kuwapapatikia hao watu.
 
Tuna argue on different planes here.
You dont seem to have grasped the essence ya mada nzima.
Simtetei mzungu, soma kwa makini.
Natetea COMMUNICATION iliyo sahihi ya kidiplomasia.
In actual fact kama wewe umechukizwa kama miye katika maneo ya yule mzungu, mimi ningependelea aelezwe kidiplomasia kwa nini amekosea.

Wewe mkuu mwenye kirungu, panda ndege na ukamkunje huko huko-kama unaweza!
 
Kumfundisha Mmasai kwenda kuvua pweza ni kumuonea jamani... Mbona wavuvi wa bahari wako wengi tuu nchini?
 
Tuna argue on different planes here.
You dont seem to have grasped the essence ya mada nzima.
Simtetei mzungu, soma kwa makini.
Natetea COMMUNICATION iliyo sahihi ya kidiplomasia.
In actual fact kama wewe umechukizwa kama miye katika maneo ya yule mzungu, mimi ningependelea aelezwe kidiplomasia kwa nini amekosea.

Wewe mkuu mwenye kirungu, panda ndege na ukamkunje huko huko-kama unaweza!
Mzungu siku zote anajipa nafasi ya kuwa binadamu wa kwanza, na huo ni ugonjwa wanaozaliwa na kukua nao.

Hana maadili ya kutupangia aina ya maisha yetu ya ndani ya mipaka ya nchi, balozi aliyekaribu nae anatakiwa amkumbushe kuwa Tanzania ni nchi kamili.

Wao kutoa misaada sio kigezo cha kutaka kudhalilisha utu wetu. Naamini maneno ya Kabudi ni mazito na yameshawafikia.
 
Kwamba Tanzania haijafurahishwa na maneno ya yule mbunge wa EU, hilo halina ubishi.
 
Diplomasia ina dimensions zake na haiko static. Diplomasia ya kibabe ipo na inafanyakazi, kipindi hiki ni cha vita vya kiuchumi, kama hujui basi elewa kuwa vita tayari ilishatangazwa duniani, nchi ziko vitani.Kwa wanaosubiri kuanza kwa vita watakuja kushtuka vita imeisha na hawana pa kushika.Kabudi piga kazi, piga mikwara ya nguvu
 
Mzungu siku zote anajipa nafasi ya kuwa binadamu wa kwanza, na huo ni ugonjwa wanaozaliwa na kukua nao.

Hana maadili ya kutupangia aina ya maisha yetu ya ndani ya mipaka ya nchi, balozi aliyekaribu nae anatakiwa amkumbushe kuwa Tanzania ni nchi kamili.

Wao kutoa misaada sio kigezo cha kutaka kudhalilisha utu wetu. Naamini maneno ya Kabudi ni mazito na yameshawafikia.
Safari hii ni jino kwa jino. Black Affairs Matter
 
Kabudi ametumia aina mpya ya diplomasia uchwara iliyoasisiwa na bosi wake , yeye amefanya kufikisha ujbe kama alivyoagizwa kwa uaminifu na utiifu mkubwa so unajua aliokotwa jalalani ?
 
Back
Top Bottom