Israel yataka Vikwazo dhidi ya Mradi wa Makombora wa Iran

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,043
1,682
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Israel Katz kupitia Mtandao wa X amesema "Asubuhi hii nilituma barua kwa nchi 32 na kuzungumza na Mawaziri wengi wa Mambo ya Nje na Viongozi Waandamizi Duniani nikitaka vikwazo viweke kwenye mradi wa makombora wa Iran"

Pia ametoa wito wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) litangazwe kuwa kikundi cha kigaidi, "kama njia ya kudhoofisha Iran", huku akiongeza "Iran lazima izuiliwe kabla hatujachelewa"

Israel Katz amesema anaongoza 'Mashambulizi ya Kidiplomasia' dhidi ya Iran wakati wakizingatia kujibu Kijeshi shambulio la makombora na ndege zisizokuwa na Rubani la usiku wa Aprili 13, 2024

.................

Israel demands dozens of countries impose Iran sanctions

Israel's foreign minister says he is leading "a diplomatic offensive against Iran", as the government considers a military response to the missile and drone attack against it early on Sunday.

The foreign minister, Israel Katz, has written to dozens of countries calling for sanctions to be imposed on Iran's missile programme.

“This morning I sent letters to 32 countries and spoke with dozens of foreign ministers and leading figures in the world demanding that sanctions be imposed on the Iranian missile project," Katz posted on X.

He also called for Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) to be declared a terrorist organisation, "as a way to curb and weaken Iran".

He adds: “Iran must be stopped now – before it is too late”.

Do Iran and Israel have nuclear weapons?

Israel is assumed to have its own nuclear weapons but maintains an official policy of deliberate ambiguity.

Iran does not have nuclear weapons and also denies it is attempting to use its civilian nuclear programme to become a nuclear armed state.

Last year the global nuclear watchdog found uranium particles enriched to 83.7% purity - very close to weapons grade - at Iran's underground Fordo site. Iran said "unintended fluctuations" in enrichment levels may have occurred.

Iran has been openly enriching uranium to 60% purity for more than two years in breach of a 2015 nuclear deal with world powers.

However that deal has been close to collapse since US President Donald Trump pulled out unilaterally and reinstated crippling sanctions on Iran in 2018. Israel had opposed the nuclear deal in the first place.


IMG_0726.jpeg


Sources: BBC, X
 
Hawa watu ni wapenda huruma kama wanawake.
Nilishawahi kumwambia mtu Hawa hata wale Hamas wakiachiwa wazichape kavukavu bila msaada wa hao mabwana zao hawafiki kokote...ni wepesi kama karatasi...jeshi lina hadi watu wa upinde...Sasa Hilo litakuwa jeshi au kikundi cha wahuni tu....hzo nchi 32 zitakuwa za hukohuko Magharibi..waweke vikwazo vyte ila wameshaambiwa wakijqribu kujibu tena watatumiwa bando mara 10 ya lile wakilotumiwa juzi...Sasa uamuzi ni wao
 
Back
Top Bottom