Palamagamba Kabudi, are you really a Diplomat?

Hao jamaa tuishi nao kwa akili, si kujitamba kuwa mean and menacing, wakati hatuna lolote .
Kama kuna kitu cha kujifunza, ni kama issue ya Saddam Hussein.
Am so smart more dan you can think of!

Let me tell you something ''you better die while standing up rather than to live on your knees''
Mashujaa wengi walikufa kishujaa, km Mkwawa, Comrade che Guavara, Mandela alijua atauawa lkn alikataa wazi wazi mbele ya adui kuishi Huru bila fikra za kimapinduzi mbali na Soweto. hata mimi na Jakaya Kikwete tulijua atauawa tu!

Steve Biko aliwatemea mate usoni Adui zake alijua watamuua na kweli walimuua lkn yuko ndani ya myoyo yetu is a good symbol of Liberations in de World, wengi tu kina Martin Luther King Nyumba yake ilipigwa mabomu mara 7. lkn hakukoma kupinga Jimmy crows.

Yasser Arafat alikoswa kuuawa mara 50, mwishoni kaanguka na ndege jangwani akapona mbona hakukoma! Nyerere alijiweka kwenye hatari kuwa Makao makuu ya inchi zilizo mstari wa mbele dhidi ya giant kaburu alikoma?. yuko wapi? anaheshimika mpaka miaka dahari.

Sadamu ni mwana jeshi Bora tena Bora sana alivo kufa kishujaa, is the Symbol of hope tutamkumbuka daima, hata Rais aliye toa amri ya kumuua atatoweka kwa kumbukumbu, Yesu alikufa kishujaa kwani alisalimu amri? Mungu hakutuagiza ivo! tuishi na hao Nefilim kwa akili! bali mke!

Ndivo uliyofundishwa huko JKT? au hukwenda kabisa usawa wa gudulia? yaani hatuna lolote sisi ni km panzi mbele zao au!!
 
Kama kulikuwa na ulazima wa kufanya hivyo kauli ya namna hiyo angeitoa waziri wa mambo ya ndani na pengine kama bado angekuwepo Lugola!

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni diplomat number two in rank baada ya President.

Kuna lugha ya kidiplomasia angeitumia akafikisha ujumbe huo huo. Yeye mwenyewe alitufundisha kuwa huwezi kumwambia mtu stupid badala yake utamwambia your level of appreciating things is diminishing.

Statement ya Kabudi inatolewa pekee na mtu aliyepanic ambapo hawezi kukumbuka mjadala uliopo na hitaji la wasikilizaji.
 
Mkuu remember the axiom, a dead hero is of no use to any one.
Leo tuongee mambo ya ushirikiano wa kimataifa on a win-win scenario.

Kutukanana kimataifa hakujawahi kuwa the way to go, hata kama nia ni kuonyesha kukerwa kwetu na matamshi toka nje.
 
No noooo!! Walikudanganya hao kwa Masrahi yao! De dead warrior and successful Commanders in Hx is the symbol of Hope and prosperity for any viable communities!... eti ''is of no use kabisaa mtu mzima unaamini hivo in this Electronic age?? you cannot win all of the time!

Uongo! kutukanana kimataifa kulikuwepo na kupo usitudanganye! juzi tu hapa Jiwe katukana mkataba wa kichina kuhusu Bandari ya Bagamoyo, mbona walikaa kimya na hawajaondoka? Silabasi ya Diplomasia hiyo nina mashaka nayo.

Trump katukana COVID-19 ni ya wachina mbona wanapiga kazi wote? mfano Boikonur Cosmodrome wamesusiana? Jeshini tulifundishwa kwamba ukitaka amani jiandae kwa vita! kuna vita ya siraha na kuna vita ya Maneno km hii! sasa je??

Mna wabembeleza sana wakati hata wao wanatuhitaji sana tu, tuna walisha sisi!! ila wewe hujui kuwa unathamani yako kwao
 
Mkuu remember the axiom, a dead hero is of no use to any one.
Leo tuongee mambo ya ushirikiano wa kimataifa on a win-win scenario.

Kutukanana kimataifa hakujawahi kuwa the way to go, hata kama nia ni kuonyesha kukerwa kwetu na matamshi toka nje.
Nimekupa mifano mingi ya African heros hapo juu, kuna mawili au hukusoma, au umepuuza!!

km ni ''have no use'' mbona mnamkumbuka Baba wa taifa kila mwaka? leo USA black wako free ajili ya Martin luther King na wanaadhimisha kila mwaka je huyu ''have no use? au siyo ''dead hero

nini maana ya '' has no use? unatumia kilji mkuu
 
Hero- mtu anayeishi kikamilifu na kutimiza principles zinazokubaliwa na wengi na kwa manufaa ya hao wengi.
Mwalimu anaingia kundi hili.

Hero hajiingizi kichwa kichwa kwenye mdomo wa simba ili kujionyesha courage ya show off.
Thats stupidity, kama alivyofanya Saddam.
He died meaninglessly na kusababisha kuangamia taifa la Iraq na yeye mwenyewe kuuwawa kama coward.
 
Kuna watu wana udhaifu wa kibinadamu. Akiwa na boss mkali, hufanya apendavyo, hata kama ana elimu ya kujua hayo ni makosa. Nadhani hili ndilo linalotokea. Wako tayari kuungana na wale wasio na elimu.
 
Kabudi ni muhuni na mbabaishaji anauejua kujipendekeza na kuishi kwa majungu tu. Hakuna lolote mule
 
Hana cheti cha form four , hajafanya mitihani ya uwakili wala hajui inafananaje . Palamihogo lazima atii mwendo na gwalide la kihutu kwa kwenda mbele .
Kwahyo form four alifeli au ilikuwaje maana wenye kukosa cheti Cha form four na yeye alikuwemo?
 
ero hajiingizi kichwa kichwa kwenye mdomo wa simba ili kujionyesha courage ya show off.
Thats stupidity, kama alivyofanya Saddam.
He died meaninglessly na kusababisha kuangamia taifa la Iraq na yeye mwenyewe kuuwawa kama coward.
Siyo kweli huo ni mtizamo Binafsi!! Wana mapinduzi wote Duniani wanajua kuwa mpo, Nefilim hana U- Simba, anatishatisha tu, hata hao mashujaa wote niliokupa mifano yao walidhihakiwa/wanadhihakiwa kuwa walijitakia kwa kujiingiza ktk mdomo unaouita wa Simba.

Mfano Yesu hkn hata ndg wala wanafunzi wake, alimtetea au kuhudhuria ile karaha, zaidi waliona amejitakia kujiingiza kwa mdomo wa simba na kachanganyikiwa kujiita mwana wa Mungu. yuda ndo kabisaa alimuuza!!

Usemi huu wa dhihaka huu upo karne mingi!, Shetani alimwambia Yesu '' hii milki yangu nakupa nisujudie kidogo tu, yaliyo jili unayajua! sasa ungekuwa wewe unaogopa makanwa ya simba ungepiga goti!

Burito nyerere alimuonya mwanae akasema ''Abhasungu bharakwita mwanoono'' manake '' ewe kijana utauawa hawa wazungu tumepambana nao sisi hawasikii''. hata vita ya kagera walimsema sana Nyerere in negative way kuwa tumefunga mikanda bure, tumekula yanga bure!! mpaka akataka kuuawa na Father Thom, na kundi lake!

Sadam siyo stupid!! anakumbukwa na mfano wakuigwa alikufa kwa kile alicho kiamini ni sawa na haki yake kukipigania, atakaye muona ni meaning less, siyo kwamba atakuwa primitive Buffoon tu bali atakuwa full circle Moron!! Iraq inapita kipindi cha mpito tu itakuwa sawa
 
Its wiser kuwapotezea hao wazungu kuliko kuingia nao ligi ya maneno.
Tukazane na issue za maendeleo hapa nyumbani.
Tumuunge mkono JPM masuala ya SGR na Stieglers Gorge Power Plant.
Hizo ndo issues.
 
Its wiser kuwapotezea hao wazungu kuliko kuingia nao ligi ya maneno.
Tukazane na issue za maendeleo hapa nyumbani.
Tumuunge mkono JPM masuala ya SGR na Stieglers Gorge Power Plant.
Hizo ndo issues.
Hujanielewa tatizo ni kwamba Ligi zinakufuata zenyewe, Kwa jinsi ulivo nogesha maongozi yako yenye tija kiuchumi!! hii ni hulka ya kibinadamu, hata kwenye maisha ya kawaida tu majumbani mwetu, ukiinuka kiuchumi, kielimu hata kuzaa nk

Madongo lazima uyapate mengine uta respond mengine utapotezea, usionyeshe udhaifu wa kukimbia ndo unawapa mwanya wa kukuzodoa. maneno hayakosekanagi.

Niliwahi sema kwenye Baraza la maaskofu pale Zanzibar ''kuna mambo mengine mengi tunaya puuzia tu, lkn huwezi kupuuzia kila jambo'' By J.K. Nyerere!
 
Lakini hata waswahili waliwahi kusema , miluzi mingi humpoteza mbwa.
Siye tukazane chini ya jemadari wetu asiye na maneno mengi, JPM.
Wasitutoe kwenye malengo yetu ya SGR na Stiglaz 2109MW.
Wataongea na watanyamaza, sawa ya watu wengine ni kuwa puuza, ikibidi kuongea basi lazima iwe dilomatically correct.
Ukimya wakati mwingine ni jibu tosha.
 
Mtu mmoja alisema

"A diplomat must be able to show his chest with taking his shirt off"

Mwingine akasema

"A diplomat must be able to dive in water without causing a splash"
 
Lakini hata waswahili waliwahi kusema , miluzi mingi humpoteza mbwa.
Siye tukazane chini ya jemadari wetu asiye na maneno mengi, JPM.
Wataongea na watanyamaza, sawa ya watu wengine ni kuwa puuza, ikibidi kuongea basi lazima iwe dilomatically correct.
Ukimya wakati mwingine ni jibu tosha.
Fantastic hapo sasa umenielewa!
 
Back
Top Bottom