Pakistani kiboko....!!!

Pakistani kiboko....!!!

Wapakistani hasa wa kaskazini patans ndio katika watu wenye nguvu na stamina za kufanya kazi ngumu
 
Kwani kitandani utakodi tingatinga? Unapiwa uwezo wa kutoa dozi sahihi kwa double my wife
Wamesema "additional responsibilities", ukiweza kubeba jiwe na huko chini lazima uweze?
 
Analibeba kwa muda gani? Ila wanaume mbele ya papuchi hata umwambie akeshe atakomaa nalo tu
 
Back
Top Bottom