Paka

Paka

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
5,143
Reaction score
3,212
Jamaa alimchukua paka wake na kwenda kumtupa mbali aliporudi akakuta paka amesharudi akakasirika sana, cku ya pili akamchukua na kwenda nae mbali zaidi ya kilomita 50 akakata kulia akakata kushoto akanyoosha kisha kulia kisha kushoto akamtupa, akaanza safari ya kurudi, baada ya muda akapiga cmu kwa mkewe
nyumbani.
JAMAA:mke wangu vp huyo paka yupo?
MKE:Ndio mume wangu katulia hapa kwani imekuwaje?
JAMAA:hebu mpe cmu anielekeze njia maana mimi nimepotea..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom