Elijah
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,663
- 416
Hasa hasa banknote!tnxMkuu, excuse my bad sense of humor and maybe horrible sarcasm but maybe I didn't get what you mean. Making money or making banknotes? The two can be confusing somehow.
Hasa hasa banknote!tnxMkuu, excuse my bad sense of humor and maybe horrible sarcasm but maybe I didn't get what you mean. Making money or making banknotes? The two can be confusing somehow.
Hasa hasa banknote!tnx
That's why I like science. Hii ndo inatofautisha akili kubwa na akili ndogo! Thank u mwalimu, that's why avatar yako ni alien the ever believed creatures in the universe.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Heshima kwenu wakuu, huko mimi nilikimbia kabisa....
Amitabh
Mkuu ulipotelea wapi? Nondo zako nazikumbuka sana miaka ya 2013-2014, nimetafuta sana thread zako mpya sijaona.Mkuu nadhani hapa ndio mahali pake pa kujadili mambo mengi yatokanayayo na yahusuyo dhana hii.
Duu nimetoka kapa kabisa
Nilidhani pekeangu, haya mambo mimi nlishayakimbia 'O' levelDuu nimetoka kapa kabisa
Temana nayo mkuu, Schrödinger ni nyoko. Wave - particle theories ni kwa akili kubwa tu boss.Dah! nimesoma yote mara mbili lakini waapi!
Ha ha ha! rudi kwenye mfano wake wa kwanza wa mpira oanisha na huyo paka 50% anaweza kufa 50% hawezi kufa... Anamaanisha kuwa ktk ulimwengu wa atom vitu vinaweza kutokea Kwa chance(sidhani kama ni neno rasmi sana) hapa duniani ukirusha kitu kitarudi maana ndo kanuni iliyopo lkn kwenye atom mfano ukirusha kitu kitakuwa Na asilimia 50 kwenda juu bila kurudi Na asilimia 50 kurudi..Chenga tupu..
Ngoja nijaribu kusoma tena
Kidooooogo wewe ninakupata mkuuHa ha ha! rudi kwenye mfano wake wa kwanza wa mpira oanisha na huyo paka 50% anaweza kufa 50% hawezi kufa... Anamaanisha kuwa ktk ulimwengu wa atom vitu vinaweza kutokea Kwa chance(sidhani kama ni neno rasmi sana) hapa duniani ukirusha kitu kitarudi maana ndo kanuni iliyopo lkn kwenye atom mfano ukirusha kitu kitakuwa Na asilimia 50 kwenda juu bila kurudi Na asilimia 50 kurudi..
Huyo paka ni mfano tu ambayo ameelezea kama mantiki ya mada ili uelewe lkn mfano wa huo wapaka umekuwa mgumu kueleweka lkn ukitaka kuelewa kwa urahisi tumia huo mfano wa kwanza wa mpira ikiwa ndo kama paka 50% mzima na 50% kafa! ingekuwa kanuni za dunia zingekuwa kama za kwenye atom huyo mtoto atategemea matokeo mawili lkn yote yakiwa asilimia 50 kwa 50 kutokea.. pindi atakaporusha mpira kuna mpira kwenda juu au kurudi chini ni sawa na kusema paka huyo amekufa kwa asilimia 50 na yupo hai kwa asilimia 50! msome hapo kwenye atom jinsi inavyofanya kazi(kanuni zake) uelewe zaidiKidooooogo wewe ninakupata mkuu
Kwahiyo huyo paka anamaanisha ni kitu gani?
Soma kwa sauti unaweza ukaelewaDaaah hebu ngoja nikayasome ma giant tu huku nimetoka kapa ingawa nimesoma paka mwisho