Paka wa Schrödinger

Mkuu hujanipata. Baada ya superposition ambayo ndio haswa "one particle exhibits two states (or more than one, essentially all its possible states) apparently "simultaneously".

Sasa angalia Quantum entanglement alafu utajua namaanisha nini! That thought experiment is expanded(not by schrödinger) on two electrons which are entangled. Behaviors ya hizi mbili ndio mifano ya paka wawili wenye conditions sawa na ile ya mfano wa kwanza (original).

If you think deeply and fundamentally in a non anthropic way, there really is neither one nor two cats, but only a probability wave of all the possible states.

That's the "uncertainty" in uncertainty principle.

If you think there is one cat, or that there are two cats, you are already violating quantum uncertainty with classical biases that demand specificity.

The quantum world does not have specificity, only probabilities.
 
Kweli kabisa na "the cat is only a thought experiment". Lakini quantum entanglement ambayo ni rather intertwined pair of particles or two waves, probability zake zinakuwa hizo nilizoeleza hapo juu. Au katika quantum entanglement we unaweza kuelezaje? Maana hii hasa ndio ila uhusiano na teleportation na quantum computing.
 
Tunavyoufikiria ulimwengu katika large scale ni tofauti sana na ulimwengu ulivyo kimsingi.

Tumezoea kufikiri kwamba kuna paka mmoja au wawili, au paka mmoja amekufa au mzima.

Quantum entanglement inatuambia hiyo ni illusion ya cancelling out of probabilities tu at the large scale universe, fundamentally, one particle does not exhibit itself in two states, naturally, every particle has multiple states in a quantum probabilistic landscape.

It is rather hard to understand this concept without shedding off some large scale universe biases stemming from.classical physics. Biases such as a particle can only exist at one point in any one instant, or even that there is an instant that is universally constant (absolute time). These are Newtonian/classical physics concepts that cannot operate when the quantum scale universe is examined, especially at relativistic momentum.

Which turns out to be the norm in particle physics.
 
Kaka hii kitu ngumu watu kuelewa lakini kama kuna mtu anafuatilia kidogo technologia mpya anakuwa ameshasoma sehemu.

Sasa hivi teleportation inawezekana kuna research zimeweza kabisa kufanya teleportation lakini kuna vitu muhimu sana vya kuangalia kabla hawajaingiza hii technolojia sokoni
Ethics
Lazima kama binadamu tujiakikishie kuwa hakutakuwa na matatizo kwenye kutumia hii technolojia, kwa mfano unapoteport mtu teleportation ya kwanza (sender) tafanya nini yule original baada ya kusoma quatam basic zaqke na kuzituma kwenye teleporation ya pili (Receiver). Tusipoangalia tutakuwa tunazalisha watu kwa kutumia mashine, na technolojia hii ikiingia mikononi mwa wahuni dunia imeisha. Lazima mamlaka za dunia ziakikishe hakuna tatizo la ethics kwenye kudestroy original ili kuendelea kuwa na mtu mmoja badala ya badala ya kuwa na wa pili atakayekuwa anabehave sawasawa na wa kwanza maana wametengenezwa kwa quantam basic zilizo sawa mpaka DNA

Errors and Omission
Imagine mashine a quatam ya kwanza inakosea kwenye kuread basics za mtu na undestroy original, then yule mtu kule anatokea hana kiungo kimoja, this will be a disaster, so watengenezaji wanajitahi kuahikikisha kuwa hii haitatokea kwani inaweza kuleta matatizo makubwa kwenye jamii kuwa na mtu mwenye makosa kama haya anaweza kuwa ni siraha inayotembea.

vitu vidogo vidogo ambavyo havihusiani na maisha ya wanyama kwa ujumla vinasafirishwa kwa njia hii sema wanaimprove uwezo wa mzigo na najua hii inawezeana kwani ukiweza kusafilisha kitu kidogo then kuongeza uzito ni rahisi

X. Zhou, D. Leung, I. Chuang Quantum gate constructions from teleportation-like primiitve

G. Brassard Physica D 120 43-47 (1998) Teleportation as a quantum computations

Don't worry brother, mother nature has it's own ways of adjusting itself.
 
Hii imekaa kifalsafa zaidi kumbuka kwamba schödinger's cat exp ilikuwa ni thought expt!

Ninavyohisi unaweza kuilezea kwa kutumia double slit expt na uncertainty principal, yaani unapokuwa na matundu mawili na kutuma mwanga au light ktk hayo matundu (kwa wakati mmoja) halafu ukaweza kurekodi pattern za hizo particles hauwezi kujua ni particle ipi imetokea tundu gani ktk QM, lkn kwenye C.Physics hilo linawezekana unaweza kujua kwa kutumia intereference pattern utakayoipata imetokea tundu gani nafikiri kila kitu kipo hapo, kama ukiifikiria double slit expt vizuri pmj na Uncertaity principal nafikiri kuna uwezekano mkubwa wa kuelewa kinachoendelea hapo!

Nafahamu, kwenye double slit experiment uki-apply uncertainty principle wanadai kunauwezekano particle moja ikapita kwenye matundu yote mawili kwa wakati mmoja. Lakini ninachotaka kufahamishwa ni jinsi gani tunaweza kuhusisha hizo principles na hao paka wawili from classical to quantum mechanics.
 
First off, Schrodinger's Cat experiment deals with one cat in two states, not two cats in two states. Let's get that straight right off the bat. How anybody sees two cats beats me.

Actually, Heisenberg's uncertainty principle ndiyo inayosababisha kuwepo kwa states mbili na paka akawa kwa wakati mmoja huo huo yupo mzima na kafa, kama kwenye double slit experiment.

Uncertainty principle inakataza kuwa na specific momentum na position at any particular time, hivyo inaruhusu kuwa na a wave of probability regarding either, hivyo inaruhusu particle moja "kuwa" sehemu mbili kwa "wakati" mmoja, hivyo, by way of analogy, inaruhusu paka kuwa mzima na kafa kwa wakati mmoja.

"Wakati mmoja" of course is an entirely fictional concept as exposed by Einstein's relativity. As relativity revealed, there is no.such thing as "wakati mmoja", time is relative. If you really think deeply about the confusion.behind Schrodinger's Cat experiment, it stems.from.our classical mechanics view of the quantum world. We think "paka hawezi kuwa mzima na kafa kwa wakati mmoja huo huo" wakati there is no such thing as "wakati huo huo". This is a mere bias of the large scale universe. To a particle moving at the speed of light, the universe is timeless, time.stands still for it.

So, to that particle for example, everything happens at once and being in two positiins at the same time is what is normal. The particle cannot be only at one point at any particular time because all of time, from its perspective, is a single instant.

Here, uncertainty principle is the cause for the cat to be both dead and alive at the same time, not the limitation towards that end.

A general understanding of quantum entanglement, the Schrodinger's Cat experiment, Einstein's Relativity, the Double Slit experiment and Heisenberg's Uncertainty Principle will correlate the above.

Ndiyo maana nilikuwa nachanganyikiwa mkuu, the two cats idea could have been the reason.
At least for now I can think of what I knew before.
 
Ukifikiri one particle at two quantum states ni two particles hujaanza kuielewa quantum mechanics.

There is a reason it is called superposition, superposition means one particles exhibits two states (or more than one, essentially all its possible states) apparently "simultaneously".

So this is a case of one particle having many states "at the same time".

Tofautisha a particles (which may be in many states) na states za hizo particle.

There is a reason the experiment is called "The Schrodinger's Cat Experiment" and not "The Schrodinger's Cats Experiment".

There is only one cat, even after superposition. This is why it is so puzzling to us.

Had it been two cats, nothing about one being dead and another alive is puzzling.

Yaani this is what I knew mkuu Kiranga.
Ni kweli kabisa in quantum mechanics one particle can have infinite number of states ila jamaa wanasema we have to consider at least two states assuming the particle being at definite state and then superposition principle can be applied.
Asante kwa kuja mkuu.
 
Last edited by a moderator:
If you think deeply and fundamentally in a non anthropic way, there really is neither one nor two cats, but only a probability wave of all the possible states.

That's the "uncertainty" in uncertainty principle.

If you think there is one cat, or that there are two cats, you are already violating quantum uncertainty with classical biases that demand specificity.

The quantum world does not have specificity, only probabilities.

Jamaa wanasema some times particle moja inaweza hata kupita kwenye matundu mawili kwa wakati mmoja but the concept never troubled me because I was going along well with it.
Ila kwenye uzi huu nilishaanza kuvurugikiwa hapo awali.
I am glad you came.
 
Tiger , Kuna mambo mawili katika uzi huu ambapo nadhani sina budi kuwa clear ili kupunguza kuvurugikiwa. Kiranga yuko right kwa kuwa kilichopo hapo ni majaribio ya kutaka kufafanua tabia katika Quantum scale kwa kutumia mifano ambayo ni from large scale universe hivyo of course there can be some difficulties. As it could be seen up up there there was expandion of that thought experiment and of course with the intention of explaining the other phenomenon. Ninafurahi jinsi tunavyosahihishana lakini pia ni muhimu kwa wengine.

Schrodingers cat ni one step, zaidi sana kuelezea superposition ya particles-"not really particles that we know" (wave-like kabla hujai pin-point its location) this one can be at two quantum states at the same time (dead alive katika paka). Na pia double slit experiment inademonstrate phenomenon hii ambayo katika actual situation ni quantum system kuwa na linear quantum states. Uncertainty principle ya Heinsenberg ina-apply kuanzia hapa.

Another step au situation nyingine ni quantum entanglement. Hii ndio ile Ainstein, anaiita Spooky action at a distance. Ingawa one "particle" (lets say electron or photon) inaweza kuwa katika two (or more) quantum states at once (i.e. superposition) ambayo uncertainity principle ya Heisernberg inaaply, lakini pia a pair of particle from one system lets say energy [i.e electron(-e) and positron (+)] zinakuwa na tabia ambazo ni surprisingly interacted or correlated. (thats where entangled term comes from). Electron ile na positron from same system can have same wave function. Mfano magnetic field au magnetic moment ya single electron/photon north pole yake inaweza kuwa inapoint juu na chini (two states at once) ila ukipima (observe) utakuta either chini au juu lakini sio vyote kwa pamoja. Electron kama itakutwa imepoint chini basi positron itapoint juu.

Taking or expanding the analogy of superposition of a cat (dead and alive at the same time) into entangled state (two cats in a pair of box) where there is correlation of results, is used by many physicist to explain phenomenon. With the caution that many exceptions are applied; thus not completely a perfect representation of the actual quantum scale situations. Katika mambo haya kidogo unatakiwa kuwa free katika mind yako maana bila kutumia classical systems kujaribu kurealize step moja ya pili haiendeki labda inakaririka.
 
Kifupi tu ni kwamba, tunaweza kutumia hata paka million 1 kama lengo litakuwa kuongeza the number of sample space, as long as the experiment deals with probability, but all the experiments are suppose to be conducted individually I guess.
 
Nafahamu, kwenye double slit experiment uki-apply uncertainty principle wanadai kunauwezekano particle moja ikapita kwenye matundu yote mawili kwa wakati mmoja. Lakini ninachotaka kufahamishwa ni jinsi gani tunaweza kuhusisha hizo principles na hao paka wawili from classical to quantum mechanics.

Siyo hivyo ndugu, ndio maana nimesema jaribu kwanza kuielewa uncertainty principle vizuri (Siyo rahisi kihivyo!) kwa maana ndiyo kiini cha Quantum Physics, maana ya Quantum physics yote imelala hapo!
Double slit expt haikwambii kwamba Particle moja inapita matundu yote mawili hapana na wala sio lengo lake hilo, DS exprt inajaribu kuelezea limit ya Classical physics ktk kuelezea natural phenomenon, nimeshajaribu kuelezea kwamba kwenye C.Physics kwa kutumia DS expt unaweza kujua kutokana na pattern unataiyoipata mwanga umepitia tundu gani a ama b lkn Q Physics hauwezi kujua electron ama particle imepitia tundu gani sasa hiyo ni simplification tu, lkn unabidi kwanza uangalie mambo ya particle diffraction yaani huygens principle ni lazima pia uielewe ili uweze pia kuelewa Double Slit expt na matokeo yake!

Bila ya hivyo Mtajaza hapa kurasa kwa maana kwa maoni yangu mimi hii topic kuilewa ni lazima kwanza basic principals za QM zieleweke kama hiyo Double Slit expt na kuelewa hiyo expt ni lazima pia Optics ieleweke vitu kama Huygens principle ambayo inaelezea Diffraction phenomenon n.k Siyo kazi rahisi sana!
 
Kitu hiki hapa mkuu.

Relational interpretation
According to the relational interpretation of quantum
mechanics , first proposed by Carlo Rovelli ,
observations such as those in the double-slit experiment
result specifically from the interaction between the
observer (measuring device) and the object being
observed (physically interacted with), not any absolute
property possessed by the object. In the case of an
electron, if it is initially "observed" at a particular slit,
then the observer–particle (photon–electron) interaction
includes information about the electron's position. This
partially constrains the particle's eventual location at the
screen. If it is "observed" (measured with a photon) not
at a particular slit but rather at the screen, then there is
no "which path" information as part of the interaction, so
the electron's "observed" position on the screen is
determined strictly by its probability function. This
makes the resulting pattern on the screen the same as if
each individual electron had passed through both slits. It
has also been suggested that space and distance
themselves are relational, and that an electron can
appear to be in "two places at once"—for example, at
both slits—because its spatial relations to particular
points on the screen remain identical from both slit
locations.
 
Kifupi tu ni kwamba, tunaweza kutumia hata paka million 1 kama lengo litakuwa kuongeza the number of sample space, as long as the experiment deals with probability, but all the experiments are suppose to be conducted individually I guess.

Mkuu, Quantum entanglement lengo ni kuelezea correlation ya entangled particles na si kuongeza namba ya sample space. Phenomenon ni kwamba once they are entangled they correlate on their probability states no matter what distance they can be separated.
 
Nilichomaanisha ni kwamba we can do the same experiment a million times in different ways to find out what could be the possible outcomes without changing the nature of an experiment.
 
Mtu anayejua formula ya kuchanganya chemical na rangi kutengeneza hela ashushe nondo please
 
Mtu anayejua formula ya kuchanganya chemical na rangi kutengeneza hela ashushe nondo please

Chemical na rangi peke yake havitoshi kutengeneza hela utahitaji components nyingine nyingi na bahati nzuri hiyo ni classical physics hutaitaji kuchimba quantums mechanics kufanikisha nia yako. Mtu mwingine anaweza akawa na opinion tofauti.
 
Nirushie pm mkuu!thanks
 
Nirushie pm mkuu!thanks

Mkuu, excuse my bad sense of humor and maybe horrible sarcasm but maybe I didn't get what you mean. Making money or making banknotes? The two can be confusing somehow.
 
Back
Top Bottom