What is your radius?

Mcqueenen

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
6,818
11,542
Amahoro?

Kwa waliosomoa general chemistry au atomic physics au molecular biology watakuwa walishasikia mahali kutoka kwa ticha mwenye manywele machafu akisema kuwa kila kitu kilichopo kwenye huu ulimwengu (kuanzia manyota, masayari, blackholes, vimondo, nebulas, mpaka milima, maji, watu, viti, wanyama, nyumba, magari, pesa, nguo,nk.) kimetengenezwa kwa vitu vidogo vidogo sana ambavyo huitwa atoms.

Halafu pia huyo ticha lazima alikuna manywele akasema kuwa hizi atoms na zenyewe zimetengenezwa na vitu vidogo zaidi ambavyo ni electrons, protons na neutrons. (Tuishie hapa tusiende kwenye quarks, bosons & fields)

Ticha lazima aliendelea kusema kuwa hizi electrons huwa zina tabia ya kuzunguka kwenye nucleus ya hiyo atom.

Kwahyo mpaka hapo tunaweza kusema kuwa kila kitu kwenye huu ulimwengu kinazunguka kwakuwa kimetengenezwa na atoms ambazo hizo atoms zina electrons ambazo zinazunguka nucleus katika radius fulani.

Tukiachana na vitu vidogo vidogo, tuje vikubwa vikubwa tuangalie sayari kwenye solar system..Nazo pia zinazunguka jua kwa radius fulani. kwahyo sayari ni kama electrons zinazozunguka nucleus ambayo ni jua
Sayari dunia hutumia mwaka mmoja kulizunguka jua

Jua nalo limeungana na nyota zingine nyingi kuizunguka black hole iliyo katikati ya milky way galaxy, kwahyo jua nalo ni kama electron inayozunguka nucleus katikati ya galaxy, jua hutumia miaka millioni 250 kuzunguka Milkyway

Hata ukienda juu kidogo ukaangalia hizi local group of galaxies ambazo kuna galaxies kama 30+ Milkyway yetu ikiwemo, nazo zinarotate around the bary center of mass with zikiwa na certain radius.

Kwahyo tumeona kila kitu kuanzia vidogo sana mpaka vikubwa sana huwa vinarotate kuizunguka nucleus kwa radius fulani. Hayo yote ni no brainer madhani kila mtu atakuwa anajua, ila Sasa leo mimi nataka kukuambia kuwa hata hivi vitu vya kati kama magari, wanyama, mimi na wewe, wadudu, navyo pia vinarotate around a nucleus with a radius.

Mfano Kwa binadamu, maisha yetu hapa duniani huwa tunazunguka eneo fulani. Sanasana mahala tunapoishi, ndiyo sehemu huwa tunaspend muda sana kwahyo hapo ni kama nucleus, kuanzia hapo unaweza kuwa unatengeneza radius kuelekea shuleni, kazini, kanisani nk. lakini ukifuatilia kuna radius fulani ambayo haivuki.

Watu wengine wana radius ndogo yani unakuta mtu maisha yake yote ni nanjilinji basi, na mwingine ana radius kubwa unakuta kazi ni South Africa ila anakaa Dar.

Hii nucleus huwa ni wachache sana wanaoweza kuivuka na kwenda nje ya hapo, hao huwa tunasema wamefikia escape velocity au ionization energy.

Tukirudi kwenye ulimwengu mdogo wa atoms: kama huu uwezo wa electrons kuruka na kuikimbia nucleus ya atom usingekuwepo, basi atoms zote zingekuwa neutral/stable na chemistry isingekuwepo, reactions zisingekuwepo na kila kitu ulimwenguni kingebaki kuwa neutral hata life isingeform. ulimwengu ungekuwa ni muunganiko wa stable gases tu.

Kwahyo uwezo wa electrons kuescape nucleus ndio umeleta mabadiliko na kuwezesha kila kitu kwenye huu ulimwengu kuwepo ikiwemo life. ..ila mtambue kuwa kwenye atom, huwa ni electron chache zinazoweza kescape nucleus...nyingi huwa zinabaki ndani ya nucleus na kuendelea kuizunguka milele.

Hata kwenye jamii, huwa ni watu wachache wanaoweza kuescape nucleus kuanzia nucleus za kifikra, kimawazo, kiutamaduni na kiuchumi.

walioweza kuescape nucleus ndio hao wameweza kujenga jamii na kuleta maendeleo kwa kurahisisha maisha ya kila mtu.

Kina Elon Musk, Bilgates, Drake, Trump wameescape nucleus.
Je nucleus yako ni dini yako?
Je nucleus yako ni kazi yako?
je nucleus yako ni jamii inayokuzunguka??

Escape hiyo nucleus, tanua radius uwe kama zile electrons zinazoreact ili ulete mabadiliko kwenye jamii inayokuzunguka.

Mimi juzi nilikuwa Nairobi, mwezi uliopita nilienda Rwanda so currently radius yangu ni around East Africa, lengo kuu kwangu ni kuescape hii nucleus na kwenda worldwide.

Mwenzangu What is your radius?
 
Halafu pia huyo ticha lazima alikuna manywele akasema kuwa hizi atoms na zenyewe zimetengenezwa na vitu vidogo zaidi ambavyo ni electrons, protons na neutrons. (Tuishie hapa tusiende kwenye quarks,bosons & fields)

Ticha lazima aliendelea kusema kuwa hizi electrons huwa zina tabia ya kuzunguka kwenye nucleus ya hiyo atom.

Kwahyo mpaka hapo tunaweza kusema kuwa kila kitu kwenye huu ulimwengu kinazunguka kwakuwa kimetengenezwa na atoms ambazo hizo atoms zina electrons ambazo zinazunguka nucleus katika radius fulani.

Tukiachana na vitu vidogo vidogo, tuje vikubwa vikubwa tuangalie sayari kwenye solar system..Nazo pia zinazunguka jua kwa radius fulani. kwahyo sayari ni kama electrons zinazozunguka nucleus ambayo ni jua
Sayari dunia hutumia mwaka mmoja kulizunguka jua

Jua nalo limeungana na nyota zingine nyingi kuizunguka black hole iliyo katikati ya milky way galaxy, kwahyo jua nalo ni kama electron inayozunguka nucleus katikati ya galaxy,jua hutumia miaka millioni 250 kuzunguka milkyway

Hata ukienda juu kidogo ukaangalia hizi local group of galaxies ambazo kuna galaxies kama 30+ milkyway yetu ikiwemo, nazo zinarotate around the barycenter of mass with zikiwa na certain radius.

Kwahyo tumeona kila kitu kuanzia vidogo sana mpaka vikubwa sana huwa vinarotate kuizunguka nucleus kwa radius fulani. Hayo yote ni no brainer madhani kila mtu atakuwa anajua,,ila Sasa leo mimi nataka kukuambia kuwa hata hivi vitu vya kati kama magari,wanyama,mimi na wewe, wadudu, navyo pia vinarotate around a nucleus with a radius.

Mfano Kwa binadamu, maisha yetu hapa duniani huwa tunazunguka eneo fulani...sanasana mahala tunapoishi,ndiyo sehemu huwa tunaspend muda sana kwahyo hapo ni kama nucleus...kuanzia hapo unaweza kuwa unatengeneza radius kuelekea shuleni,kazini,kanisani nk. lakini ukifuatilia kuna radius fulani ambayo haivuki.

Watu wengine wana radius ndogo yani unakuta mtu maisha yake yote ni nanjilinji basi, na mwingine ana radius kubwa unakuta kazi ni South Africa ila anakaa Dar.

Hii nucleus huwa ni wachache sana wanaoweza kuivuka na kwenda nje ya hapo, hao huwa tunasema wamefikia escape velocity au ionization energy.

Tukirudi kwenye ulimwengu mdogo wa atoms: kama huu uwezo wa electrons kuruka na kuikimbia nucleus ya atom usingekuwepo, basi atoms zote zingekuwa neutral/stable na chemistry isingekuwepo, reactions zisingekuwepo na kila kitu ulimwenguni kingebaki kuwa neutral hata life isingeform. ulimwengu ungekuwa ni muunganiko wa stable gases tu.

Kwahyo uwezo wa electrons kuescape nucleus ndio umeleta mabadiliko na kuwezesha kila kitu kwenye huu ulimwengu kuwepo ikiwemo life. ..ila mtambue kuwa kwenye atom, huwa ni electron chache zinazoweza kescape nucleus...nyingi huwa zinabaki ndani ya nucleus na kuendelea kuizunguka milele.

Hata kwenye jamii, huwa ni watu wachache wanaoweza kuescape nucleus kuanzia nucleus za kifikra,kimawazo,kiutamaduni na kiuchumi.

walioweza kuescape nucleus ndio hao wameweza kujenga jamii na kuleta maendeleo kwa kurahisisha maisha ya kila mtu.

Kina Elon Musk,Bilgates,Drake,Trump wameescape nucleus.
Je nucleus yako ni dini yako?
Je nucleus yako ni kazi yako?
je nucleus yako ni jamii inayokuzunguka??

Escape hiyo nucleus, tanua radius uwe kama zile electrons zinazoreact ili ulete mabadiliko kwenye jamii inayokuzunguka.

Mimi juzi nilikuwa Nairobi, mwezi uliopita nilienda Rwanda so currently radius yangu ni around East Africa..lengo kuu kwangu ni kuescape hii nucleus na kwenda worldwide.

Mwenzangu What is your radius?
Hii nondo kali sana...Nikupe tu hili neno katika biblia...Jabez prayed enlarge my coast ooh Lord!

"And Jabez called on the God of Israel, saying, Oh that thou wouldest bless me indeed, and enlarge my coast, and that thine hand might be with me, and that thou wouldest keep me from evil, that it may not grieve me! And God granted him that which he requested."
1 Chronicles 4:10 KJV
 
Mkuu nilikuwa sielewagi hayo mavitu ila leo nimeweza ku connect vizuri kupitia hili andiko lako tu. I used to love Chemistry.

Atom is a building block of an element.

Hii definition iko kichwani miaka na miaka ila sikuwahi elewa kwa undani. Ubarikiwe sana.
 
Nimeamua kuquote kisehemu ambacho hujakosea ili uweze kurekebisha ukiamua.

Mimi mwanabaiolojia (niliyejipa mwenyewe hicho cheo🤭🤣🤣) nakukumbusa kuwa ni 'Cell is the basic unit of life'
Yeah you are right, cell is a basic unit of life. Japo atoms ndo zinaunda cells but hazina sifa za uhai ila cell ina uhai.
 
Amahoro?

Kwa waliosomoa general chemistry au atomic physics au molecular biology watakuwa walishasikia mahali kutoka kwa ticha mwenye manywele machafu akisema kuwa kila kitu kilichopo kwenye huu ulimwengu (kuanzia manyota, masayari, blackholes, vimondo, nebulas, mpaka milima, maji, watu, viti, wanyama, nyumba, magari, pesa, nguo,nk.) kimetengenezwa kwa vitu vidogo vidogo sana ambavyo huitwa atoms.

Halafu pia huyo ticha lazima alikuna manywele akasema kuwa hizi atoms na zenyewe zimetengenezwa na vitu vidogo zaidi ambavyo ni electrons, protons na neutrons. (Tuishie hapa tusiende kwenye quarks, bosons & fields)

Ticha lazima aliendelea kusema kuwa hizi electrons huwa zina tabia ya kuzunguka kwenye nucleus ya hiyo atom.

Kwahyo mpaka hapo tunaweza kusema kuwa kila kitu kwenye huu ulimwengu kinazunguka kwakuwa kimetengenezwa na atoms ambazo hizo atoms zina electrons ambazo zinazunguka nucleus katika radius fulani.

Tukiachana na vitu vidogo vidogo, tuje vikubwa vikubwa tuangalie sayari kwenye solar system..Nazo pia zinazunguka jua kwa radius fulani. kwahyo sayari ni kama electrons zinazozunguka nucleus ambayo ni jua
Sayari dunia hutumia mwaka mmoja kulizunguka jua

Jua nalo limeungana na nyota zingine nyingi kuizunguka black hole iliyo katikati ya milky way galaxy, kwahyo jua nalo ni kama electron inayozunguka nucleus katikati ya galaxy, jua hutumia miaka millioni 250 kuzunguka Milkyway

Hata ukienda juu kidogo ukaangalia hizi local group of galaxies ambazo kuna galaxies kama 30+ Milkyway yetu ikiwemo, nazo zinarotate around the bary center of mass with zikiwa na certain radius.

Kwahyo tumeona kila kitu kuanzia vidogo sana mpaka vikubwa sana huwa vinarotate kuizunguka nucleus kwa radius fulani. Hayo yote ni no brainer madhani kila mtu atakuwa anajua, ila Sasa leo mimi nataka kukuambia kuwa hata hivi vitu vya kati kama magari, wanyama, mimi na wewe, wadudu, navyo pia vinarotate around a nucleus with a radius.

Mfano Kwa binadamu, maisha yetu hapa duniani huwa tunazunguka eneo fulani. Sanasana mahala tunapoishi, ndiyo sehemu huwa tunaspend muda sana kwahyo hapo ni kama nucleus, kuanzia hapo unaweza kuwa unatengeneza radius kuelekea shuleni, kazini, kanisani nk. lakini ukifuatilia kuna radius fulani ambayo haivuki.

Watu wengine wana radius ndogo yani unakuta mtu maisha yake yote ni nanjilinji basi, na mwingine ana radius kubwa unakuta kazi ni South Africa ila anakaa Dar.

Hii nucleus huwa ni wachache sana wanaoweza kuivuka na kwenda nje ya hapo, hao huwa tunasema wamefikia escape velocity au ionization energy.

Tukirudi kwenye ulimwengu mdogo wa atoms: kama huu uwezo wa electrons kuruka na kuikimbia nucleus ya atom usingekuwepo, basi atoms zote zingekuwa neutral/stable na chemistry isingekuwepo, reactions zisingekuwepo na kila kitu ulimwenguni kingebaki kuwa neutral hata life isingeform. ulimwengu ungekuwa ni muunganiko wa stable gases tu.

Kwahyo uwezo wa electrons kuescape nucleus ndio umeleta mabadiliko na kuwezesha kila kitu kwenye huu ulimwengu kuwepo ikiwemo life. ..ila mtambue kuwa kwenye atom, huwa ni electron chache zinazoweza kescape nucleus...nyingi huwa zinabaki ndani ya nucleus na kuendelea kuizunguka milele.

Hata kwenye jamii, huwa ni watu wachache wanaoweza kuescape nucleus kuanzia nucleus za kifikra, kimawazo, kiutamaduni na kiuchumi.

walioweza kuescape nucleus ndio hao wameweza kujenga jamii na kuleta maendeleo kwa kurahisisha maisha ya kila mtu.

Kina Elon Musk, Bilgates, Drake, Trump wameescape nucleus.
Je nucleus yako ni dini yako?
Je nucleus yako ni kazi yako?
je nucleus yako ni jamii inayokuzunguka??

Escape hiyo nucleus, tanua radius uwe kama zile electrons zinazoreact ili ulete mabadiliko kwenye jamii inayokuzunguka.

Mimi juzi nilikuwa Nairobi, mwezi uliopita nilienda Rwanda so currently radius yangu ni around East Africa, lengo kuu kwangu ni kuescape hii nucleus na kwenda worldwide.

Mwenzangu What is your radius?
Wigo kifikra pia hutambulusha urefu wa kamba ya mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom