Oppenheimer ni movie yenye story nzuri sana ila wengi wanaiona complicated

caidah

Senior Member
Aug 17, 2017
110
153
Oppenheimer ni movie yenye story Nzuri sana ila wengi wanaiona complicated, au niseme boring, kwa wale ambao hawana uelewa sana na mambo ya physics.

Hapa nimejaribu kuielezea kwa nilivyoielewa ili kutoa mwanga tuu kwa wale ambao iliwashinda kuangalia, vuta popcorn zako kwende sawa.

Hili tambara limeandikwa na Christopher Noah moja kati ya Director bora wa muda wote ambae movie zake nyingi zinaelezea actual science rather than science fiction na aina hii ya uandishi ndio imempa umaarufu mkubwa.

Story line:
Movie inamuhusu Robert Oppenheimer mwanaphizikia ambaye alikuwa anaongoza project wa kutengeneza Atomic bomb ili litumike kuimaliza vita ya pili ya dunia mapema ili kuokoa maisha ya wanajeshi waliokuwa wakifa kila siku kwajili ya vita hiyo.

Movie hii imekuwa designed kwa mfumo ambao story inakuwa inarudi nyuma (Flashback) huku story ikiwa inaendelea {nonliner structure} . Lakini kama kawaida ya Christopher Noah haishiwi ubunifu , kwenye hii movie ametuwekea flash back za aina mbili moja B&W (Fission 2) na nyingne colored (Fission 1) .

ile B&W inajikita kuelezea maisha ya Lewis Strauss( Fission 2) ambaye alikuwa Head of Atomic energy commission na alikuwa akigombea kuwa secretary of commerce kwa wakati huo ;

Lakini ile colored ilikuwa ikiongelea maisha ya Dr Robert Oppenheimer sana sana kabla ya atomic bomb attack.

Tuanze na maisha ya Dr Robert Oppenheimer ;

Generally Robert alikuwa ni mwanafunzi nchini ujerumani japo yeye ni mmarekani, katika kusoma kwake alijikita na Quantum physics & Mechanic na alikuwa expert sana kwenye haya masomo,

baadae akaanza kufundisha kama lecture nchini Netherland kisha akaenda kujiendeleza na masomo katika chuo kimoja U.S ambapo alihitimu na kutunukiwa Doctor degree in Quantum physics & mechanic.

Akaamua kwenda kufundisha nchini kwao Marekani, ambapo alianza na mwanafunzi mmoja kisha siku baada ya siku wanafunzi wakawa wanaongezeka kutokana na kuvutiwa na kile alichokuwa anafundisha.

Baada ya hapo siasa ikaanza kuingia paka darasani kuna lecture mwenzake akamshauri aachane na hayo mambo ya siasa ,

wakati huo huo ikaibuka taarifa kiwa Mjerumani ameanza kutengeneza atomic bomb hapo ndipo movie ikaanza sasa.

Robert akaamua kuiangia rasmi kwenye harakati za kutengeneza Atomic bomb lengo kubwa ilikuwa ni kuhakikisha wao ndio wanakuwa wakwanza kutengeneza silaha hiyo kabla ya mjerumani wakiamini kwamba silaha kubwa kama ile ikimilikiwa na mjerumani haitakuwa mikono salama.

So generally movie nzima inaanzia hapo director amejikita kwenye mambo mawili;

Kwanza science behind the whole process paka bomb linakamilika.

Pili Maisha ya Robert Oppenheimer baada ya bomb alilolitengeneza kutumika kuilupua japan, hapa yaliibuka mambo mengi na ndipo tutamuona Lewis Strauss na roho mbaya zake.
 
Mimi movies za Christopher Nolan zimenishinda asee. Niliyoweza kuiangalia na kuielewa ni Insomnia tu.
 
Naipa 10/10. Bonge moja la movie

Imenikumbusha
1. Imitation game
2. The theory of everything
3. Beautiful mind

Nilizielewa sana hizo movies
 
Watu wengi wanapenda vitu soft....huu mzigo unahitaji mtu utulize akili sana ndiyo maana unaona wengi wanaona inaboa ila ni bonge la mzigo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dhumuni la movie ni entertainment yaani mtu uumize kichwa kuangalia movie ili ugundue nini? kama ni swala la historia au fizikia vitabu vimejaa tele library katulize kichwa huko usome, yaani movie nitulize kichwa kuielewa, hapo hakuna maana ya entertainmentni baro kuangalia documentary tu.
Movie isipoeleweka dk 15 za mwanzo ni yakutupa kule movie starehe bhana acheni ujuaji zipo movie complicated zaidi ya hiyo lakini zina burudani yake ndani, hiyo movie si kwamba ni complicated ni boring movie.
 
Hiyo ni primary purpose tu ila sio guarantee ya kuconclude kwamba movie zipo kwa ajili ya entertainment tu.....haupo sahihi kwa hilo.

Na nani aliyekwambia kwamba kila mtu anataka soft movies? Incase unataka hizo angalia fantasy movies na love stories tu kwako zinakufaa sana.

Before haujafika mbali unatakiwa kuelewa movie inahusu nini? Imetarget nini na imedeliver nini? Ni fiction/non fiction? .....to cut a story short unatakiwa kujua LENGO la movie hiyo ni lipi na walitarget kucommunicate nini kwa watu?

Kwahiyo Quantum physics ulitaka iapply soft things, seriously?

Mkuu ndiyo maana kuna category mbali mbali za movie, kuna watu wanapenda soft, kuna watu wanapenda vitu vya kuumiza vichwa, kuna watu wanataka horror movies n.k.

Point yako ya kusema kama watu wanataka physics vitabu vimejaa kibao basi hatukuwa na haja ya kuwa na GAME OF THRONES kwa sababu tu GEORGE RR MARTIN alituandikia kitabu cha SONG OF ICE AND FIRE ambacho ndicho kimetoa hiyo movie?

Mkuu rudia tena kusoma upya ulicho kiandika huku ukienda kusoma hizi aina tano za DRAMA na kazi zake according to LITERATURE

1. TRAGEDY
2. COMEDY
3. TRAGEDY-COMEDY
4. MELO
5. HISTORICAL

Ukizielewa trust me utafuta hiyo comment yako unless kama utakuwa na sababu nyingine basi huenda nitakuelewa ila kwa ulicho kiandika HAPANA.

Siku iz siri nyingi za yaliyopita na yanayokuja huwasilishwa kwa mtindo wa movie..so ukiangalia kwa jicho la uburudishaji my friend utatoka kapa ila ukijaribu kufungua jicho la 3 basi utajua siri nyingi sana za dunia!!
 
Dhumuni la movie ni entertainment yaani mtu uumize kichwa kuangalia movie ili ugundue nini? kama ni swala la historia au fizikia vitabu vimejaa tele library katulize kichwa huko usome, yaani movie nitulize kichwa kuielewa, hapo hakuna maana ya entertainmentni baro kuangalia documentary tu.
Movie isipoeleweka dk 15 za mwanzo ni yakutupa kule movie starehe bhana acheni ujuaji zipo movie complicated zaidi ya hiyo lakini zina burudani yake ndani, hiyo movie si kwamba ni complicated ni boring movie.
Sio kila movie huwa ni kwa ajili ya burudani. Tom Hanks movies zake nyingi sio za burudani ni history. Director Steven Spielberg ana movies kibao za historical events, Tom Cruise na movie zake za Top Gun hadi zinasaidiwa na US Airforce sababu zinaleta mwamko kwa wanafunzi kusomea urubani.
Huwezi lazimisha historia ya kitu kigumu iwe ya kufurahisha kwenye movie. Unless wewe hutaki kuwa accurate kwenye narration.

Kuna movie inatengenezwa wanaitwa Professors wa historia watoe mwongozo na waondoe vipengele visivyo sahihi, movie za Yesu zinapitia mchakato huu na movie za historia za Mel Gibson zinapitia hili.
Hakukuwa na namna ya kufanya ile Physics ngumu na accurate history ivutie kama Barbie movie ya mademu kuvaa chupi tu na kuchekacheka.

Ili uipende Oppenheimer lazima ujue historia ya WW2 na ujue kidogo Physics.
 
Hiyo ni primary purpose tu ila sio guarantee ya kuconclude kwamba movie zipo kwa ajili ya entertainment tu.....haupo sahihi kwa hilo.

Na nani aliyekwambia kwamba kila mtu anataka soft movies? Incase unataka hizo angalia fantasy movies na love stories tu kwako zinakufaa sana.

Before haujafika mbali unatakiwa kuelewa movie inahusu nini? Imetarget nini na imedeliver nini? Ni fiction/non fiction? .....to cut a story short unatakiwa kujua LENGO la movie hiyo ni lipi na walitarget kucommunicate nini kwa watu?

Kwahiyo Quantum physics ulitaka iapply soft things, seriously?

Mkuu ndiyo maana kuna category mbali mbali za movie, kuna watu wanapenda soft, kuna watu wanapenda vitu vya kuumiza vichwa, kuna watu wanataka horror movies n.k.

Point yako ya kusema kama watu wanataka physics vitabu vimejaa kibao basi hatukuwa na haja ya kuwa na GAME OF THRONES kwa sababu tu GEORGE RR MARTIN alituandikia kitabu cha SONG OF ICE AND FIRE ambacho ndicho kimetoa hiyo movie?

Mkuu rudia tena kusoma upya ulicho kiandika huku ukienda kusoma hizi aina tano za DRAMA na kazi zake according to LITERATURE

1. TRAGEDY
2. COMEDY
3. TRAGEDY-COMEDY
4. MELO
5. HISTORICAL

Ukizielewa trust me utafuta hiyo comment yako unless kama utakuwa na sababu nyingine basi huenda nitakuelewa ila kwa ulicho kiandika HAPANA.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Movie kwangu ni starehe tu, kama inaujumbe ntaupata kwa njia ya burudani hata uwe complicated vipi as long as inaniburudisha nitaangalia na kudecode. Ila siwezi kuangalia boring movie kisa tu inaelezea Atomic physics huo umajeshi kunoga nilikuwa nao A level PCM, maana chuo akili ilishafunguka kuwa hawa wazungu wanatuchota akili.
Eti soft movie.... ndo zipi hizo, kuna cartoon na animation zina code konki na za kufungua akili kuliko hizo mufi zako, by the way maarifa nayapatia kwenye VITABU najua sehemu za kupata maarifa ninayoitaji ila sio movie.
No thank you.
 
Sio kila movie huwa ni kwa ajili ya burudani. Tom Hanks movies zake nyingi sio za burudani ni history. Director Steven Spielberg ana movies kibao za historical events, Tom Cruise na movie zake za Top Gun hadi zinasaidiwa na US Airforce sababu zinaleta mwamko kwa wanafunzi kusomea urubani.
Huwezi lazimisha historia ya kitu kigumu iwe ya kufurahisha kwenye movie. Unless wewe hutaki kuwa accurate kwenye narration.

Kuna movie inatengenezwa wanaitwa Professors wa historia watoe mwongozo na waondoe vipengele visivyo sahihi, movie za Yesu zinapitia mchakato huu na movie za historia za Mel Gibson zinapitia hili.
Hakukuwa na namna ya kufanya ile Physics ngumu na accurate history ivutie kama Barbie movie ya mademu kuvaa chupi tu na kuchekacheka.

Ili uipende Oppenheimer lazima ujue historia ya WW2 na ujue kidogo Physics.
Hao watunzi wa hizo movie hawana tofauti na watunzi wa vitabu miaka ya nyuma waliotupumbaza ili tuwaone miungu watu, we kama ushachotwa akili lazima ujione mjuaji wa utumbo wao kumbe ni brainwashed mmoja katika ubora wake.
Movie kwangu ni burudani yenye elimu ndani yake, nikitaka history au physics at least documentary ntaangalia, nje na hapo ni vitabu ngumu kumeza sio kulainisha kwa kutumia movie zilizojaa chumvi na mental conditioning za kila namna.
By the way hata hiyo movie ya Yesu ni the biggest mind controling scenario.
 
Movie kwangu ni starehe tu, kama inaujumbe ntaupata kwa njia ya burudani hata uwe complicated vipi as long as inaniburudisha nitaangalia na kudecode. Ila siwezi kuangalia boring movie kisa tu inaelezea Atomic physics huo umajeshi kunoga nilikuwa nao A level PCM, maana chuo akili ilishafunguka kuwa hawa wazungu wanatuchota akili.
Eti soft movie.... ndo zipi hizo, kuna cartoon na animation zina code konki na za kufungua akili kuliko hizo mufi zako, by the way maarifa nayapatia kwenye VITABU najua sehemu za kupata maarifa ninayoitaji ila sio movie.
No thank you.
Ukisema wewe hakuna tatizo ila usiwajumlishe na watu wengine kwenye starehe yako wewe. Kwa mfano mimi naangalia sana espionage movies licha ya kusoma vitabu vingi ila movie zina emotional attachment zaidi kuliko vitabu kwa sababu naangalia actions moja kwa moja. Na lengo langu huwa sio burudani bali napata ELIMU ya hayo mambo.

Movie zina kazi nyingi sana mbali na hiyo burudani ambayo wewe unaitaka.

Uwe na usiku mwema pia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hao watunzi wa hizo movie hawana tofauti na watunzi wa vitabu miaka ya nyuma waliotupumbaza ili tuwaone miungu watu, we kama ushachotwa akili lazima ujione mjuaji wa utumbo wao kumbe ni brainwashed mmoja katika ubora wake.
Movie kwangu ni burudani yenye elimu ndani yake, nikitaka history au physics at least documentary ntaangalia, nje na hapo ni vitabu ngumu kumeza sio kulainisha kwa kutumia movie zilizojaa chumvi na mental conditioning za kila namna.
By the way hata hiyo movie ya Yesu ni the biggest mind controling scenario.
Yaani mtu anaye angalia movies zenye kuumiza akili amechotwa akili ila wewe hapo ambaye unaangalia kwa ajili ya burudani ndo haujachotwa akili huku ukijisifia kusoma vitabu hivyo hivyo ambavyo vingine vinatumika kutengenezea hizo movie?

Hii nchi ina mambo ya ajabu sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yaani mtu anaye angalia movies zenye kuumiza akili amechotwa akili ila wewe hapo ambaye unaangalia kwa ajili ya burudani ndo haujachotwa akili huku ukijisifia kusoma vitabu hivyo hivyo ambavyo vingine vinatumika kutengenezea hizo movie?

Hii nchi ina mambo ya ajabu sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa akili zako za kuchotwa unajua vitabu vyote vya maarifa vinatoka kwa hao mabwanyenye wako. Nishavuka mipaka ya kusoma misayansi kwa mrengo wa mabwanyenye, author ninaye msoma lazima awe ameattain level ya Zen au Buddha.
Hizo scientific fiction nshawaachia nyie watoto wa shule au mliomaliza shule ila bado mnaakili za shule. Utanielewa when you grow up, I mean mentally not physically.
KWAHERI
 
Yaani mtu anaye angalia movies zenye kuumiza akili amechotwa akili ila wewe hapo ambaye unaangalia kwa ajili ya burudani ndo haujachotwa akili huku ukijisifia kusoma vitabu hivyo hivyo ambavyo vingine vinatumika kutengenezea hizo movie?

Hii nchi ina mambo ya ajabu sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Eti movie zenye kuumiza akili, ukiona movie inakuumiza akili basi ujue una akili kama punje ya haradani.
Movie ni either iburudishe na kuelimisha au iwe boring, hakunaga movie ya kuumiza akili au movie soft.
Kazi ya fasihi ni kuelimisha kwa njia ya burudani PERIOD, usidhani tutakuona mtaalamu kwa kuwa unaangalia boring movie za kisayansi, we ni brainwashed tu ukimaliza shule utanielewaga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom