Paka sharobaro

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Nachojua mimi kazi yapaka ni kukamata panya, sasa leo kunapaka hapa home panya kampitia miguuni kabisa, paka kamuangalia kwa dharau afu kampotezea, sijui alihisi akimfukuzia atasweat...
 
hahahahahaaaaa!!
1. Paka huyo kashiba, ana uhakika wa kunywa maziwa na kula nyama zilizopikwa
2. Panya nae kiumbe cha mungu, atakuwa kasali sala zote hadi Mungu kasikia na kumpofusha paka amwone huyo panya kama paka mwenzie.
 
Nachojua mimi kazi yapaka ni kukamata panya, sasa leo kunapaka hapa home panya kampitia miguuni kabisa, paka kamuangalia kwa dharau afu kampotezea, sijui alihisi akimfukuzia atasweat...
<br />
<br />
Mkuu bila shaka una utani na Baba Riz1?
 
Nadhani huyo panya atakuwa ni mjomba wake Jerry, na huyo paka anaundugu na Tom, halafu alipewa story na Tom kwa kichapo anachopewa na uncle Jerry!
 
ooh senks u made my dy, hapa mbavu zinaniuma na kufuta machoz, huyo paka tozi sana
 
Dahhh
Bora huyo wako
Kuna paka mwingine akimwona
Panya anakimbia instead ya kumkimbiza ..
 
Back
Top Bottom