Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Kwa hisani ya watu wa Marekani nawatakia jumamosi njema.
Nimekumbuka stori ya jini manyosha yule wa mitaa ya selander blidge.
teh teh teh ....hata picha ili tukuamini japo kidogo....
....ilikuwa hivi
paka alikuwa amezubaa njia panda eneo la mabibo beach boy, hili eneo hukaa, huzurura vijana wengi wasio na bahati ya ajira inayoeleweka
jamaa mmoja akamrushia jiwe kimasihara paka akawafwata kundi la watu kwa mkwara flani, watu wakaongeza kasi ya kumrushia mawe akajaribu kuingia nyumba jirani bila mafanikio. mara akaanza kulia kwa sauti kali kwa muda mrefu jambo lililoshangaza
within five minutes yule paka akiwa anajigaragarza akawa anatuna mara gafla akawa mtu live.
watu wakaanza kumpiga ila mie niliwazuia na kuwaomba wamzingire tuone itakuwaje
baadae akaanza kuongea akisema ametokea tabora na yupo pale na bibi yake.Akadai bibi yupo pale kiganjani mwa mkono wako na ndiye anayemjalia uwezo.
ikawa fujo ila polisi waliwahi kufika na sasa yupo kituo cha polisi kawawa shule ya msingi.
alikuwa dogo, kichogo kikubwa na mweusi.
...........baadae akaanza kuongea akisema ametokea tabora na yupo pale na bibi yake. Akadai bibi yupo pale kiganjani mwa mkono wakona ndiye anayemjalia uwezo...........