Pajue Iringa kwa kupitia picha

Kamwene, tunaomba na picha ya mlinzi hata moja
 
Pazuri sana, hali ya hewa nzuri. Umekunywa nini muda huu umelewa? Wapi tena nimesema Iringa mbaya? 😁😁😁
Madam nimelewa hiyo ni kweli kabisa ila kwa Tanzania yetu hakuna mahali pa utulivu wa nafsi kama iringa na mbeya baadhi ya sehemu , unisamehe tu mimi ni mlevi tuπŸ˜…πŸ˜…
 
Kamwene madam kuna kontena jipya la vichuda wa chuo , eti mlifaki hoteli gani🀣🀣🀣
Mmmh mbna sijajua? Em funguka zaidi, siku hizi mambo ni mingi, afu codes zinaniyeyukaa.

Samaraizii kwa uwazi, niku get πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…