Paji la uso na siri ya jicho la tatu


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,333
Likes
124,621
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,333 124,621 280
Nakukubali sana mkuu mshana mimi jicho langu la kulia linachezacheza sana hivi kwa linafanya hivyo naomba ufafanuzi wako mkuu maana linanipa fikra sana naomba Msaada wako mkuu
hakuna shida kabisa, hiyo ni normal muscle twitching
 
G

Goza

Member
Joined
Oct 24, 2018
Messages
7
Likes
3
Points
5
G

Goza

Member
Joined Oct 24, 2018
7 3 5
Nimepitia mara nyingi kusoma post zako zimenivutia sana na sasa nataka kuona mambo tofauti nimechoka kuona mambo yale yale kila siku kibaya zaidi nimehangaika sana kwa waganga lakini sikumuamini hata mmoja kwa kifupi na mengi sana ya kueleza ila naomba ufafanuzi kuhusu ipi ya kuanzia baina ya tahajudi na jicho la tatu nataka kujua na kuelewa mambo yalionizunguka nimechoka kuwaza naamini hapa ndio mahali sahihi na mtu sahihi naomba Msaada wako
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,333
Likes
124,621
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,333 124,621 280
Nimepitia mara nyingi kusoma post zako zimenivutia sana na sasa nataka kuona mambo tofauti nimechoka kuona mambo yale yale kila siku kibaya zaidi nimehangaika sana kwa waganga lakini sikumuamini hata mmoja kwa kifupi na mengi sana ya kueleza ila naomba ufafanuzi kuhusu ipi ya kuanzia baina ya tahajudi na jicho la tatu nataka kujua na kuelewa mambo yalionizunguka nimechoka kuwaza naamini hapa ndio mahali sahihi na mtu sahihi naomba Msaada wako
Asante na pole sana jitahidi uanze na tahajudi huo ndio msingi wa kuelekea kufungua jicho la tatu
 
John Nash Jr

John Nash Jr

Member
Joined
Sep 13, 2018
Messages
40
Likes
40
Points
25
John Nash Jr

John Nash Jr

Member
Joined Sep 13, 2018
40 40 25
Asalaam wakuu

Nimefuatilia bandiko la Mshana Jr kwa umakini mkubwa maana mada kama hizi ni chakula ya ubongo.

Kwanza napenda kukiri kuwa jicho la tatu sio jambo la kufikirika, ni lango ambalo likifunguka basi binadamu unakuwa na ufahamu mkubwa kuliko kawaida.

Pia kwa wajuzi wa mambo ya auras na chakras wakina Rakims wanaweza kuongelea zaidi ushiriki wa jicho la tatu katida meditation.

Ni muhimu kufahamu elimu kama hizi maana zinafungua cells za ubongo zilizokuwa zimelala.

Nawasilisha.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,333
Likes
124,621
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,333 124,621 280
Asalaam wakuu

Nimefuatilia bandiko la Mshana Jr kwa umakini mkubwa maana mada kama hizi ni chakula ya ubongo.

Kwanza napenda kukiri kuwa jicho la tatu sio jambo la kufikirika, ni lango ambalo likifunguka basi binadamu unakuwa na ufahamu mkubwa kuliko kawaida.

Pia kwa wajuzi wa mambo ya auras na chakras wakina Rakims wanaweza kuongelea zaidi ushiriki wa jicho la tatu katida meditation.

Ni muhimu kufahamu elimu kama hizi maana zinafungua cells za ubongo zilizokuwa zimelala.

Nawasilisha.
 
J

JAY MTAALAM

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Messages
812
Likes
326
Points
80
J

JAY MTAALAM

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2014
812 326 80
Ukiwa unaota Image inatokea kwenye Ubongo(Bila shaka kupitia third eye)..Mr Mshana hivi inakuaje Mtu anaona Matukio ambayo hayajawahi kutokea katika maisha ya muda flani,mfano mimi nimewahi kuona matukio kama mawili mwaka jana kabla ya kutokea physically mwaka huu hadi nikaogopa..kwa sasa Nina mpango wa kuwa na Diary kuandika Ndoto..
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,333
Likes
124,621
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,333 124,621 280
Ukiwa unaota Image inatokea kwenye Ubongo(Bila shaka kupitia third eye)..Mr Mshana hivi inakuaje Mtu anaona Matukio ambayo hayajawahi kutokea katika maisha ya muda flani,mfano mimi nimewahi kuona matukio kama mawili mwaka jana kabla ya kutokea physically mwaka huu hadi nikaogopa..kwa sasa Nina mpango wa kuwa na Diary kuandika Ndoto..
Jicho la tatu hilo... Una foreseen vision jiendeleze
 
JESUIT MASTER

JESUIT MASTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Messages
403
Likes
70
Points
45
JESUIT MASTER

JESUIT MASTER

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2018
403 70 45


Hutaamini utakachogundua hapa kuhusu paji lako la uso...hapa ndio asili ya neno kipaji ilipatikana..hapa napo ni lango hapa ndio penye njia ya kuingilia mlango wa sita baada ya ile mitano. Hili ni jicho la ndani jicho lisioonekana.lango kuu la kiroho.

Tutaenda kwa mitazamo yote ya kidini na kiimani, kisayansi, kihisia na hata kwenye nguvu za giza.

1. Third Eye - Thalamus - Eye of Horus


Hapa ni kwa mtazamo wa kisayansi nafikiri ni kwenye somo la anatomy kuhusu ubongo, jicho la tatu linaonekana katikati ya ubongo (zingatia katikati) vertebrate brain hapo ndio zinapozalishwa homoni za kulaza au kuamsha hisia maono usingizi nk.

2. Mathematics


Katika ulimwengu wa mahesabu na hesabu, wanamahesabu kwenye ishu za ratio cos na tan watatusaidia hapa.

3. Tahjud (Meditation)


Kwenye tahajudi wale waliosoma chakra na habari za milango nane, ukiangalia vizuri huo mchoro chakra ya sita ndio ya kuingilia mlango wa sita wa fahamu.

4. Baptism & Sijda


Kiimani katika ukristo, kwenye ubatizo alama ya msalaba kwenye paji la uso ndio hukamilisha tendo na kuwa Mkristo kamili sasa.. Lakini pia ukisoma kitabu cha ufunuo na habari za kutiwa Muhuri katika paji la uso utafahamu zaidi..

Kwenye Uislam tunajua nini maana na umuhimu wa swala tano na kuthibitisha uchaji wako katika swala tano ni sigida kwenye paji la uso.

5. A kiss on the Forehead


Kwenye mahusiano busu kwenye paji la uso ni tofauti kabisa na mabusu ya sehemu nyingine yoyote.

6. FREEMASONRY

Kwenye imani za mpinga Kristo freemason satanism nk alama yao kubwa ni jicho la tatu

7. SEVERE PUNISHMENTS (WATERBOARD)


Kwenye adhabu na mateso mbalimbali paji la uso hutumika kuleta adha ya ajabu mwilini... Mateso ya water board ni mfano mmojawapo. Unalazwa chini unafunikwa kitambaa usoni kisha unamwagiwa maji.. Ni aina ya adhabu isiyoumiza mwili bali inayoumiza hisia.

8. Michezoni:
Kwenye mchezo wa ngumi alama za juu ni zile ambazo zinaangukia kwenye paji la uso.

Nimejaribu kwenda na picha kuokoa ufafanuzi wa maneno mengi... Tunaishi kwenye ulimwengu wa ajabu mno.. Tunashiriki kitu hicho hicho lakini kwa maana matumizi na mitizamo tofauti. Tunafundishwa kutolala chali kuepuka ndoto za mauzauza na majinamizi kumbe siri ni jicho la tatu jicho la maono.

Manabii na watenda miujiza hupenda kuwapuliza ama kuwashika watu penye paji la uso na kifuatacho hapo ni mzinga kama si kupiga kelele... Baadhi ya tiba mbadala hutumia paji la uso kama lango la uponyaji.

Wahindi na wahindu kwenye imani zao hujipaka rangi katikati ya macho kama sehemu ya ibada nk.

Jaribu kutafakari kwa hatua hiki kinachoitwa jicho la tatu, paji la uso, imani yako na maisha yako ya kila siku... Mwishowe tunaweza kujikuta tunaabudu paji la uso kwa muktadha tusiojua.
Haya yote yamefichwa na Vatican city
Gusa hapa.
Internet.org
 
Wako Mtiifu

Wako Mtiifu

Member
Joined
Feb 1, 2018
Messages
45
Likes
42
Points
25
Wako Mtiifu

Wako Mtiifu

Member
Joined Feb 1, 2018
45 42 25
ahahah nataka niwe kama wewe mkuu, hilo jibu halipo katika hizo option
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,333
Likes
124,621
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,333 124,621 280
Uchambuzi gan ujanja ujanja tu Tz Amna lolote.
Umeanza Ku C&P toka uzaliwe
Kwanzia lugha
Hadi sasa ni kuulizze umegundua nn New sasa????
Kwa uandishi huu wa kuchanganya herufi kubwa na ndogo, tayari hili ni tatizo kubwa la kiufahanu na kielimu pia... Nina kawaida moja nikishahisi mtu ni mpumbavu halafu ni mpuuzi nakoma kufanya naye mjadala... Naomba usiwe mmojawapo la sivyo hii ni reply yangu ya mwisho kwako

Jr
 
everlenk

everlenk

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
11,425
Likes
5,530
Points
280
everlenk

everlenk

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
11,425 5,530 280
Human microchip implant ndiyo technology inayokuja kuumaliza ulimwengu kwan wana mpango wa kubakizi watu ambao ni easy manageable ,easy controlled under their own conspiracy which bases on microchip ability to allow third eye make decision on how to change and feel the world like a village in all aspects of nature duality ....hakika through microchip utakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufikiri mambo hata ambayo its beyond thinking capacity...hiyo microchip inauwezo wa kuasha jicho la 3 katka utendaji kazi mkubwa na kwa ufanisikubwa...ndo mana wanahitaji mtu apandikizwe ile kitu kwan itakuwa connected kwenye central computalised network ambayo itakusanya thinkings zote za mwanadamu aliyepandkizwa ile kitu..

Tayari rais obama ameshasaini mkataba na Rockfeller foundation wanaotengeneza microchip ambazo ifikapo mwaka 2017 watanza kuimplant every new CHIRD BORN IN US...na badaye watazikomand nchi zingine kufanya hivo bit itakuwa ni mission moja bayo it is very secret only doctors ang high physicians ndo watajua misssion behind bit other people tutadanganywa kuwa ni chanjo ya magonjwa hatari yanayokuja tokea kwa badae but it will be a blackminding decision kwetu sisi wenye uwezo mdogo wa kujua mambo..

Rockerfeller foundation is one of 13 high families zinazoongoza kwa misingi ya illumonanti conspirancy katika kutekeleza agizo la NEW WORD ORDER (N.W.O) ambapo msingi wake mkubwa ni kutimiza agizo la kuprepare one world under one governing system chini ya misingi ya kishetani..

ALLIENS TECHNOLOGY THROUGH ROCKERFELLER FOUNDATION WANABUNI how this microchip will be induced to manipulate human race into controllable and manageable conditions..hawa hawa Rockerfeller ndio wana maabara kubwa sana iliyopo Area 51 sub station 6 base 66 Cr65A iliyopo pia Arizona ambayo hakika ina watu ambao kazi yao kubwa ni kutengeneza VIRUS ambao wata be released soon kuhakikisha wana invade worl massive population kupungiza watu lakini pia kushambulia PINEAL GLAND ambayo hakika ndio kiini cha kuamsha hisia za jicho la 3 ambalo mwanadamu akilitumia ipasavyo anaweza akajinasua katka mtego wa kuitumikia gadhabu ya mvinyo wa hasira ya mwenyezi mungu juu ya watakao muasi na kuishi maisha under satarnic conspirancy....

Tockefeller ha hao ndio waliotengeneza virus wa HIV ambae pia mpaka sasa no tishio katka maisha ya mwanadamu na ndio anayeshambulia mfumo wa ubongo wa kati (CENTRAL NERVOUS SYSTEM) ambayo inahusiana na kuamsha hisia za jicho la 3 ndio maana watu wanaopata HIV in relation to their ARV THERAPY wanaishia kupata mtindio wa ubongo kwa badae..so u can see jinsi tunavopata double impacts on this..
HIV virus ni human made virus aliyetengenezwa na Dr.CHARLES ROBERT GALLO under Rockerfeller foundation na pia wametengeneza virus aina ya ZIKA VIRUS ambaye tumeshanza kumsikia mambo yake.hii yote ni mipango yao...
H5N1 ni virus wa mafua ya ndege aliyetengenezwa under rockerfeller foundation kukaanga watu indirectly kupitia serotype antigen aina mbili ( human serotype and Birds serotype) ...
Ukifikilia sana unaweza ukatamani mungu akuchukue mapema usikumbane na haya mambo yanayoenda kutokea make watu watamkana mungu laivu na pale ndo wateule watajulikana watakaosimama imara kukemea haya yote..lakini labla hujakemea hayo yote ni HORUS EYE ndio itakayokupa uelewa zaid namna ya kuzijua hiI trick zote..

Epuka mapema kubecontrolled under microchip imlant kwan hutakuwa na uwezo wa kujikomboa ukiwa under chip controlled...
Elewa na chukua tahadhali kubwa lakini ka ukijua ni namba chache xana ya watu WATAKAOJINASAU NA MTEGO HUO...its a BATTLE BETWEEN YOU AND SATARN...
...........................................
Asante sana, vipi hilo la Obama lilitekelezwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091