PostGE2025 Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue

PostGE2025 Padri Kitima: Tanesco walishirikiana na watekaji kuzima umeme ili waniue

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,614
Reaction score
40,161
"Skenario ya wasiojulikana hazijaanza hapa. Kwanza nilikuwa sijui, lakini baadaye nikajua. kupitia waliokuja kunivamia, kwanza TANESCO walizima umeme ili niuawe. Nikaona hizi mbinu ni kama mkakati umepangwa." Katibu Mkuu TEC

 
🤣🤣🤣 mpeni bia huyo akili ikae sawa,umeme ulikatwa kwake tu au kote?.. umeme wa tanesco kila siku unakatika na kurudi
 
Mungu anae simama na haki hatalala kamwe na hatatuacha kamwe ,samia kafanya fyongo mauaji ya tar 29 sasa km kusema fyongo yake ni udini hapo kuna namna jamaa zng wavaa madela akili zitakua tenge
 
Wanataka kuua kila mtu ambaye hakubaliani na wanachokifanya
 
Ni kweli Kuna wahuni tanesco Huwa wanakata na kuzima umeme Kwa malengo maalum!

Sisi wenye kuutumia kwenye matukio.maalum Kwa muda maalumu Huwa tunateswa sana!una Kuta Kuna game ya mpira kabla haijaanza au wakati inaendelea wanakata maksudi halafu baadae wanarudisha ni kama wanachezea watu akili!!

Hilo no kweli kabisa na nimefanyia uchunguzi wa kina!!
 
Back
Top Bottom