umeacha kusali au umeacha kwenda kwenye nyumba ya ibada trump?ndio maana nimeacha kusali
haya pita nendaUsiwe mjinga padre ni alter christus huwezi mfananisha hata na rais
Siku itakuja utauziwa gari la wizi tena mmiliki wake akiwa ameuwawa ndipo utakapojua kuhukumu ni kazi ya Mungundio maana nimeacha kusali
mkuu si unajua ukikamatwa na mali ya wizi nawe unahesabika kuwa ni mwizi mpaka pale mwizi halisi apatikane.Kakamatwa akiwa ameliiba au ameuziwa tu?
Kama kaiba yeye basi awajibike,kama kauziwa basi aliyemuuzia awajibike.