kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Mapadre wana mambo ya hovyo hovyo sana
Usiwe mjinga padre ni alter christus huwezi mfananisha hata na raiswhy usiandike kwamba watu wanne wezi wa magari wamekamatwa....padre unadhani ni malaika? ni mtu kama wewe na upadre ni kazi yake kama ilivyo labda mwalimu au polisi.
Epuka kusema watu haswa pale unapokuwa huna uwakikaMapadre wana mambo ya hovyo hovyo sana
nasikia ali nipishe,msanii wa bongo fleva' alienda jela kwa suala kama hiliKakamatwa akiwa ameliiba au ameuziwa tu?
Kama kaiba yeye basi awajibike,kama kauziwa basi aliyemuuzia awajibike.
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar amesema wamekamata wezi wanne wa magari akiwemo Padri wa kanisa katoliki Parokia ya Sumbawanga na anahojiwa.
Pia wamekamata vizuizi vyenye misumari vinavyowekwa barabarani ili kusababisha magari kupata ajali na kuyapora huko Mbweni na wametoa onyo kwa watu wanaofanya mchezo huo.
Acha nani ana shida na wewe? Pumbavv nini?ndio maana nimeacha kusali
Nna uhakika kuna mmoja ana familia kaificha huku na yeye anatoa huduma ya kiroho sehemu ya mbali kidogo,je taratibu zenu zinaruhusu?Epuka kusema watu haswa pale unapokuwa huna uwakika
Sasa usiseme Mapadre sema Padri kwani ww ktk familiya yenu mmoja akiwa kicheche utaturuhusu tuwaite nyie wote vicheche ?Nna uhakika kuna mmoja ana familia kaificha huku na yeye anatoa huduma ya kiroho sehemu ya mbali kidogo,je taratibu zenu zinaruhusu?
kwa mujibu wa tbc.UKWELI NA UHAKIKA padri ni mwiziUmeacha kwa matakwa yako! Padri kauziwa
Unamkomoa Nan ukiacha kusali Mpendwa salio sna ili uingie ktk ufalme wa Mungundio maana nimeacha kusali
Mm naongea kwa udhibitisho siropok....wakati nafanya kaz ndanda mission tushawah kupiga container kipao za vitu mbali mbal na dil tunasuka na mapadr ww ...stuka nch hii [emoji12]Acha uboya. Hata wewe unaweza kuuziwa mali ya wizi bila kujua. Hivi hujawahi kuona mtu ananunua gari kutoka kwa mtu alienunua gari kwa mtu mwingine na jina bado ni la mtu alieingiza gari kutoka Japan? Ndio Bongo hio.
Hongera.Mm naongea kwa udhibitisho siropok....wakati nafanya kaz ndanda mission tushawah kupiga container kipao za vitu mbali mbal na dil tunasuka na mapadr ww ...stuka nch hii [emoji12]
wako wengi tu hao. Tatizo ni pale mama akafa. dogo anakuwa ombaomba wakati faza wake anakula maisha chachiNna uhakika kuna mmoja ana familia kaificha huku na yeye anatoa huduma ya kiroho sehemu ya mbali kidogo,je taratibu zenu zinaruhusu?
ndioSasa usiseme Mapadre sema Padri kwani ww ktk familiya yenu mmoja akiwa kicheche utaturuhusu tuwaite nyie wote vicheche ?
Wale mapdr waliotupiga escro vp wale .....wakina kilaini ..[emoji12]Hongera.
Mkuu mm niamini nakwambia ...mm ni ukiristo safi ila makanisa yana weekness nyingi kwel kwel ...kuliko unavyodhan mm nishafanya kaz huko miaka mingi kidogo najua in and out ......Hongera.