Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,127
- 4,395
Vipi uchungu wa kufiwa?Kwa hiyo ushauri wake kwao nao wapotee, kwa maana hiyo anataka wafanye fujo, mtu alitahadharishwa kutokutoka nje ifikapo saa kumi na mbili jioni. Magaidi wao hatuwazungumzii kabisa, ila waliokufa kwa bahati mbaya, lakini wachoma nchi kifo ni halali yao. Sasa huyu Kitima kama anataka wachome nchi tena KAZI ianzie kwake na naomba polisi wasihusike kwake kukiwaka aangaliwe akiteketea Ili ajue uchungu wa kuchomewa makazi na mali
Tujikite kwenye hoja unafiki wake ni kusema watu wameuawa kwa silaha za moto?Nipe hata ya Makatibu wengine waliotangulia kama Fr Kilaini na aliyemfuata
Upumbavu wake ni nini? Na ujinga wake ni upi?Huyu padri ni mpumbavu na mjinga sana KANISA lilikuwa na uwezo wa kuzuia aya yasitokeee lakini halikusimama kama kanisa. Limebaki na machuki na mihemko ya kisiasa, yametokea yaliyotokea wamebaki kulaumu tu vifo, vifo, vifo. Kwenye huu mgogoro hakuna mshindi si SERIKALI wala KANISA cha msingi watu wasahau yaliyopita tugange yajayo
Hili zee Stuxnet linatuharibia siku. Zee la hovyo hili achana nalo, litakuharibia sikuNikiona mtu yupo upande wa kuitetea serikali hii basi automatically ni chizi au hana akili kabisa na hawezi shauri kitu chochote cha maana kwenye jamii inayo mzunguka, hata familia yake inawakati mgumu sana wa kuwa na mzazi wa aina hii.
Ilitakiwa nipite kimya kwenye uzi huu ila nimeshindwa kuvumilia, what a waste.
Kwa hiyo unataka tufuate mkumbo?? Kwani uhuru wa maoni una maana gani? Wewe ukiiona Serikali ina makosa siyo lazima na mimi niione hivyo !!Nikiona mtu yupo upande wa kuitetea serikali hii basi automatically ni chizi au hana akili kabisa na hawezi shauri kitu chochote cha maana kwenye jamii inayo mzunguka, hata familia yake inawakati mgumu sana wa kuwa na mzazi wa aina hii.
Ilitakiwa nipite kimya kwenye uzi huu ila nimeshindwa kuvumilia, what a waste.
Ilikuwa sahihi kuyazuia.Fikiria ingekuwa vipi bila nguvu ya Polisi kuzuia yale magenge yabuchomaji moto mali za umma na kuiba mali binafsi ??
Huyu Kitima ni mchochezi na mhamasishaji wa vurugu kutokana na nyaraka na matamko aliyokuwa anayatoa. Kama angekuwa na busara angetoa ushauri mzuri tusingefika hapo tulipofikaUpumbavu wake ni nini? Na ujinga wake ni upi?
Umesema Kanisa lingeweza kuzuia hii ghasia. Labda utuambie lingezuiaje hii ghasia? Je Serikali ingekubali ushauri iliyokuwa inapewa na taasisi na watu mbali mbali kabla ya uchafuzi unadhani tungekuwa tunakabiliana na hii ghasia? Tafakari ukiwa huru.
Subiri ripoti ya Tume ya uchunguziIlikuwa sahihi kuyazuia.
Sasa wale waliouliwa kwakufatwa majumbani?, watoto je waliouliwa tena majumbani mwao!,
Waliouliwa wakiwa tayari wamekamatwa na polisi???
NASISITIZA POLISI HANA MAMLAKA YA KUHUKUMU.
Tatizo la polisi kuua raia bila sababu za msingi imekubuhu nani ya muda mrefu inabidi kukomeshwa.
Vipi Mtekaji na muuwaji wa nafsi za watu nafasi yake ya uchochezi na vurugu zilizotokea na zinazoendelea iko wapi?Aliyechochea yale machafuko ni huyu Padre Kitima. Ni mjinga sana kwa kuwa kasababisha watu wamekufa halafu sasa ndo mlalamikaji wa kwanza.
Uchochezi wake ni nini? Labda utuwekee hapa tuujadili.Huyu Kitima ni mchochezi na mhamasishaji wa vurugu kutokana na nyaraka na matamko aliyokuwa anayatoa. Kama angekuwa na busara angetoa ushauri mzuri tusingefika hapo tulipofika
Nilishuhudia uwepo wa matukio hayo, kwanini nisubiri tume iniambie?Subiri ripoti ya Tume ya uchunguzi
Kuna moja umeruka..rudi fanya homework vizurisheikh
/ʃeɪk,ʃiːk/
noun
1.
an Arab leader, in particular the chief or head of an Arab tribe, family, or village.
"the sheikh is among the most influential figures in the Middle East"
2.
a leader in a Muslim community or organization
Ila kuhusu watu kutekwa na kuuliwq yanapaswa kupigiwa kelele na yeyote mwenye akili timamu una kubaliana nae?Unafiki wake ni kutokaripia vijana waliposema wanataka kuandamana siku ya uchaguzi. Na kutowashauri CHADEMA kwenye "kukinukisha" siku ya uchaguzi
Kelele za maandamano zilitaka nini kabla ya kuandamanaNi kweli. Lakini pia kuwashauri vijana wasiingie kwenye mkumbo wa maandamano