P Square live in Dar - Leaders Club

P Square live in Dar - Leaders Club

Wameinama hao.. Wameinua haooo ,Prof Jay alikua anaboa mafuta yalikata hana pumzi!!
 
oyooooooooooooo

come on brodaaaa
we ukinipata niambie tu mi ndo mwenye piki piki ya mtu 8 haha haha

Hahaha mimi na wewe besti hatupaswi kuonana kwa bahati mbaya ka hivi....
 
Popote by Joh makini ameamsha jukwaa kwa mara nyingine!!
 
Naomba kujuzwa kwa sms kinachondélea huenda nikapata mzuka 0715547184
 
,hahaha haa haaaaaa...!!
Ahsanteni..updaters.. Nilale tu mie.
 
daa kumbe awamjui kabisa na hawa kumuona kabisa? kuna mtu aliniambia heti waliulizwa kuhusu diamond wakadhani Adrian ana zungumzia madini ya Almasi? ni kweli? ina maana hawa kumualika?

ni kweli wao walijua dimond dhahabu walipoambiwa kuwa ni artist toka tz walisema hawamjui means hakualikwa au alialikwa na kamati ya maandaliz sio wao.
 
Mbaya zaidi ni pale Diamond alipojitamba kupitia instagram yake kuwa ye ni msanii pekee wa tz kualikwa kwenye harusi ile.. Alidandia kadi ya Davido

Waliulizwa kuhusu Diamond wakasema hatumjui,check instigram utaikuta hiyo kwenye press conference
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom