Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
ni burudan tu huku..........
Heheee nimekuona mwenyewe umevaa gauni lako la kitenge
ni burudan tu huku..........
Updates vipi....?
ya kaisari mpe kaisari
Hahaha mimi na wewe besti hatupaswi kuonana kwa bahati mbaya ka hivi....
Nipo nimkochen naisikia beautiful onyenye live toka leaders
mh kama hamjamalizana tena leo basi tena naona my dia nyingi kwelisure niko mbele kabisa karibu na stage... kwenye taa inayozunguka mydia
Ha ha haaaaa, weewee.
Mercury umewahi kwenda? Au wewe na pagoda tu?
ha haaa, rafiki achana na hawa jamaa.... yaani mimi wananikesheshaga hivi najiona, we acha tu...
huu wimbo namkumbuka sana mwanangu..... yaani yeye ndo nilikuwa wa kwanza kumsikia akiuimba kila siku ooo ooooh! hata sijui anaimba nini maana alikuwa na two years, ndo dada wa kazi ananiambia anaimba wimbo wa P square.... ilibidi niutafute