P Square live in Dar - Leaders Club

P Square live in Dar - Leaders Club

Buku 35 nitoe mimi, halafu tathimini upewe wewe hehehe....
#NomaSana

Wadau mliokuwepo Leaders tunaomba muendelezo, tumwagieni TATHMINI ya shoo ya P-SQUARE kwa ajili ya kukamilisha uzi huu na kuweka kumbukumbu kamili.
Motto: JF kila kitu.
 
Jamaa wamelipwa Dola laki 2 Jaydee na prof J milioni 6 Kila mmoja..... Benpoul Milioni 4 na Joh makini milioni 3.... Wasanii wa Tanzania wana kazi kubwa sana ya kuongeza thamani yao..

hata hivyo ni hela nyingi,kwa level yao wamejitahidi sana
 
sidhani kama kuna umuhim dimond awepo kila show, na jana nimeshangaa sana hawa jamaa wanaulizwa juu ya style aliyovaa dimond kwenye harus ya peter sikuamin walipojibu hawamfahamu, adrian step akasisitiza dimond from tz wakasema hawamjui na bado akasisitiza mlipiga nae picha bado wakasema tulipiga picha na waalikwa weng ila huyo hatumjui wao wanamkumbuka adibayor na wengne wengne dah nilichoka.

hahaa kwahiyo diamond ni hafahamiki kwa hawa jamaa?duuh underground wetu mweee..
 
PSQUARELIVEINDAR8.jpg



PSQUARELIVEINDAR21.jpg

eeeh senkyuu vere macheee
 
wadau mliohudhuria show hiyo wenyewe waansema ya kufunga mwaka,mahudhurio ya watu aylikuwaje?response ya watu ilikuwaje pia
 
hahahahaha watu8 kwani na wewe ulikuwepo?
 
Last edited by a moderator:
Mnasikiliza miziki ya shetani inayowafanya watu wengi wamtumikie kwa kutenda dhambi... miziki inayochochea ngono, starehe na kutenda dhambi... kueni macho wengi hamta uona ufalme wa Mungu kwa ajili ya hii miziki ya kidunia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom