Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,052
Acha upu..uzi we ke..nge... wa jangwani.
unajua dhambi wewe?
unajua dhambi wewe?
Mnasikiliza miziki ya shetani inayowafanya watu wengi wamtumikie kwa kutenda dhambi... miziki inayochochea ngono, starehe na kutenda dhambi... kueni macho wengi hamta uona ufalme wa Mungu kwa ajili ya hii miziki ya kidunia