GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,584
- 127,932
Unajifanya unajua kuhusu Unyarwanda lkn hakuna ujuacho.
Rwanda kuna Kabila moja tu, Wanyarwanda, Watusi/Wahutu siyo Kabila na wala hakuna lugha ya Kitusi/ Kihutu, bali Rwanda kuna Lugha moja- Kinyarwanda.
Bwaaaaahhhh inaelekea slim akitangaza kukuoa utachekelea sana
Rudi upya ukarudie Kusoma vyema Historia ya nchi ya Rwanda na Makabila yake na acha Kunipotezea muda kwani bado IQ yako ya Kiwango cha ' Kiudhaifu ' mno kwa Wewe kuweza Kujibizana nami. Halafu unaonekana unapenda sana nawe uwe Mtutsi Mnyarwanda ila bahati mbaya haitowezekana hivyo bakia tu na hilo hilo Kabila lako kutoka katika nchi yako hiyo ambayo imetangulia Kupata Uhuru kuliko Rwanda lakini bado ipo ipo tu huku Wananchi wake wakiwa hawajui hata kile wakifanyacho kiasi kwamba hadi Siku zingine wanatuomba Sisi Wanyarwanda tuwasaidie Kufikiri kwa ajili yao na Kuwaongoza pia hasa katika maeneo yao muhimi muhimu na mengineyo yaliyo ' Nyeti ' kabisa.
Na kwa taarifa tu sasa Mataifa yote yaliyouana ( kuwa Vitani ) muda mwingi Watu wake ndiyo wanaongoza kwa kuwa na IQ Kubwa kuliko wale ambao muda wote wao wapo tu na Utulivu huku wakijinasibu kuwa ni Baba na Mama wa Amani wakati kumbe Kiuhalisia Wananchi wao ni ' Goi Goi / Dhaifu ' tupu na pengine ndiyo maana pamoja na kupata Uhuru Siku nyingi lakini bado Wananchi wake ni Masikini huku Elimu yao ikiwa ni mbovu mbovu tupu.
Israel inaingia mara ngapi kwa Marekani? Je, kati ya Marekani na Israel nani ni Mbabe hasa Kivita na nani anamtegemea zaidi Mwenzake? Nasubiri jibu langu haraka sana Mkuu ili nijue nianze Kukudharau au nianze Kukuheshimu kuwa nawe umebahatika kuwa na Akili kubwa kama walizonazo Raia wa Rwanda na hasa hasa wa Kabila ' lililobarikiwa ' nae Maulana / Mola la Tutsi ( Watutsi )
Sawa na Dar na Igunga.Rwanda is based on kigali
Huko kwingine ni hopeless
100Γ·250000 householdsΓwattUwiiii! Elezea jinsi unavyoweza kugawa 100 MW kwa > watu milioni 11 + Viwanda, acha mipasho kama ukipenda!
Hivi wewe kizibo hiyo nchi inayokujia moyoni mwako unashindwa kuitaja hapa unaishia kuimba taarabu za mafumbo kwa kusema imepata Uhuru kitambo lakini hamna kitu imefanya ni Tanzania au kuna nchi inakujia kichwani mwako na sio Tanzania..yaani unafikia hatua kuifananisha nchi ya Tanzania na eneo la kiutawala la Rwanda kweli?..ubongo wako utakuwa umechanganyika na nya sio siri wallah..hako ka Rwanda inaweza hata kufananishwa na Kinondoni kweli kwa nyanja zote au upo hapa kuchangamsha genge tu...Rudi upya ukarudie Kusoma vyema Historia ya nchi ya Rwanda na Makabila yake na acha Kunipotezea muda kwani bado IQ yako ya Kiwango cha ' Kiudhaifu ' mno kwa Wewe kuweza Kujibizana nami. Halafu unaonekana unapenda sana nawe uwe Mtutsi Mnyarwanda ila bahati mbaya haitowezekana hivyo bakia tu na hilo hilo Kabila lako kutoka katika nchi yako hiyo ambayo imetangulia Kupata Uhuru kuliko Rwanda lakini bado ipo ipo tu huku Wananchi wake wakiwa hawajui hata kile wakifanyacho kiasi kwamba hadi Siku zingine wanatuomba Sisi Wanyarwanda tuwasaidie Kufikiri kwa ajili yao na Kuwaongoza pia hasa katika maeneo yao muhimi muhimu na mengineyo yaliyo ' Nyeti ' kabisa.
Wewe siyo Mnyarwanda, Mnyarwanda hawezi kuongea hivyo, hayo ni mambo sensitive sana kwa Wanyarwanda wote, na hawawezi kuyaongelea juu juu hivyo kama ufanyavyo wewe.
Sema uko obsessed na Wanyarwanda lkn wewe siyo Mnyarwanda!
Wananchi wake ni maskini ila wanawasaidia wapumbavu wanaouwana wao kwa wao huko mipakani and vice versa is not true...
Kingine kama hoja yako ingekuwa kweli basi Rwanda ingekuwa imeendelea kushinda Switzerland [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kweli akili hauna sasa Israel ni nini Kwa marekani hizo ni porojo za mitaani
Hivi wewe kizibo hiyo nchi inayokujia moyoni mwako unashindwa kuitaja hapa unaishia kuimba taarabu za mafumbo kwa kusema imepata Uhuru kitambo lakini hamna kitu imefanya ni Tanzania au kuna nchi inakujia kichwani mwako na sio Tanzania..yaani unafikia hatua kuifananisha nchi ya Tanzania na eneo la kiutawala la Rwanda kweli?..ubongo wako utakuwa umechanganyika na nya sio siri wallah..hako ka Rwanda inaweza hata kufananishwa na Kinondoni kweli kwa nyanja zote au upo hapa kuchangamsha genge tu...
πππ hizi ngonjera sijui mnazitoa wapi..anyway najua debe tupu huwaga lina sauti sana..aya bhana GentUnaweza kunionyesha ni wapi kokote pale katika Maelezo yangu nimeitaja Tanzania yako? Kumbe ni Tanzania pekee hapa Afrika Mashariki ndiyo ilipata Uhuru wake Kitambo na haziwezi pia labda kuwa nchi za Kenya, Uganda, Zambia, Malawi na Msumbiji? Ni kweli Rwanda ipo sawa sawa na Wilaya ya Kinondoni ila waambie ' Wafunga Buti ' wako ' waichokoze ' kisha uone kama hata Wewe hapo hukuwa Mali rasmi ya Taifa Teule Afrika la Rwanda.
pathetic sick little boy!!Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.
πππ hizi ngonjera sijui mnazitoa wapi..anyway najua debe tupu huwaga lina sauti sana..aya bhana Gent
Afike Rwanda kwanza aone ilivyo. Hata miundo mbinu ya kule ingekuwa kwetu tungekuwa tunapiga kelelel. Barabara, mpangilio wa miji yao na kila kitu. Rwanda ni kitu tofauti kweli. Nimeishi kule miaka miwili ila kila kukicha unakuta barabara zimejengwa usiku. Wajapan ndo walipewa tenda siyo sisi tunang'ang'ania wachina.Huna IQ ya Kuijadili na wala Kuielewa Rwanda vyema ila sana sana ninachoweza kukuambia tu ni kwamba muda si mrefu Rwanda hii hii ya Rais ' Mpambanaji ' na ' Makini ' Paul Kagame unayoidharau inakwenda Kuizidi nchi yako Kimaendeleo katika Nyanja nyingi japo tayari kwa upande wa Akili ( Upeo ) kuanzia Wewe hadi Wananchi wako wote wa nchi uitokayo ( ambayo kwa bahati mbaya siijui ) hamjaweza hata kuwafikia kwa 25%.