Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na hongera zao.
Mimi langu ni moja, Rwanda ina watu zaidi ya milioni 11 na mpaka leo hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawatts 100 (100 MW) tu, hivyo viwanda wanapawa na nini, generator, au?
Mimi sidanganyiki, labda hao wengine, 100 MW hakuna kitu utafanya, ...