[h=3]"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM.\..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK[/h]
Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P ---- Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.
waacheni walalamike wenyewe wasanii, kwanini mashabiki ndo mwayaongea hayo?? ina maana ninyi ndo mnajua sana ama???? matusi makubwa mnatukana kwny social networks mbalimbali, ina maana jide ndo aliyewaambia mtukane ama nini??? amkeni vjana, ninyi mnatukana wenzenu wana enjoy maisha, wakati huo muda unaotumia kutukana ungekuwa ushafanya mambo mengi tu
Ukistaajabu ya MUSA utayaona ya PFUNK, Asitafute umaaruf kwenye Misiba, Kama Ngwear alivuta mibangi na Madawa kwa sababu ya Frustration kwa Clouds, yeye nani amemfrustrate kuwa Muumini mzuri kwenye tasnia hiyo ya Vilevi! Dah. P Funk nae anapigania haki za Wasanii? Kama tukimpa Bastola ili auwe wezi wakubwa wa kazi za wasanii , akiwa Muadilifu anapaswa kujipiga bomba kwanza yeye mwenyewe!
Clouds ishaniboa kabisa mie nipo E.A Radio na Lady Jay D kasitisha Tamasha Lake.
just wondering why he never said so, when the man was still alive.......................................

Copyright ndo swala la msingi analosimamia P.Funk,Ukistaajabu ya MUSA utayaona ya PFUNK, Asitafute umaaruf kwenye Misiba, Kama Ngwear alivuta mibangi na Madawa kwa sababu ya Frustration kwa Clouds, yeye nani amemfrustrate kuwa Muumini mzuri kwenye tasnia hiyo ya Vilevi! Dah. P Funk nae anapigania haki za Wasanii? Kama tukimpa Bastola ili auwe wezi wakubwa wa kazi za wasanii , akiwa Muadilifu anapaswa kujipiga bomba kwanza yeye mwenyewe!
just wondering why he never said so, when the man was still alive.......................................
Ukistaajabu ya MUSA utayaona ya PFUNK, Asitafute umaaruf kwenye Misiba, Kama Ngwear alivuta mibangi na Madawa kwa sababu ya Frustration kwa Clouds, yeye nani amemfrustrate kuwa Muumini mzuri kwenye tasnia hiyo ya Vilevi! Dah. P Funk nae anapigania haki za Wasanii? Kama tukimpa Bastola ili auwe wezi wakubwa wa kazi za wasanii , akiwa Muadilifu anapaswa kujipiga bomba kwanza yeye mwenyewe!
why always clouds?