theHAVARD_product
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 297
- 211
Kwa Mujibu wa Dj.CHOKA P-funk naye Ametoa DUKUDUKU lake la Moyoni kuhusuu kifo cha ALBERT MANGWEA!
WANAJAMVI MNA MAONI GANI??
why always clouds?
Prof Ludigo nae kasema hataki kusikia nyimbo alizomtengenezea Mangwea(R.I.P) zikipigwa na Clouds hasa Mikasi
Kifo chao ndo kimefika hawa wanyonyaji
Clouds Fm kama ni waungwana wakutane na wadau mbalimbali wajadili kwa nini wao wamekuwa kwenye lawama nyingi.Naamini Kusaga atatumia busara maana mchango wake pia ni mkubwa sana si vizuri sifa yake ikaharibiwa na mambo yanayozungumkika kuwasaidia hawa vijana na muziki kwa ujumla hasa kwa nafasi yake kama Mdau mkubwa kabisa wa muziki.
waacheni walalamike wenyewe wasanii, kwanini mashabiki ndo mwayaongea hayo?? ina maana ninyi ndo mnajua sana ama???? matusi makubwa mnatukana kwny social networks mbalimbali, ina maana jide ndo aliyewaambia mtukane ama nini??? amkeni vjana, ninyi mnatukana wenzenu wana enjoy maisha, wakati huo muda unaotumia kutukana ungekuwa ushafanya mambo mengi tu
Prof Ludigo nae kasema hataki kusikia nyimbo alizomtengenezea Mangwea(R.I.P) zikipigwa na Clouds hasa Mikasi
Kifo chao ndo kimefika hawa wanyonyaji