Overshadowing

Arsenal

Senior Member
Aug 12, 2008
190
71
Wakuu..

Naomba uliza ivi ni kweli apa Bongo kuna huu mtindo wa viongozi wetu kuogopa kufunikwa kwa faida za kisiasa na watendanji wao muhimu?mana Lowassa ndo ivo katoka ki mtego na pia tuliona Mkapa na Sumaye na pia tunaona Jk na Makamba,Jk na Mkullo ivi hii dhana ni kweli na kama kweli tutabebeshwa mizigo hii mpk lini?Mana kuna viongozi wabovu ambao ata mi na wewe tusingewaacha lakini bado wapo na hatuelewi ni kwanini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom