Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

upo jf kuwadhalilisha wanawake toka asubuhi,je umezaliwa na mwanaume nini?je wajua dada zako,mama yako alikuwa na tabia gani alivyokuwa msichana?acha izo we mtoto wa kiume wenzio tunawaza kuongeza kipato kwenye taifa we unawaza kumdharau mwanamke

Mkuu ni sehemu gani ya maelezo yangu nimezalilisha mwanamke, naona sana umeishiwa hoja umeaza kupwaya na kuhoroja tu.
 

asanteeeeeeeee
 

Hivi mtu anaposema overconfidence unamuelewa, au na wewe umepost tu, bila kuelewa kinachogolewa.
 

 
Last edited by a moderator:
Unaweza ku define over confidence...
Unataka kusema ni vyema mtoto wa kike ku pretend kuwa mjinga, sijui kutojiamini au/

Could you please read my signature?


Kwanini Shy land anashambuliwa? Kwanini haijibiwi hoja? People are very low.
Overconfidence si sifa kama Mwanamke unaangukia hapo ni vyema kuanza kujitathimini
 

Umesome wapi wewe, hata maana ya neno jamii huijui.

jamii kila aina ya raia wapo, wakiwemo vichaa kama wewe.
 
Kwanini Shy land anashambuliwa? Kwanini haijibiwi hoja? People are very low.
Overconfidence si sifa kama Mwanamke unaangukia hapo ni vyema kuanza kujitathimini

Mkuu tofautisha confidence and over confidence for me plz???

Unaweza ukawa mwanamke uko over confident umesoma,una masters na kazi nzuri na ukakutana na mwanaume ana phd!...hivyyo nae anajiamini anaweza kuku 'handle'...

Huyu tatizo alikuwa anatafuta kwingine,huwezi kuwa na 200 unataka shati la buku...lazima ujishtukie....
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ku define over confidence...
Unataka kusema ni vyema mtoto wa kike ku pretend kuwa mjinga, sijui kutojiamini au/

Could you please read my signature?

overconfidence
noun
The definition of overconfidence is when someone has more confidence than they should have based on the situation and they misjudge their ability or opinion.
An example of overconfidence is a someone who's been in a lot of bar fights picking a fight with a professional boxer.
Hiyo naona itasaidia....
Natumia simu siioni signature yako
 

All i see is weakness hapo overconfidence mara nyingi ni inflated ego tu, why should u go over if you are truly confident?
 
Kwa nini kuna watu wanafikiri kila mtu anataka kuoa/ kuolewa?
 
Haya masharti ya kuolewa ya wasomi wa .com siyawezi kwa kweli , yaani uwe mzembemzembe ubeg kuolewa ! No way ...rabishhhhhhhhhhhhhhhhhh!
 
Kwa nini kuna watu wanafikiri kila mtu anataka kuoa/ kuolewa?

Mkuu bwana Kiranga ni laana kubwa mbele za mungu kama hutofanya hivyo, au nikuulize swali kwa nini baba na mama walioana ukazaliwa wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bwana Kiranga ni laana kubwa mbele za mungu kama hutofanya hivyo, au nikuulize swali kwa nini baba na mama walioana ukazaliwa wewe.

Ukishaniambia habari za mungu tu ushaharibu kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtu anaposema overconfidence unamuelewa, au na wewe umepost tu, bila kuelewa kinachogolewa.

overconfidence c ni kujiamin kupita kias, au mimi cjakuelewa? kama ni hivyo huyo mwanamke ni mzuri sana, kumbuka mwanamke ni msaidizi, kuwa na msaidizi mwenye hali hiyo ndo mzuri, kwa ss watu wa shamba namkabidhi ng'ombe anashika plau, maana huyo hataogopa hata kama ng'ombe ni wakorofi, cjui umenipata hapo shy land
 
Ukishaniambia habari za mungu tubushaharibu kila kitu.

Tuachane na habari za mungu maana huwanga nakufatilia hoja zako, nikagundua una kitu fulani ambacho unahitaji kufunguliwa.

yaani wewe sijui huwanga unafikirije kuhusu uwepo wa watu hapa dunian na viumbe hai, sijui.

au history, biology n.k ilikuharibu kisaikolojia. mimi sijui.

lakn tukirudi kwenye mada kuolewa au kuoa ni lazma katika tamaduni nyingi hapa duniani.

kama wewe unataka kupga desturi hizi, kama unavyopiga uwepo wa mungu ni sawa.
 
Kwa hiyo wewe kama ni member wa jf, uwe unanipagia namna ya kuanzisha thread. ni utafiti wangu na wewe kafanye wako.


Basi mi naenda pwani kidogo niwasaidie" una hamu nikuchambee nikikuchamba utaliaa" sipati picha mtaa mnaoishi maana hapa jf mnapeana vidonge hivi ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…