FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Fikiria yamepita zaidi ya masaa 6 toka uwasiliane na mpenzi wako. Kila mtu yuko busy na utafutaji.
Ila ghafla inaingia msg toka kwa mpenzi wako "I LOVE YOU TOO HONEY"
It's obvious hiyo msg ni mwendelezo wa convo but sio na ww. Utaipokeaje? Utajibu vipi?
Analyse
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu vipi?njaa inasababishwaga na wasiwasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]I love you three
Akiuliza: what for?
Unajibu: what five?
Akisema: are you sick?
Unamalizia: are you seven?.
Hapo itakuwa ngoma drooo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata, japo ni ngumu kuaminika ukitoa hayo maelezo.Maana yake ni kwamba . Kuna mtu alijaribu kupindua lakin kutokana ya yeye kukupenda akakataa.
So wewe kwake yeye ni kimbilio na hamna mfano. So ili kujikumbusha upendo wake kwako hana budi kusema .
Ni sawa na shule kusoma soma somo unalolipenda na kulifahamu kuliko mengine haunabudi kurudi mara kwa mara ili uwe unalijua na kulifaulu vizuri na zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]I love you three
Akiuliza: what for?
Unajibu: what five?
Akisema: are you sick?
Unamalizia: are you seven?.
Hapo itakuwa ngoma drooo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria yamepita zaidi ya masaa 6 toka uwasiliane na mpenzi wako. Kila mtu yuko busy na utafutaji.
Ila ghafla inaingia msg toka kwa mpenzi wako "I LOVE YOU TOO HONEY"
It's obvious hiyo msg ni mwendelezo wa convo but sio na ww. Utaipokeaje? Utajibu vipi?
Analyse
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Now the question is, how will you respond to it?Ha haaaaa kashaliwa mtu hapo bora angesema tu "I love you" . Hiyo I love you too kuna mahali ilikuwa inaenda ikakosea njia ni mtu anajibiwa alichotuma muda huo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Now the question is, how will you respond to it?
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kila jambo ni lakufatilia, inatakiwa umjue mpenzi wako na sio habari zake ili mdumu
Puuzia ujue hauko peke yako mpo wengi.Fikiria yamepita zaidi ya masaa 6 toka uwasiliane na mpenzi wako. Kila mtu yuko busy na utafutaji.
Ila ghafla inaingia msg toka kwa mpenzi wako "I LOVE YOU TOO HONEY"
It's obvious hiyo msg ni mwendelezo wa convo but sio na ww. Utaipokeaje? Utajibu vipi?
Analyse
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]yakinikita ntafanya ngoja nisome tenaNahisi haujawahi kua chupuchupu ndiyo maana.
Mmmhh.. Hii argument yako namba 2 hai make sense kabisa..Kuna mawili
1. Msg sio yako ni ya mtu mwingine
2. Kuna sehemu kapita katika jaribu moja kalikwepa so ili kukimbusha kuwa tayar yupo na mtu ndo anakuja kwako kama kikumbushio chake kuwa anaupendo juu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huwajui ndio wanauwezo huo, kinyume na hapo ni wepesi sana,Ninzur, ila hii km demu anampenda uyo mwingine kuliko mtoa mada.
Demu anaweza MPA JIBU LAKIBABE MTOA MADA ,,tukasikia MTU kajinyonga.
Eg ( Ndio nilikua namtumia Mwanaume wa maisha yangu , amua lolote unalotaka) π π π utajiona worthless
TUSISAHAU, HAWA VIUMBE WANA UWEZO MKUBWA WAKUKUFANYA UJIONE HUFAI BILA HATA KUKUGUSA .