Our Self hating politicians | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Our Self hating politicians

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Oct 17, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini watawala wetu wana hii self hate ya ajabu?

  Mbaya zaidi hata waziri kivuli husika toka upinzani hana habari na wala hawajali kuhusu lugha yetu ya taifa ya kiswahili ( kitu pekee ambacho kinatuunganisha kama taifa).

  Hivi mnajua kuwa asiliamia 99 za sheria zetu zinazochapishwa na kwa lugha ya kiingereza?

  Hivi mnajua JK alipokwenda USA hivi karibunii kwenye mkutano na watanzania alitumia almost 95% ya muda wake kuzungumza kwa Kiingereza?

  Mbaya zaidi mtu kama Zitto, January etc wameamua kutumia social media na ku tweet kwa English as if hatuna lugha ya taifa au walengwa ni hao wanaojua kiswahili pekee.

  These lot seem to be living in a different world from us. Just look at this Swahili language learning software for Iphone. Believe it or not it was Invented and Engineered in Ghana!

  Do you want to learn Swahili? Get Basic Swahili app for your iPhone/iPad and you are good to go.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hilo la sheria kuandikwa kwa Kiingereza mimi nimeshagomba sana.

  Sheria ni zetu wenyewe halafu zinaandikwa kwa lugha ya kigeni. Kwa manufaa ya nani hasa?

  Oh wait...wale learned people labda hawataheshimika zikiandikwa kwa Kiswahili! I dunno.
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Na wewe umeandika heading kwa kiingereza
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0

  sijaandika sheria za nchi au miswada iliyopitishwa na bunge
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Mkuu hivi we unaheshimu kiswahili?
   
 6. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  SlidingRoof, sijui una umri gani lakini kama wewe ni mzazi naomba nikuulize swali moja tu na jibu lake lisiwe la kinafiki tafadhali - je, uko tayari kumnyima mwanao fursa ya kujifunza kuongea na kuandika lugha ya Kiingereza kwa ufasaha ?
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kaka mimi sina matatizo na kiingereza kama lugha infact nadhani ingekuwa bora lugha hii ikafunzwa zaidi kwenye shule za msingi kwa hiyo mtu akiingia secondary hashtuki na pia elewa kuwa dunia ya leo bila mtu kuwa multi lingual hufiki kokote kule

  Tatizo langu ni kuwa miswada yetu na sheria zetu nyingi zimeandikwa kwa kiingereza na hii haimpi fursa mtu wa kawaida kujua haki zake

  Pita pale kwenye dula la vitabu la serikali jirani na kwa Bakhressa kabla hujaingia kwelekea Bilicanas..jamaa kwanza kila siku hawana miswada mbali mbali, pili miswada na sheria nyingi zimeandikwa kwa kiingereza . Tatu sheria kama vile ya serikali za mitaa ambazo zilitakiwa ziwe wazi kwa watu wengi zimeandikwa kwa kiingereza kigumu tena chenye nia ya kumchanganya msomaji wa kawaida na mbaya zaidi sheria kama ya ARDHI na yenyewe ni English tupu.

  Sidhani kama watu wengi wanatendewa haki na mambo na mbaya zaidi waziri kivuli husika kanyamaza kimya kabisa juu ya hili suala..bila kusahau waandishi wetu ambao nasubutu kusema kuwa ni wajinga na hawaweki maslahi ya watu wa kawaida mbele.

  Kama pesa zinakuwa wasted LEFT & RIGHT was so difficult hivi vitu vikawekwa kwenye website ya Taifa? (kama ipo) watu wakapata soft copy na mwenye kutaka hard copy akanunue pale dukani lakini apate versions zote.

  Hii ni challenge kwa Mwanasheria na Jaji mkuu wa serikali. These things have to be accessible kwa watu
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Si haki kwa nchi yetu kutumia Kiingereza kwenye sheria, na si zaidi isipokiwa athari za ukoloni tu
   
 9. O

  Omr JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe mwenyewe unachomeka kiingereza kwenye topic yako halafu unalalamika kwanini wengine wanabonga lugha.
   
 10. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Unachokikana ndicho unachofanya!
   
 11. i

  ikhwan safaa Senior Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwandishi kalalamika kuhusu sheria zinazochapishwa

  nyinyi mnalalamika kwa nini ana changanya lugha

  vitu viwili tofauti

  ama kweli wa TZ wabishi

  kitu gani kigumu msichokielewa hapo au ndio mapenzi yenu tuu kwa wanasiasa?
   
Loading...