Otile Brown awakashifu Zuchu na Mbosso

Kwa mziki gani wa otile mpaka wamkopi? Watu wakiamua kutafuta pa kutokea hujitutumua kweli...

Km anaona wamekopi akawafungie km mwenzake magix enga alivomfanyiaga mmakonde kwny uno
 
Namkubaligi huyu mwamba
Pic%20Layer_2021111303026416.jpg
 

Attachments

  • Pic%20Layer_20211113111557588.jpg
    Pic%20Layer_20211113111557588.jpg
    36.8 KB · Views: 3
Wanaombeza otile nahisi wanafanya hivyo sababu si mtz ila jamaa anajua nyimbo zake nyingi Ni kali hazina matusi, video nzuri angekuwa bongo Ni msanii mkubwa tu mbona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom