Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,727
Ernesto "Che" Guevara.
Ernesto "Che" Guevara.
Umepata mkuu, huyu ni bwana Che Guevara akiwa na umri wa miaka 22 mnamo mwaka 1951Ernesto "Che" Guevara.
Ok, nenda MaranguLabda marangu mtoni kwa bibi
Una bei gani
Chukua Darfur au kivu kaskazini mkuu. Jimbo la kano Nigeria au kismai au Mogadishu somalia mkuu, no chukua Raqqa Syria.Nipeni mji
Amin amin nakwambia mkuu.....hakika wewe si mmoja ya wale wantakiao mema!Chukua Darfur au kivu kaskazini mkuu. Jimbo la kano Nigeria au kismai au Mogadishu somalia mkuu, no chukua Raqqa Syria.
BatiUna bei gani
HaifaiBati
RIP. ....Ngwea. ....Bati
Hahahaaaahaaha.Amin amin nakwambia mkuu.....hakika wewe si mmoja ya wale wantakiao mema!
Yes he was 22yrs old by then mkuu. Ilikua 1951Huyo ni Ernesto Che Guevara 100%
Katika avatar yangu, ni huyo wa kushoto, ila ya kwako hapo alikuwa bado yanki sana.