donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Blaza hajawahi kuniangusha ila kwa hapa naona amefeli, it's a total flap.
Alinifurahisha pale alipoenda kununua Donuts then akamwambia muuzaji keep change hapo kaacha 80USDRoman J, Israel Esq.
Hapana mkuufences
Yo damn rightRoman J. Israel, Esq.
Hahaja, actually aliacha 88Alinifurahisha pale alipoenda kununua Donuts then akamwambia muuzaji keep change hapo kaacha 80USD
Hahaha, poa mkuuMkuu [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] CLEAR notification hizo dah!
Sijaicheki ila naona huko rotten tomatoes ina rate za chini sana nimekosa hata mzuka wa kuipirate. Ni mbaya kama rate zake?Alinifurahisha pale alipoenda kununua Donuts then akamwambia muuzaji keep change hapo kaacha 80USD
Hii Denzel amefel inahitaj utulivu sana kuifatiliaSijaicheki ila naona huko rotten tomstoes ina let za chini sana nimekosa hata mzuka wa kuipirate. Ni mbaya kama rate zake?
Mbaya mkuu, ukiidownload utakua umejilaSijaicheki ila naona huko rotten tomatoes ina rate za chini sana nimekosa hata mzuka wa kuipirate. Ni mbaya kama rate zake?
Hata ukitulia it's a flap movieHii Denzel amefel inahitaj utulivu sana kuifatilia