Acheni porojo, wanaojua kama Simba ni mbovu au nzuri ni Yanga, subiri kesho mtafurahi wenyewe na shoo

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
438
1,752
Mchambuzi yeyote anayejua mpira ambaye hana mihemko, ameanza kufatilia mpira wa bongo tang enzi za akina marehemu Ramadhan Lenny, hawezi kusema Simba mbovu eti kwa sababu ametola draw na Singida, huyo sio mchambuzi ni mbuzi jike kabisa.

Yaani useme Simba mbovu kwa mechi na Singida, mechi ambayo tunajua walisaidiwa na hao dada zao, walikuwa wanafanya mazoezi pamoja, vikao pamoja na bado wameshindwa.

Simba imeshajua kuwa azam na singida wana uswahiba na utopolo ndio maana wanashea uwanja mmoja wa mazoezi, sio ajabu kuwaona akina feitoto na kakolanya wakienda kusalimia mazoezini yanga, ila shoo ya kesho mtajua kama Simba mbovu au nzima.
 
Simba kesho kufungwa na Yanga haitakua mara ya kwanza wala ya mwisho, Simba imeanza kufungwa tangu inaitwa queens, Sunderland mpaka sasa Simba.
Kabla ya Azam wala Singida waanzilishi wa izo timu hawajazaliwa.
Kwaiyo mkubali matokeo kwa moyo mkunjufu bila kutafuta sababu.
 
Mchambuzi yeyote anayejua mpira ambaye hana mihemko, ameanza kufatilia mpira wa bongo tang enzi za akina marehemu Ramadhan Lenny, hawezi kusema Simba mbovu eti kwa sababu ametola draw na Singida, huyo sio mchambuzi ni mbuzi jike kabisa.

Yaani useme Simba mbovu kwa mechi na Singida, mechi ambayo tunajua walisaidiwa na hao dada zao, walikuwa wanafanya mazoezi pamoja, vikao pamoja na bado wameshindwa.

Simba imeshajua kuwa azam na singida wana uswahiba na utopolo ndio maana wanashea uwanja mmoja wa mazoezi, sio ajabu kuwaona akina feitoto na kakolanya wakienda kusalimia mazoezini yanga, ila shoo ya kesho mtajua kama Simba mbovu au nzima.
Hizi ndo mnaita PUA AJUMENT Wataalamu?
 
Kwahyo kwenda kusalimia ni tatizo?? Kuhama au kuwa timu tofauti kwani ni uadui?? Acha mawazo mgando…!!!
 
Mchambuzi yeyote anayejua mpira ambaye hana mihemko, ameanza kufatilia mpira wa bongo tang enzi za akina marehemu Ramadhan Lenny, hawezi kusema Simba mbovu eti kwa sababu ametola draw na Singida, huyo sio mchambuzi ni mbuzi jike kabisa.

Yaani useme Simba mbovu kwa mechi na Singida, mechi ambayo tunajua walisaidiwa na hao dada zao, walikuwa wanafanya mazoezi pamoja, vikao pamoja na bado wameshindwa.

Simba imeshajua kuwa azam na singida wana uswahiba na utopolo ndio maana wanashea uwanja mmoja wa mazoezi, sio ajabu kuwaona akina feitoto na kakolanya wakienda kusalimia mazoezini yanga, ila shoo ya kesho mtajua kama Simba mbovu au nzima.
Simba baada ya kumshukuru yule refa mwanadada mnakuja mnapiga kelele
 
Yanga Noise nyingi kweli. Simba ilipata kombe mara nne nyie kupa tu miaka tuwili tu kelele. Ngoja tuone kesho mwam nyeto
 
Back
Top Bottom